Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #81
Mm na generalize Kwa sababu wote wapo ivo akili zaoKulala ofisini ni tatizo lakini usigeneralize walimu wote hawana akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm na generalize Kwa sababu wote wapo ivo akili zaoKulala ofisini ni tatizo lakini usigeneralize walimu wote hawana akili.
Waalimu weng hawajielewTukisema hii kada inadharaulika mnanijia juu, yani mpaka wananchi wameamua kujichanga kumjengea banda la kulala
UALIMU ni kada ya ajabu haijawahi kutokea. Hapa bongo mimi naapa bora niwe nadeki vyoo vya wafungwa na kusafisha ndoo za uharo kuliko kuwa kwenye hii kada looohView attachment 2647085
Wewe je umelaaniwa pia maana nawe ni mwalimu.Mkuu ualimu ni jehanamu moja Kwa moja, wamelaniwa ndomana wote ni masikini wa kutupwa kwenye dampo
Mimi mtoto wangu nitamfundisha mwenyewe siwez kupelekea hawa mbuzi
Wito wa shetani labda hatuwez jua [emoji38][emoji38][emoji38]Wewe je umelaaniwa pia maana nawe ni mwalimu.
Kwann wamelaaniwa hawa walimu hasa ukizingatia wanafanya kazi ya wito
Kwann ulikubaliana na huu wito bila kufahamu ni wito wa naniWito wa shetani labda hatuwez jua [emoji38][emoji38][emoji38]
Kipa kuokoa penat 1 tu kapewa mln 10
[emoji1]
Ova
Mm sio mwalimu nasijasomea ualimuKwann ulikubaliana na huu wito bila kufahamu ni wito wa nani
Nakuelewa sn mkuu.. mwalimu anaweza akawa analipwa pesa zaid ya mlinzi lkn walimu wengi fikra zao mgando, majungu, fitina na roho mbaya zimewajaa na ndo maana hawawez kufanikiwaHao wenye elfu tatu wamepanga ila mwalimu analala mpaka chooni [emoji23][emoji23][emoji23]
Wamelaniwa hao sio bureAfu kuna watu wanalia na kukufuru kisa wamekosa ajira ya ualimu [emoji23][emoji23]
HahhahaMwalimu ni mtumishi asili miliki chochote zaidi ya madeni
Walimu wote ni wachawi tuuNakuelewa sn mkuu.. mwalimu anaweza akawa analipwa pesa zaid ya mlinzi lkn walimu wengi fikra zao mgando, majungu, fitina na roho mbaya zimewajaa na ndo maana hawawez kufanikiwa
Mkuu njoo kumbe uko smart sana ebu njoo apa wavuvi camp tupige vyombo
Hii picha ndio ofisi au nyumba aliyojengewa? Tz unatia simanzi!Tukisema hii kada inadharaulika mnanijia juu, yani mpaka wananchi wameamua kujichanga kumjengea banda la kulala
UALIMU ni kada ya ajabu haijawahi kutokea. Hapa bongo mimi naapa bora niwe nadeki vyoo vya wafungwa na kusafisha ndoo za uharo kuliko kuwa kwenye hii kada looohView attachment 2647085
Imeniuma sana hii comment yako,nna mwaka watano TAMISEMI ila unachokisema nidhahiri shahiri sana,naona nazidi kujichukia with time,nawaza nakuwazua hivi maisha yangu ndio yatakua hivihivi hadi nastaafu au niamshe zangu tu.nikweli utumishi wa umma kama sio wizi na magendo ngumu sana kuishi maisha ya ndoto zako.Mshahara haupo kwa ajili ya kumtajirisha mtu ukiona mtumishi wa umma ametajirika ujue huyo ni mwizi . Kama uliingia kwenye utumishi ili utajirike umekosea njia na utajichukia mpaka unastaafu
Angalia halmashauri au kituo cha kazi uli ho watu wanafanya nn wasio waajiriwa simanishi ku bet hapana. Mfano kama upo makambako watu wanapanda miti na viazi. Tafuta watu wa kukuongozq chukua shamba panda viazi anzakuvitunza kwa kuiba muda wa mwajiri baada ya muda utavuna. Nunua chakula cha kutosha. Mshahara gawa nusu shamba nusu matumizi. Utakuwa unakua taratibu. Panda mazao ya kudumu huo ndiyo mtaji wako wa kustaafia. Kila ukichukua mkopo weka kwenye hilo zao la kudumuImeniuma sana hii comment yako,nna mwaka watano TAMISEMI ila unachokisema nidhahiri shahiri sana,naona nazidi kujichukia with time,nawaza nakuwazua hivi maisha yangu ndio yatakua hivihivi hadi nastaafu au niamshe zangu tu.nikweli utumishi wa umma kama sio wizi na magendo ngumu sana kuishi maisha ya ndoto zako.