Hujawahi kuniangusha kwa kuhamasisha kuhusu hi tasinia ya ualimu unao sema ni ukweli mtupu na hivi punde waalimu wa nchi hi watasikilizwa tu, hali ya ualimu ni mbaya imewafanya waalimu waishe maisha ya kiufukara na huonekana kama majinga tu.........wajinga ndo wanao kupinga ila wewe ni true whistle-blower wa taifaTukisema hii kada inadharaulika mnanijia juu, yani mpaka wananchi wameamua kujichanga kumjengea banda la kulala
UALIMU ni kada ya ajabu haijawahi kutokea. Hapa bongo mimi naapa bora niwe nadeki vyoo vya wafungwa na kusafisha ndoo za uharo kuliko kuwa kwenye hii kada looohView attachment 2647085