Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Huyu hapa ndio Silinde, ex Chadema. Hapo mtu wa kumuonea huruma ni Lwakatare tu maana hakupendezwa kabisa na upuuzi uliokuwa ukiendelea.
Amandla...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona neno ex linakusumbua. Silinde alikuwa mbunge wa chama gani kabla ya kuhamia Chama Cha Mapinduzi?
Amandla...
Sasa hivi ni mwanachama kindakindaki wa Chama cha Mapinduzi na ni mbunge pia wa chama hicho. Hicho cha kuwapiga wafia chama hata sikijui.Kwani Sasa ni nani na yupo wapi, ? Mbona kawapiga wafia chama, kitu chenye nchi kali kichwani,mkuu
Waandishi siku hizi wapoje? Mkoa haujatajwa, huyo waziri alikuwa wapi wakati wa huo mkutano, hizo taarifa kazitoa wapi? Huo uchunguzi mdogo kaufanya akiwa wapi? Halafu mambo ya chama yanaendaje kwenye serikali, je chadema wanaweza wakatoa malalamiko yao kama chama na serikali ya ccm ikasikiliza! Anyways kuongea maneno kama yale mbele ya kadamnasi sio sawa sana kwa kiongozi wa nchi ila waandishi wajifunze kuandika, wasiandike as if msomaji anajua kila kitu.By Pascal Mwakyoma TZA
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Momba, Shela Mwangoka amesimamishwa kazi na Naibu Waziri wa TAMISEMI David Silinde kwa kudaiwa kumtusi Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika kadamnasi ya watu kwa dhihaka kwa lugha zisizofaa kwa Rais.
Hayo yamebainika baada ya mkutano wa shina kati ya wananchi wa Kijiji cha Washo Kata ya Myunga Wilaya ya Momba Emily Skanyika na Jacob Miyala ambao walitoa kero yao kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa wa CCM Shaka Hamdu Shaka kuwa mwalimu huyo amekua akitoa lugha za matusi mara kwa mara hali ambayo inawachafua wananchi hao kuona Rais wao anatukanwa.
Kwa upande wake Naibu waziri wa TAMISEMI David Silinde amesema amefanya uchunguzi mdogo baada ya kusikia malalamiko hayo kujiridhisha na kugundua kua ni tabia ya Mwalimu huyo kufanya hivyo na mara ya mwisho ni wiki moja iliyopita akiwa sokoni alipoona Rais Samia kaongeza madaraja na mishahara kwa watumishi wa umma akasema ni hongo ili amuunge mkono akasema hawezi muunga mkono sababu ni mwanamke.
Credit: Millard Ayo, Jul 10, 2021
Yan kusema hiyo ni hongo ili wamuunge mkono nayo yamekuwa matusi siku hizi.. nchi ina mambo hii!Ukiambiwa hayo matusi unaweza shangaa....😂😂😂
Silinde angeachia mamlaka husika zifanye uchunguzi wa kimya kimya (uncompromised investigation ) ndipo hatua stahiki zichukuliwe dhidi mwalimu. Mwalimu Mkuu yupo (msimamizi wa walimu), afisa elimu yupo (Mkuu wa idara), TSC wapo (mamlaka ya nidhamu), mkurugenzi yupo (mwajiri mwakilishi wa Rais), RAS yupo (Mkuu wa utumishi wa Umma ngazi ya mkoa).In a real situation mawaziri hawana mamlaka ya suspend au kusack mtuMoshi yeyote wavserikali. Ni katibu mkuu Utumishi tu au mfanyakazi mwingine ambaye katibu mkuu amedelegate hizo powers. Wengine wote wana weza kupendekeza tu kaw huyo kwenye mamlaka. waziri Hana mamlaka maana siyo mwajiri. Mawaziri wetu wana akili ya bata ndiyo maana wanafanya hivyo. Yes, mwalimu Ana makosa, huyo mwalimu mkuu yuko wapi kumripoti. Kuna DAS, RAS? Wote ho wana mamlaka waliyopewa na Karibu mkuu. Means siasa Hana mamlaka, Hana powers za kuajiri.
Kwahiyo Mwalimu huyu ni kichaa!Rais ni binadamu lazima atanangwa tu hata akitenda mema vipi, vichaa hawakosi tuliowahi kuwa leaders we Know
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Jia kiwango chalamingg
Basi wewe ni jibwa kabisa.Huyo tahira Ni wakufukuzwa kazi kabisa mbwa huyo
we jibwa jikeBasi wewe ni jibwa kabisa.
Hapo anatafuta sifa awe Waziri kamiliNdio kazi pekee wanayo iweza..ila shughulikia matatizo ya wananchi ambao ndio wamewatuma hawewezi..kweli chama chakavu kimekosa ubunifu.
#MaendeleoHayanaChama
Ni uonevu tupuUtaratibu wa kumfukuza Mtumishi wa umma uko wazi je vikao vya kusikiliza ushahidi wa pande zote mbili vimefanywa?