Mwalimu adaiwa kumpiga ngumi mwanafunzi na kumng'oa jino, eti Kisha kapata alama 29 za Hisabati

Je MTU akifundisha na akarudi nyumbani bila kuchapa viboko mshahara hapewi.

Waalimu wa serikali wana upeo mdogo Sana na hawatazami mbali.
 
Oh!.
Msala tena...
 
😂😂😂Nasimama na huyu Mwalimu,huyo dogo alipaswa kupewa kipigo cha mbwa koko kutokana na dharau alizoonesha.
 
Nampongeza mwalimu

Hiki kizazi kinashida mno,
 
We umejuaje?? Kama ni mwl mwenzako why usingeingilia Kati kuliko??
 
Mbnona matukio ya walimu yamekua mengi kwani wazilinwa Elimu hapati hizi taarifa🤔
 
Safi sana kwa mwalimu wenzake wote wamechapwa yeye anajifanya mwamba
Huyo mwalimu mi ningedeal nae kimtaamtaa kama mzazi tena baada ya siku nyingi tukio kutokea. akiwa kajisahau kabisa. Nae jino ama meno mawili lazima yamtoke
 
Huyo mwalimu mi ningedeal nae kimtaamtaa kama mzazi tena baada ya siku nyingi tukio kutokea. akiwa kajisahau kabisa. Nae jino ama meno mawili lazima yamtoke
Unaweza kutandikwa mitama na wewe...

Walimu siku hizi wanapita JKT, sio wa kuonea tena.
 
Unaweza kutandikwa mitama na wewe...

Walimu siku hizi wanapita JKT, sio wa kuonea tena.
Labda kwa mzazi mbugila..
Kuna adhabu mtoto kupewa sawa
Ila kuna adhabu zingine ni kukomoa,hasira za mwalimu unamuhqmishia mtoto

Ova
 
Labda kwa mzazi mbugila..
Kuna adhabu mtoto kupewa sawa
Ila kuna adhabu zingine ni kukomoa,hasira za mwalimu unamuhqmishia mtoto

Ova
Siungi mkono alichofanya mwalimu...

Ila kudeal na watoto wa kizazi hiki inahitaji roho wa Mungu...

Watumishi ambao kazi zao haziwakutanishi na raia kila siku wanaweza wasimuelewe mwalimu...
 
Yanini kulazimisha hesabu, wakati mtu anajisomea zake jiografia.Walimu waache stress.
 
Kuna wapumbavu wanatetea huo ujinga wakidai eti walimu wana wajibu wa malezi kwa wanafunzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…