Mkereketwa wa NAZI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 1,048
- 2,449
Dogo itakuwa michezo yake maana mtu kudindisha ukiwa under pressure n ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😁Hatari sana huyu mwalimu ngoja aende jela wakamfaidi vizuri
Kabisa naunga mkono hojaDogo itakuwa michezo yake maana mtu kudindisha ukiwa under pressure ni ngumu
YANI kaliwa na jera kaenda Dunia tambala bovuMwalimu wa Shule ya Sekondari Naputa iliyopo Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, aliyetambulika kwa jina moja, Said, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na mwanafunzi wake.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Issa Suleiman amesema siku za nyuma mwalimu huyo alijenga urafiki na mwanafunzi wa kidato cha nne (19) anayesoma shuleni hapo kwa kumnunulia vitafunwa shuleni hapo.
Amesema baada ya muda, mwalimu alimtaka mwanafunzi huyo akamtembelee nyumbani kwake na ndipo alipoanza kumuonyesha video chafu kupitia simu janja kisha kumsihi amwingilie kinyume na maumbile.
Ameeleza kuwa baada ya mwanafunzi huyo kuambiwa hivyo alikataa na kusema hawezi kufanya kitendo hicho, ndipo mwalimu alipoanza kumtisha kwa kumwambia asipofanya hivyo atapata adhabu kali mara kwa mara shuleni pamoja na kufukuzwa shule na hapo ndipo alipolazimika kufanya jambo hilo bila ridhaa yake
Iyo n ngumu sn ukiwa under pressure na hayo maelezo n ngumu labda kama mwanaume kumbaka mwanamke ila sio mwanaume alazimishwe iyo noKabisa naunga mkono hoja
Mbona hatuchunguzi cenario yenyewe tunaishia tu kujadili tendo na hukumu?Mwanafunzi miaka 19 anatishiwa kidogo tu anakubali?
Vipi hawa primary miaka 7
Inqtisha kwa wenye watoto
HUyu magereza hapangwi selo ya kawaida anapangwa selo ya Dini maana ukishajulikana wewe ni mgao gai wanakutenga usije endeleza tabia yakoNyama ya nyapara...Ila daah!
Kuna yule mmoja Hivi ndio michezo yake hii na anaweza akaja kwenye huu Uzi kuwatetea wenzie😁😂 Cc and 100 others 100 othersKuna watu wao kwenda Mbinguni hawataki kabisaa..!
Ptuuuuuu
Afanfe Rama mshenzi sanaSaid na Rama haya majina ma sheikh wangu msiwape watoto zenu.
Duh kwahiyo skuiz wanaume wanaliwa kama wanawake au? Sasa kama ndo hivi Kuna utofauti Gani na mwanamkeMwalimu wa Shule ya Sekondari Naputa iliyopo Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, aliyetambulika kwa jina moja, Said, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na mwanafunzi wake.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Issa Suleiman amesema siku za nyuma mwalimu huyo alijenga urafiki na mwanafunzi wa kidato cha nne (19) anayesoma shuleni hapo kwa kumnunulia vitafunwa shuleni hapo.
Amesema baada ya muda, mwalimu alimtaka mwanafunzi huyo akamtembelee nyumbani kwake na ndipo alipoanza kumuonyesha video chafu kupitia simu janja kisha kumsihi amwingilie kinyume na maumbile.
Ameeleza kuwa baada ya mwanafunzi huyo kuambiwa hivyo alikataa na kusema hawezi kufanya kitendo hicho, ndipo mwalimu alipoanza kumtisha kwa kumwambia asipofanya hivyo atapata adhabu kali mara kwa mara shuleni pamoja na kufukuzwa shule na hapo ndipo alipolazimika kufanya jambo hilo bila ridhaa yake
Mwalimu wa kiume aitwaye Ramadhan Said Nanyalika (32) Mkazi wa Mtaa wa Matogoro, Tandahimba Mjini Mkoani Mtwara ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Sekondari Naputa, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 baada ya kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile.
Taarifa hiyo imetolewa leo July 09,2024 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, SACP, Issa Suleiman, wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya doria, misako, oparesheni na mafanikio ya Mahakamani kuanzia June 01, 2024 hadi Jume 3, 2024.
RPC Issa amesema “Mtuhumiwa siku za nyuma alijenga urafiki Shuleni na Mwanafunzi wa kiume wa kidato cha nne mwenye umri wa miaka 19 ambaye jina lake limehifadhiwa kwa kuanza kumnunulia vitafunwa Shuleni na kisha kumtaka Mwanafunzi huyo amtembelee nyumbani kwake, siku Mwanafunzi huyo alipomtembelea nyumbani, Mwalimu huyo alianza kwa kumuonesha video chafu kupitia simu janja yake (smartphone) na baadaye kumtaka amuingilie kinyume na maumbile”
“Baada ya Mwanafunzi huyo kuambiwa hivyo alikataa na kusema hawezi kufanya kitendo hicho, ndipo Mwalimu alianza kumtisha kwa kumwambia endapo hatokubali kufanya hivyo atapata adhabu za mara kwa mara ikiwa ni pamoja na kufukuzwa Shule, kutokana na vitisho hivyo Mwanafunzi huyo
alilazimika kutekeleza kitendo hicho pasipo ridhaa yake na akamuingilia Mwalimu wake kinyume na maumbile”
#MillardAyoUPDATES
Dunia inatisha mkuuDuh! Kumbe haya mambo yako serious kiasi hiki🤔