Mwalimu atekwa afanyiwa unyama Jijini Arusha

Tuwe tu makini na hizi habari maana tangu Lema amenyamazishwa, anaweza akaja kwa staili nyingine ya kulivuruga jiji. Mtekaji gani akuteke, akueleze kosa lako, halafu akuachie?
Kwani mkiwateka huwa mnawafanyaje
 
Ualimu ni kazi ya manyanyaso sana ni bora mwanangu awe machinga ila sio iyo
 
Ngoja tuone na hili litafuatiliwa kwa nguvu gani wiki hii maana haya mambo yakiachwa kila mtu atamuonea aliye mdogo.
 
Siasa za visasi na vurugu zinapandikizwa kuanzia juu kwa mtukufu wengine wanafuata mkumbo tu.Nchi yetu itaanza kutoa machozi ya damu tusipojirekebisha
Mnakuwa na mihemko sana. Kwani haya mambo yameanza juzi? Visasi sehemu za kazi ni ishu sugu ya miaka mingi.
 
Unasema......[emoji45] [emoji45]
Nani askari gani hao unao wazungumzia...[emoji15] [emoji15]
Labda FBI wale wa tukio la uwanja wa Soweto na Olacity hawajaondoka Arusha hivyo watachunguza.

Wapi waziru wa TAMISEMI,ELIMU,na MAMBO YA NDANI? au kwasababu sio wakina FRANK MSIGWA?
 
Kila kinachofanywa na mkuu na wa chini nao wanaiga, leo unateua kesho unatengua, hata muda wa mwezi mmoja haujapita.
 
Hii taarifa natilia shaka kwa sababu mtuumiwa kawekwa kati upande 1 kaa mtu na mwingine kaa mtu, aliwezaje kuvunja kioo uku wakimwangalia tu, mtuumiwa ni jinsia ya kike.
We unatishiwa uhai wako utakaa tu usubiri nini?
 
Tuwe tu makini na hizi habari maana tangu Lema amenyamazishwa, anaweza akaja kwa staili nyingine ya kulivuruga jiji. Mtekaji gani akuteke, akueleze kosa lako, halafu akuachie?
Kama huna akili nenda kaazime hata Kwa mama mkwe wako.
Kwani kila mateka anauawa?
mbona Ulimboka alitekwa na ikulu na bado akapona? ije kuwa huyo mkurugenzi na hawara yake Catherine?
Na hapa Lema anaingiaje wewe gamba?
 
Hapo umeona mbali sana kiongozi,huu utekaji umepangwa kuharibu jina la mtu
Huyo mtu anayetaka kuharibu jina la mtu anauwezo wa kutoa barua ya kutengua cheo?na kweli cheo kikatenguliwa kivitendo?

Ubongo wangu utakuwa mdogo sana kwa namna nilivyofikiri ila kama itakuwa vinginevyo kwa mazingira tu, basi kwa mtiririko wa barua ya kupanda na kushushwa cheo ulivyo wewe ndo utakuwa na ubongo mdogo sana mithili ya ule wa kuku.
 
Nilikuwa natafuta TAA MKO, uzi ushafika post ya 78 na hakuna TAA MKO!
 
1. Pole sana kwa yaliyokukuta, Mungu ni mwema uko hai,mtegemee yeye atakulinda wakati wote.
2. Arusha hasa hapo mjini kuna sintofahamu inayotokana na uoga wa CCM dhidi ya Godbless Lema, jambo linalopelekea wanajifanya wanyama.
3. Hili suala usikimbie kimbie nalo, lifanyie utafiti/ufuatiliaji wa kimya kimya ili kufahamu nini ni nini,itakusaidia kwenye maamuzi.
4. Kuna barua hapo juu ulipokea tarehe 17/08/2016,lakini imepitishwa na Mkuu wa shule tarehe 22/08/2016, inamaana ulipewa kabla haijapitishwa na Mkuu wa Shule?

5. Hili suala usikimbilie kulisolve kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…