Mwalim Alex Kashasha, mtaalamu maahiri wa Soka asiyeonekana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zero standard return goal
 
Huyu ndiye mchambuzi mahiri zaidi nchini, haina unishi. Wa zamani na sasa, huyu ndiye anaongoza, anajua kuuchambua mpira.
 
Uingereza hakuna mchambuzi aliekuwa na mvuto kama Garry Nevile
ukiachilia mbali alishaichezea Manchester United

Akaacha uchambuzi akaenda kufundisha Valencia....

aibu tupu huko kaacha
Hana mahaba na Manu kwenye uchambuzi, yeye a spade is a spade! Sasa ukimsikiliza Jamie Gallagher, yeye ni Liver mbele hata iweje, ataponda timu pinzani.
 

Angekuwa Mwalimu Kashasha...angeanza " unajua football is possessing footwork square determination.. Namaanisha wanakuwa wafanya square pass kwa kutumia middle fringes...."
 
Pole sana ndg, naona hasira zako umepania kuziamishia kwa mwl.kashasha.
 

Angekuwa Mwalimu Kashasha...angeanza " unajua football is possessing footwork square determination.. Namaanisha wanakuwa wafanya square pass kwa kutumia middle fringes...."

Najua ujumbe wako sahihi na ambao unataka kutulazimisha tuujue ni kwamba Wewe unamkubali sana Dr. Leakey Abdallah katika Uchambuzi na hata Mimi pia na najua wengi wetu tunamkubali vile vile ila kataa kubali ukweli utabaki pale pale kwamba hata huyu Mwalimu Kashasha nae ni Mchambuzi mahiri na huko kutumia hizo ' Football Technical Jargon ' zake mara kwa mara ndiko kunamfanya akubalike zaidi na kuweka utofauti wake na Dr. Leakey. Kilichomsaidia tu Dr. Leakey ni kwamba aliwahi kuwa ' exposed ' kwa masuala ya mipira na Sisi Mashabiki ila laiti hata huyu Mzee Kashasha nae angeanza kupata ' platforms ' hizi tokea zamani huenda Yeye angekuwa bora kwa Dr. Leakey.

Dr. Leakey anarahisisha Watu kumuelewa haraka Kiuchambuzi
Mwalimu Kashasha anachambua lakini pia anatufundisha kuulewa zaidi mchezo na kuwa na ufahamu mpana wa mechi

Kila la kheri.
 
Huyo sasa ndo mchambuzi achana na hawa wasaka tonge kina Kumwembe.

Kina Kumwembe na genge lake badala ya kuchambua wao wanasimulia. Timu ikishinda mechi tatu mfululizo anaipamba ikiboronga anayameza matamshi yake yote.

Mwalimu Kashasha anaweza sana. Mpira wa Bongo hauna Google kwa sana ila jamaa anauchambua na kuusimulia kwa ajuavyo yeye mwenyewe. Anaujua mpira huyu mwalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…