Mwalimu atupwa jela miaka 30 kwa kumshawishi mwanafunzi amlawiti

Mwalimu atupwa jela miaka 30 kwa kumshawishi mwanafunzi amlawiti

Hivi Wasenge kumbe wapo hadi huko Tandahimba?

Miaka yote huwa nadhani wanapatikana maeneo ya Majiji makubwa ya DSM, Arusha n.k

Kumbe hadi Chitoholi Kwa akina Harmonize πŸ™Œ

Kweli Dunia hadaa ....
Usikute katoka mkoa mwingine kwenda kufundisha huko
Kila mkoa hawawezi kukosa ila mikoa inazidiana wingi wa watu hao
 
Eti alishindwa kutafuta jamaa wa mtaani, amfanye bwana ake, na vipesa anavyo mbona angetaka kubadilisha vijana ni yeye tyuuh.

Au alivutiwa na Dogo wa fomu foo! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ma baharia tupo tu hatuna ajira angetupa kazi tuu tumkaze kikubwa maokoto...Mengine mbele kwa mbele
 
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Naputa iliyopo Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, aliyetambulika kwa jina moja, Said, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na mwanafunzi wake.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Issa Suleiman amesema siku za nyuma mwalimu huyo alijenga urafiki na mwanafunzi wa kidato cha nne (19) anayesoma shuleni hapo kwa kumnunulia vitafunwa shuleni hapo.


Amesema baada ya muda, mwalimu alimtaka mwanafunzi huyo akamtembelee nyumbani kwake na ndipo alipoanza kumuonyesha video chafu kupitia simu janja kisha kumsihi amwingilie kinyume na maumbile.

Ameeleza kuwa baada ya mwanafunzi huyo kuambiwa hivyo alikataa na kusema hawezi kufanya kitendo hicho, ndipo mwalimu alipoanza kumtisha kwa kumwambia asipofanya hivyo atapata adhabu kali mara kwa mara shuleni pamoja na kufukuzwa shule na hapo ndipo alipolazimika kufanya jambo hilo bila ridhaa yake
acha nikae kimya
ulimi koma
 
Ulikua level gani? Acha uongoo, hakuna ticha wa kumuogopa mwanafunzii, useme alikuambia labda usitangaze kwa watu baas.

Sio kumpiga biti kalii, em tutolee uongo wako hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaa, Nilikua kidato cha 4 zile wiki za mwishomwisho karibia na mitiani ambapo niliamua kupanga geto jirani na shule maana nilikua nakaa mbali na shule na huyo Tcha alikua anaishi apoapo shule.

Alianza mazoea kidogo kidogo mara nikamsaidie kusahisha mitiani ya madogo mara ananigawia unga wa kutumia geto and the like ilimradi nijae kwenye mfumo wake
..

Ntarudi
 
Hivi mwalimu mzima tena mwenye Degree, unaishia kupoteza ajira yako kizembe tyuuh? Ko muda wote uliokua shule kutafuta vyeti ni buree? Afu unakuja kuharbikiwa kisa mtoto mdogo ambaye hata kufua boxer vizuri hawezi, kunyoa vuzi shidaa, ukute shahawa anazotoa ni laini na nyepesi hata hazisisimui, khaaah

Alishindwa kutafuta majamaa ya mtaani? Vipi hana school/class mate? Sasa Elimu yake ilimsaidia kwa kipii? Maana msomi lazima ukae kisomii, nyege unajua namna ya kuzi control, hivi hawa baadhi ya vidampaa wana nn lakinii?

Raha ya usenge uwe na class au standard fulani, tena yeye anajimudu na anajiwezaa mbona ni mwendo wa kudevelekaa tyuuh na life, anatafuta kijana mmoko anamfanya kiben10 wake, anafaidi uboo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hicho kimwanafunzi kilikua na lipi jipya au maajabu gani had ticha aangukie hapo? Mbona inashangazaa khaaa!! Huyo ticha si bora hata angemshawishi ticha mwenzie, Woiiiih
Viwanafunzi havina akili, ukute alikua anawaambia wenzie kua sir fulani ni shoga huwa namfokoagaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Poleee yake sanaa!! Namsikitikia kwa kupoteza ajiraa, maana kuhusu Jela najua lazima atoke soon, maisha ya msoto yanamsubirii.

Duuh!!
Inasikitisha form four
thanks Lord 35+ is my πŸ”₯πŸ”₯
 
Daaa!! tumefika mahali pabaya sana.
Watoto wanaangamizwa na walimu tunao wategemea!!πŸ™„ Tuwafiche wapi watoto wetu?
 
Back
Top Bottom