Mwalimu atupwa jela miaka 30 kwa kumshawishi mwanafunzi amlawiti

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em rudi na uzi kabisaa, nipo kusubiri story.
 
Inasikitisha form four
thanks Lord 35+ is my [emoji91][emoji91]
Eti kweli Dear, f4? Hata ana mvuto wa ushawishi gani?
At least above 25. Hapo hata life secret anajua.

Huyu Ticha alikwamaa wapiii?? Aaaaah
 
Kuna jamaa alileta habar kama hii mkoa wa morogoro ,akashambuliwa kuwa atakuw na ugomvi na mwalimu anaejihusisha na Tabia hzo..Sasa mmejionea wenyew
 
Sasa huyu jamaa anaenda kuliwa kiulaini kabisa jela hadi hamu imuishe
 
Hayo mambo yamezidi sana huko pwani pwani na pemba
 
Walimu wanasumbuliwa na stress za maisha. Ukute asilimia kubwa ya walimu ni mashoga. Na pia walimu wa kike nao wamekuwa wakiwarubuni wanafunzi wa kiume wawadinye, hasa wale masingo mathas. Tutasikia mengi mwaka huu.
 
Aah inafikirisha kidogo..huyo dogo ktk mazingira magumu namna hiyo bila hata yeye kupenda , alihamasika mpaka mnara ukasimama kisha akafanikiwa? Kisaikolojia labda ushawishi ulimwingia damuni kabisa ..sielewi mimi..parents pamoja na kuwalea vijana wetu tuwaombee pia Mungu awatunze, wamche Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…