Mwalimu atupwa jela miaka 30 kwa kumshawishi mwanafunzi amlawiti

Ushoga na ufiraji umeenea sana, jamii inapaswa kurejea mafundisho ya dini na maadili ya enzi za mababu
Mafundisho gani ya dini yanakemea ushoga ikiwa mtume alimla mtu denda na kunyonywa dushe huku papaakishinikiza wanaume kuoana
 
Dkt Gwajima D ni wakati muafaka wizara yako iweke ma saikolojisti wataotembelea kila shule na kuongea na wanafunzi kitaalam na kujuwa matatizo yao. Utakuta walimu namna hiyo wapo wengi, wanaoliwa na kuwala wanafunzi.
 
Dunia inakwenda kwa Kasi sana
 
Attachments

  • IMG-20240710-WA0067.jpg
    IMG-20240710-WA0067.jpg
    58.6 KB · Views: 10
Nasikia mwl alipotajiwa kifungo kafurahi sana maana kule masela walivyo na ugwadu halafu demu peke yake
 
Mwalimu kalalamika kamwambia hakimu hiyo nanihii ni ya kwake na si mali ya Serikali - na ndiyo maana kila anakoenda anaenda nayo.

Je kuna sheria ipi inayosema huko nyuma ni mali ya Serikali ?
-
ha ha ha ha
 
Dunia inakwenda kwa Kasi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sir Rama ana hoja, asikilizwee!! Kwanza Ticha unakubali vipi kutupwa jelaa?? Aaaah wee kataa rufaaa, wakili wako niko hapa, nakuja huko mtwaraa wasitutanie sie hapaaa.

Mkundu sio mali ya serikali, Mkundu ni mali ya mtu binafsiii.
Tichaaa aachiwe huru na ajira yake iwepo, akafundishee wanafunzi, eboooooh..
 
Mwalimu kalalamika kamwambia hakimu hiyo nanihii ni ya kwake na si mali ya Serikali - na ndiyo maana kila anakoenda anaenda nayo.

Je kuna sheria ipi inayosema huko nyuma ni mali ya Serikali ?
-
ha ha ha ha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwalimu ana hojaa na asikilizwee!!! Mkundu ni mali yakee, Serikali iache uonevuu.

Najitoleaa kuwa wakili wa mwalimu, nataka nikaburuzane nae huyo hakimu hapo mahakamani kisheria, aaah wee!!

Rais alishasema, wafanye wakubwa kwa wakubwa!! Sasa mtu ana 19yrs si mtu mzima huyoo?

Mahakama imuache huru Sir Ramaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Naputa iliyopo Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, aliyetambulika kwa jina moja, Said, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na mwanafunzi wake.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Issa Suleiman amesema siku za nyuma mwalimu huyo alijenga urafiki na mwanafunzi wa kidato cha nne (19) anayesoma shuleni hapo kwa kumnunulia vitafunwa shuleni hapo.

Amesema baada ya muda, mwalimu alimtaka mwanafunzi huyo akamtembelee nyumbani kwake na ndipo alipoanza kumuonyesha video chafu kupitia simu janja kisha kumsihi amwingilie kinyume na maumbile.

Ameeleza kuwa baada ya mwanafunzi huyo kuambiwa hivyo alikataa na kusema hawezi kufanya kitendo hicho, ndipo mwalimu alipoanza kumtisha kwa kumwambia asipofanya hivyo atapata adhabu kali mara kwa mara shuleni pamoja na kufukuzwa shule na hapo ndipo alipolazimika kufanya jambo hilo bila ridhaa yake
Hakumuona Nawanda? Yote haya yasingemkuta
 
Sasa ss tusemeje Dunia ndvo ilipo fka hata kwa maombi aiwezekan kmnyoko uyo mwanafunz na mwalimu walitakiwa kunyongwa nwanafunz ataendelea maana kasha pga matako atawataman wanaume aiseee

Back
Top Bottom