TANZIA Mwalimu auawa na Mwalimu mwenzake shuleni

Hii ni mada inajadiliwa na tuna haki ya disagree, issue ya AKA pale Durban, SA ni tofauti na hii,mtoa mada mpaka ametoa picha ya marehemu, ninajaribu kuona kama Police Geita wametoa statement kuhusu murder hii sijaona, wewe ukija pata taarifa za kifo cha close family member thr social media, may be utafikiri twice, but anyway haya ndio maoni yangu you can't change it
 
Inaweza kuwa ni wivu wakimapenzi au uchawi..Hao mabwege nasikia wanarogana sana kupata vinafasi vya pesa Kama kusimamia mitihani au kuwa wakuu wa shule si wakuu wa shule wanalipwa posho ya 50000
Kazi ya laana na umasikini sana hiyo.
 
Rip Mwl..
 
Inaweza kuwa ni wivu wakimapenzi au uchawi..Hao mabwege nasikia wanarogana sana kupata vinafasi vya pesa Kama kusikamia mitihani au kuwa wakuu wa shule
Kazi ya laana na umasikini sana hiyo.
Mabwege!!?
Kusikamia!?
Laana!?
Are you godamn serious!?
 
walimu wa miaka hii ni vituko kwa kweli, zamani waalimu walikuwa watu wazima wenye heshima zao...siku hizi nashindwa niseme ni waalimu wa aina gani kwakweli?
Walimu hao unafikiri wanatoka Dunia ipi kama siyo hii hii ya wapenda singeli na wapenda Kwa mpalange!!?

Hii tabia ya kuwaumba kinafiki kama viumbe Fulani very unique na spotless siipendi

Kama mapadri na masheikh wanalawiti watoto,itakuwa Hawa walimu ambao ni part and parcel ya jamii yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…