limbende
JF-Expert Member
- May 14, 2013
- 1,038
- 621
C kuwai tu changia Kaka unaweza ukawa mstari wa mbele kwa wasiojulikanaMstari wa mbele kabisaaa Kwako limbende.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
C kuwai tu changia Kaka unaweza ukawa mstari wa mbele kwa wasiojulikanaMstari wa mbele kabisaaa Kwako limbende.
mzee wa fox in the boxMzee wa ile inaitwa "back flip header"ujanja mwingi yule nae..
Nimependa tafakuri ya mtaalam huyu wa uchambuz wa soka tena kwa Madaha.naomba cv yake tafadhal
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Mzee wa dynamic rocket shot yaani kabla ya kupiga alimuangalia kipa yuko off position mshambuliaji akalitengeneza goli katika pembe tatu kisha akaitafuta ile nyuzi 90 ya juu afu akabend kama eagle anavyotanua mikono wakati wa kuruka ili kupata full body balance akapiga shot with full gas at his foot inasemekana shut lilikuwa linasafiri at 300km/s yaani hata kungekuwa na makipa wawili golini wangefungwa tuu na hata kama wangejaribu kurukia mpira wakati wa kurudi chini wangepata stroke au heart attack ndio maana waliruka kiushahidi ili kuondoa lawama.... Kwako jesse
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] shikamoo ndugu daaah....yaan umeenda mulemuleeeMzee wa dynamic rocket shot yaani kabla ya kupiga alimuangalia kipa yuko off position mshambuliaji akalitengeneza goli katika pembe tatu kisha akaitafuta ile nyuzi 90 ya juu afu akabend kama eagle anavyotanua mikono wakati wa kuruka ili kupata full body balance akapiga shot with full gas at his foot inasemekana shut lilikuwa linasafiri at 300km/s yaani hata kungekuwa na makipa wawili golini wangefungwa tuu na hata kama wangejaribu kurukia mpira wakati wa kurudi chini wangepata stroke au heart attack ndio maana waliruka kiushahidi ili kuondoa lawama.... Kwako jesse
Shabiki damu wa kashasha hanipi tabu mchambuzi wangu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] shikamoo ndugu daaah....yaan umeenda mulemuleee
mzee wa fox in the box
JF bana ,full burudaniMzee wa ile inaitwa "back flip header"ujanja mwingi yule nae..
Nimekukubali MkuuMzee wa dynamic rocket shot yaani kabla ya kupiga alimuangalia kipa yuko off position mshambuliaji akalitengeneza goli katika pembe tatu kisha akaitafuta ile nyuzi 90 ya juu afu akabend kama eagle anavyotanua mikono wakati wa kuruka ili kupata full body balance akapiga shot with full gas at his foot inasemekana shut lilikuwa linasafiri at 300km/s yaani hata kungekuwa na makipa wawili golini wangefungwa tuu na hata kama wangejaribu kurukia mpira wakati wa kurudi chini wangepata stroke au heart attack ndio maana waliruka kiushahidi ili kuondoa lawama.... Kwako jesse
Ni fundi Sana na pia najiuliza ckzote alikua wap,Hata mm namkubali sana, yaan anaeleza kitu real mpaka unakubali.
Mimi kuna vitu vingi nimevijua kupitia kwake hasa Yale makosa madogo yanayofanyika uwanjani, bila kujua ni kosa au la! Nilienjoy sana world cup ingawa hakuchambua mechi zote, all in all kashasha is the best.
UmemalizaMwalimu Kashasha
Aaahaaahaa braza umenifanya nicheke peke tangy et ujanja mwingi yule nae hivo ni mishen tauniMzee wa ile inaitwa "back flip header"ujanja mwingi yule nae..