Kuwa mchabuzi sio ndo ukocha na kuwa kocha sio lazima kuwa mchambuzi..Mwalimu kashasha kasoma mpira,sio hawa wanaojifanya wachambuz wakat haa ngazi ya chini ya ukocha hawajaptia
Ni kweli kwasababu kuwa kocha unahitaji pia kuwa na kipaji cha uongozi. Unaweza ukawa mchambuzi ukakosa kuwa na kipaji cha uongozi. Ndio maana wenzetu hawawaiti makocha, wanawaita mameneja.Sio kila mchambuzi wa soka anafaa kuwa kocha
utachambuaje kitu hukijui!..kwa uzoefu wa kuangalia!?Kuwa mchabuzi sio ndo ukocha na kuwa kocha sio lazima kuwa mchambuzi..
Hili watu wengi hawajui.Sio kila mchambuzi wa soka anafaa kuwa kocha
Genius.Dr leakey is living legend usimfananishe tena na watu wa hovyo hovyo
Barcelona Tvchanneli gani huchambua mechi za Barca?
Utasikia chemistry ya mpira haitaki hivyo vitu anavyofanya Kichuya! Mwl Kashasha huyoKashasha ni mchambuzi wa kiwango cha juu sana hata lugha anayotumia huvutia kusikiliza. Dr.Leaky kwa huyu jamaa atasubiri sana.
Kumbe shida ni TBC mwambie ahame hapoView attachment 432180
Huyu mwalimu ni mchambuzi mzuri sana wa soka kupitia TBC 1, haswa wakati wa matangazo ya Mpira.
Ukimsikiliza utashawishika kuwa hakika anaujua mpira, mbinu za mpira na saikolojia yake.
Najiuliza vipi serikali na TFF haikioni hiki kipaji?
Hawa ndio wanaofaa kwenye bench la ufundi katika timu zetu, hasa za Taifa.
Kuna siku nilikuwa namskiliza Kashasha akiwa anachambua wa mechi 1 ya YANGA
Katika ile mechi YANGA walishinda 3. Goli la pili lilikuwa mpira uliorushwa moja kwa moja na kuguswa na kipa tu kisha ukaingia nyavuni. Mwl Kashasha akasifia kuwa lile goli bora kabisa.
Mimi kama msikilizaji sikutegemea Mwl kama Kashasha kusema goli lile ni bora.
Pili yeye kama mchambuzi alipaswa auelimishe umma wa wapenda soka kuwa, magoli kama yale ni uzembe wa kipa, coz ktk soka hatuna magoli ya mkono.
Angeenda mbali zaidi kwa kuifafanua sheria 17 za soka na kuweka bayana tu kwamba, yule kipa alipaswa kuuwacha mpira utinge wavuni na kwa kuwa haujaguswa na mchezaji wa ndani usingekuwa goli kinyume chake akaishia kusifia tu kuwa ni goli bora.
Hapa nilimuona ameshindwa kutofautisha kati ya goli bora na goli la ajabu.
Kwangu Mimi Kashasha ni mchambuzi mzuri, lakini hajafika viwango vya akina Dr. Leaky.
Sanaaaaa,hata kuucheza najua vilevile.Mtoto mzuri nifah kumbe wapenda mpira.