SeriaJr TW
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 246
- 224
Kwamba Mkurugenzi Kihsmia na Mbunge Magige ndio wanataka kumharibia Gambo!? Sijakuelewa..Hapo umeona mbali sana kiongozi,huu utekaji umepangwa kuharibu jina la mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba Mkurugenzi Kihsmia na Mbunge Magige ndio wanataka kumharibia Gambo!? Sijakuelewa..Hapo umeona mbali sana kiongozi,huu utekaji umepangwa kuharibu jina la mtu
Mkuu wa shule hapitishi barua.. Uteuzi ulianza tar 17 na akaambiwa Tarehe 22 aliyoitaja ni Mwalimu mkuu kutoa hongera zake..1. Pole sana kwa yaliyokukuta, Mungu ni mwema uko hai,mtegemee yeye atakulinda wakati wote.
2. Arusha hasa hapo mjini kuna sintofahamu inayotokana na uoga wa CCM dhidi ya Godbless Lema, jambo linalopelekea wanajifanya wanyama.
3. Hili suala usikimbie kimbie nalo, lifanyie utafiti/ufuatiliaji wa kimya kimya ili kufahamu nini ni nini,itakusaidia kwenye maamuzi.
4. Kuna barua hapo juu ulipokea tarehe 17/08/2016,lakini imepitishwa na Mkuu wa shule tarehe 22/08/2016, inamaana ulipewa kabla haijapitishwa na Mkuu wa Shule?
5. Hili suala usikimbilie kulisolve kisiasa.
Umekariri. Usipoweka audio kwa hiyo story ibaki ina hang? Kwa nn hukusubir audio umeanza na text? Au na wewe shigongo?Soma uelewa kabla ya kuandika kwa kukurupuka nimeomba msaada wa mods kuweka Audio hapo juu hili siyo swala la kisiasa uwe unajiongeza
Survival of the fittest......What is the name of this game[emoji780]
Kuna watu hata ukileta post ya mke kapigwa na mumewe Arusha bado watasema chanzo ni lema.... Uvivu wa kushirikisha akili.Mapungufu au upuuzi wa watekaji haiwezi kuwa sababu ya kufanya tusiamini uwepo wa tukio la utekaji haraka kiasi hiki. Wakati mwingine tukio la utekaji huweza kupangwa kipuuzi kutegemea na malengo ya watekaji au mfadhili wa utekaji wenyewe. Umakini unaotaka tuwe nao ni pamoja na wewe kutoharakisha kupuuza utekaji kwa sababu ya upuuzi wa watekaji!
soma caption vizuriUmejuaje?
Mbona unatokwa na povu sana kwa hiyo huu ukatili hukutakiwa kuripotiwa kwenye mitandaoni?Hivi ile kesi ya Kagenzi iliishia wapi?
Kama tayari keshatoa maelezo yake polisi na uchunguzi unaendelea kulikuwa na haja gani yakukimbilia mitandaoni sasa?