Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #41
Haitawezekana, bora waende wanyamapori apige nao picha sio mwalimuInabidi rais afanye kuwakaribisha walim jumba jeupe nao,ale nao chakula
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haitawezekana, bora waende wanyamapori apige nao picha sio mwalimuInabidi rais afanye kuwakaribisha walim jumba jeupe nao,ale nao chakula
Ova
[emoji120][emoji120][emoji120]Nawaheshimu sana waalimu vijana wa kileo wanasumbuliwa na utandawazi. Hawatambui walikotoka waendako na vizazi vijao.
Ni kwa bahati mbaya sana vijana hawa wa kileo wanamiliki simu janja na kuitumia vibaya.
Mbaya zaidi kuna vijana maarufu lakini hawamudu chakula malazi na garama za makazi
Mpwayungu Villa
Najua Mpwayungu Village unaakili nyingi za kukutosha unaweza usihitaji ushauri kwa sasa lakini nakushauri uwe mwanaharakati ikifika 2030-35 gombea.
Kama utakuwa vizuri kiuchumi chukua fomu ya ubunge kwa tiketi ya chama pinzani, unaweza kupata kwa 85% na ukawa mbunge.
Kama ukiona hujaimarika vya kutosha chukua udiwani 2025 ujifunze siasa na propaganda ikifika 2028 chukua fomu ya ubungu wa Africa mashariki kwa vijana...
Usichoke kujaribu haya ni maono yangu kwako. Unaweza kuwa utabiri hatari kwa sasa lakini unakiwango sahihi kutimizika endapo tu utaheshimu akili na kutokupenda kukaa kwenye comfortable zone muda mwingi.
Mtoa madabyeye mwenyewe ni mwalimu, alishagatoa uzi huko nyuma akiwa chuini anasoma diploma ya ualimuAngetutajia kwanza madaraja ya mishahara ya watumishi wote wa halmashauri ili tujue hao walimu wananyanyaswa na kudharauriwa kivipi?
Cc tunajua ndo mana tunamshangaa tu
Kijana anatakiwa atofautishe kati ya marupurupu na wizi toka kwa kada nyingine
Aendelee kusoma diploma bado ndogoMtoa madabyeye mwenyewe ni mwalimu, alishagatoa uzi huko nyuma akiwa chuini anasoma diploma ya ualimu
Naunga mkono hojaTukisema hii kada inadharaulika mnanijia juu, yani mpaka wananchi wameamua kujichanga kumjengea banda la kulala
UALIMU ni kada ya ajabu haijawahi kutokea. Hapa bongo mimi naapa bora niwe nadeki vyoo vya wafungwa na kusafisha ndoo za uharo kuliko kuwa kwenye hii kada looohView attachment 2647085
We unadhani mtu anakaa humoNaam hawa hawa ndio wanatumika kusimamia na kudanganya matokeo ya chaguzi mbalimbali.
Na ukizingatia Hawana akiliWe unadhani mtu anakaa humo
Afu kapewa kaz ya kusimamia uchaguzi akihongwa hata buku 5 tu anaubavu wa kukataa?
Hawana akiliNaam hawa hawa ndio wanatumika kusimamia na kudanganya matokeo ya chaguzi mbalimbali.
Kadeti imepaukaa inanuka uvundo Ina mwezi haifuliwiAngalia mgeto huo wa madam ticha
Aiseeeeee, sibezi kada ya ualimu
Ila kuwa mwalimu bongo hii bora ukapige debe
Afu ukisha kuwa ticha ghafla akili inaanza kulemaa, ni wachache sana wanaobaki kwenye mstari
Hivi Nyie maticha, yale makadeti yaliopauka pauka mnatoaga wapi, mazeee
Hizo fedha bora wangepewa waalimu kuliko kuzibagaza.Na jumba jeupe huko leo lazima waondoke na hela zaidi
Ova
Siwez kuwa kwenye ajira za mafungu mkuu, mm sio maembeHongera mpwayungu umetokea kwenye mkeka wa walimu kikio chako kimesikika ss utapangiwa nangwanda sijaona huko ukale ming'oko upunguze zarau
Unaona ni maisha hayo? Huoni ni fedheha mbele za watu kukaa kwenye banda la mbuzi hilo hata mwendawazimu hawez kukubali. Ametoka kulala madarasani saizi kahamia kwenye banda la mbuziNyumba kashapata mjadala hakuna ni ahamie tu alale vizuri [emoji3]