Mwalimu atupwa jela miaka 30 kwa kumshawishi mwanafunzi amlawiti

Mwalimu atupwa jela miaka 30 kwa kumshawishi mwanafunzi amlawiti

Hahaa, Nilikua kidato cha 4 zile wiki za mwishomwisho karibia na mitiani ambapo niliamua kupanga geto jirani na shule maana nilikua nakaa mbali na shule na huyo Tcha alikua anaishi apoapo shule.

Alianza mazoea kidogo kidogo mara nikamsaidie kusahisha mitiani ya madogo mara ananigawia unga wa kutumia geto and the like ilimradi nijae kwenye mfumo wake
..

Ntarudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em rudi na uzi kabisaa, nipo kusubiri story.
 
Inasikitisha form four
thanks Lord 35+ is my [emoji91][emoji91]
Eti kweli Dear, f4? Hata ana mvuto wa ushawishi gani?
At least above 25. Hapo hata life secret anajua.

Huyu Ticha alikwamaa wapiii?? Aaaaah
 
Sasa huyu jamaa anaenda kuliwa kiulaini kabisa jela hadi hamu imuishe
 
Hayo mambo yamezidi sana huko pwani pwani na pemba
 
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Naputa iliyopo Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, aliyetambulika kwa jina moja, Said, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na mwanafunzi wake.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Issa Suleiman amesema siku za nyuma mwalimu huyo alijenga urafiki na mwanafunzi wa kidato cha nne (19) anayesoma shuleni hapo kwa kumnunulia vitafunwa shuleni hapo.


Amesema baada ya muda, mwalimu alimtaka mwanafunzi huyo akamtembelee nyumbani kwake na ndipo alipoanza kumuonyesha video chafu kupitia simu janja kisha kumsihi amwingilie kinyume na maumbile.

Ameeleza kuwa baada ya mwanafunzi huyo kuambiwa hivyo alikataa na kusema hawezi kufanya kitendo hicho, ndipo mwalimu alipoanza kumtisha kwa kumwambia asipofanya hivyo atapata adhabu kali mara kwa mara shuleni pamoja na kufukuzwa shule na hapo ndipo alipolazimika kufanya jambo hilo bila ridhaa yake
Walimu wanasumbuliwa na stress za maisha. Ukute asilimia kubwa ya walimu ni mashoga. Na pia walimu wa kike nao wamekuwa wakiwarubuni wanafunzi wa kiume wawadinye, hasa wale masingo mathas. Tutasikia mengi mwaka huu.
 
Aah inafikirisha kidogo..huyo dogo ktk mazingira magumu namna hiyo bila hata yeye kupenda , alihamasika mpaka mnara ukasimama kisha akafanikiwa? Kisaikolojia labda ushawishi ulimwingia damuni kabisa ..sielewi mimi..parents pamoja na kuwalea vijana wetu tuwaombee pia Mungu awatunze, wamche Mungu
 
Back
Top Bottom