mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oh!.Mwalimu wa Secondary ya BUNDIKANI iliyopo Kibaha Maili Moja Jana Alhamisi July 25, 2024 amempiga ngumi na kumtoa jino bila ganzi mwanafunzi wa kidato cha 3A.
Wanafunzi wote waliopata chini ya alama 30 za somo analofundisha la Hisabati alipanga kuwachapa, mwanafunzi hakikataa kuchapwa na alipokuwa anamchapa mkononi mwanafunzi alitulia bila kuugulia maumivu kitendo ambaco mwalimu aliona ni dharau na kutaka kumchapa makalioni. Mwanafunzi akasema huwa hachapwi makalioni na hata Mwalimu Mkuu na Mwalimu wa malezi wa darasa lao kidato cha 3A wote wanafahamu kibali hicho cha kutochapwa makalioni.
Mwalimu akaanza kumchapa kichwani kitendo kilichomfanya mwanafunzi akimbilie nje ya darasa kujiepusha na adhabu za kiholela. Mwalimu akawahi kufungua milango ndani ndipo alipomtandika ngumi kama mwizi na kumtoa jino Moja na lingine limelegea sana litatoka muda wowote.
Jambo hilo limeshuhudiwa na wanafunzi wote darasani hivyo ushahidi upo.
Je hii ni halali? Mwanafunzi amefuata ELIMU lakini anakutana na ulemavu wa kudumu. Wanahabari wa Mkoa wa Pwani liangazieni swala hilo tena ofisi zenu (Press Club) haizidi hata kilometers Moja kutoka shule ya BUNDIKANI.
Niny kipind chenu walimu wameua sana wanafunzi mlifanya nn?Gen Z ya bongo imepoa sana. Huyu ilibidi ashumbuliwe kama nyuki.
Ulishawahi kupata mtoto?Safi sana tunataka walimu kama hao....
Ningekua ndo mimi mwalimu ningeondoa meno yote hayo dadek
Nampongeza mwalimuMwalimu wa Secondary ya BUNDIKANI iliyopo Kibaha Maili Moja Jana Alhamisi July 25, 2024 amempiga ngumi na kumtoa jino bila ganzi mwanafunzi wa kidato cha 3A.
Wanafunzi wote waliopata chini ya alama 30 za somo analofundisha la Hisabati alipanga kuwachapa, mwanafunzi hakikataa kuchapwa na alipokuwa anamchapa mkononi mwanafunzi alitulia bila kuugulia maumivu kitendo ambaco mwalimu aliona ni dharau na kutaka kumchapa makalioni. Mwanafunzi akasema huwa hachapwi makalioni na hata Mwalimu Mkuu na Mwalimu wa malezi wa darasa lao kidato cha 3A wote wanafahamu kibali hicho cha kutochapwa makalioni.
Mwalimu akaanza kumchapa kichwani kitendo kilichomfanya mwanafunzi akimbilie nje ya darasa kujiepusha na adhabu za kiholela. Mwalimu akawahi kufungua milango ndani ndipo alipomtandika ngumi kama mwizi na kumtoa jino Moja na lingine limelegea sana litatoka muda wowote.
Jambo hilo limeshuhudiwa na wanafunzi wote darasani hivyo ushahidi upo.
Je hii ni halali? Mwanafunzi amefuata ELIMU lakini anakutana na ulemavu wa kudumu. Wanahabari wa Mkoa wa Pwani liangazieni swala hilo tena ofisi zenu (Press Club) haizidi hata kilometers Moja kutoka shule ya BUNDIKANI.
Kutokulia ni kuonesha utovu wa nidhamu piaKachapwa hakulia, mwalimu akawa anatafuta njia za kumuumiza zaidi. Ndio ngumi ikaja
Mtoto lazima akaze asome kwa bidii....Ulishawahi kupata mtoto?
Mbnona matukio ya walimu yamekua mengi kwani wazilinwa Elimu hapati hizi taarifa🤔Mwalimu wa Secondary ya BUNDIKANI iliyopo Kibaha Maili Moja Jana Alhamisi July 25, 2024 amempiga ngumi na kumtoa jino bila ganzi mwanafunzi wa kidato cha 3A.
Wanafunzi wote waliopata chini ya alama 30 za somo analofundisha la Hisabati alipanga kuwachapa, mwanafunzi hakikataa kuchapwa na alipokuwa anamchapa mkononi mwanafunzi alitulia bila kuugulia maumivu kitendo ambaco mwalimu aliona ni dharau na kutaka kumchapa makalioni. Mwanafunzi akasema huwa hachapwi makalioni na hata Mwalimu Mkuu na Mwalimu wa malezi wa darasa lao kidato cha 3A wote wanafahamu kibali hicho cha kutochapwa makalioni.
Mwalimu akaanza kumchapa kichwani kitendo kilichomfanya mwanafunzi akimbilie nje ya darasa kujiepusha na adhabu za kiholela. Mwalimu akawahi kufungua milango ndani ndipo alipomtandika ngumi kama mwizi na kumtoa jino Moja na lingine limelegea sana litatoka muda wowote.
Jambo hilo limeshuhudiwa na wanafunzi wote darasani hivyo ushahidi upo.
Je hii ni halali? Mwanafunzi amefuata ELIMU lakini anakutana na ulemavu wa kudumu. Wanahabari wa Mkoa wa Pwani liangazieni swala hilo tena ofisi zenu (Press Club) haizidi hata kilometers Moja kutoka shule ya BUNDIKANI.
Huyo mwalimu mi ningedeal nae kimtaamtaa kama mzazi tena baada ya siku nyingi tukio kutokea. akiwa kajisahau kabisa. Nae jino ama meno mawili lazima yamtokeSafi sana kwa mwalimu wenzake wote wamechapwa yeye anajifanya mwamba
Unaweza kutandikwa mitama na wewe...Huyo mwalimu mi ningedeal nae kimtaamtaa kama mzazi tena baada ya siku nyingi tukio kutokea. akiwa kajisahau kabisa. Nae jino ama meno mawili lazima yamtoke
Labda kwa mzazi mbugila..Unaweza kutandikwa mitama na wewe...
Walimu siku hizi wanapita JKT, sio wa kuonea tena.
Siungi mkono alichofanya mwalimu...Labda kwa mzazi mbugila..
Kuna adhabu mtoto kupewa sawa
Ila kuna adhabu zingine ni kukomoa,hasira za mwalimu unamuhqmishia mtoto
Ova