TANZIA Mwalimu auawa na Mwalimu mwenzake shuleni

TANZIA Mwalimu auawa na Mwalimu mwenzake shuleni

Una uhakika mtoa mada ndio mtoa taarifa wa kwanza wa huu msiba? Yaani ndugu ndio wanaona hapa?
Bahati mbaya dunia ya sasa inazunguka kwemye social media si huku kwetu unapopaita pithole country au huko ulipo heaven on earth issues ni hizi hizi. Juzi juzi tu star SA kafia jukwaani within minutes dunia nzima imejua kupitia social networks,aka nae same huko USAUK watu kibao wanauana na tunaona mitandaoni. Hio haina maana kwamba Hakuna formal process ya kutoa taarifa kwa wahusika.
Hii ni mada inajadiliwa na tuna haki ya disagree, issue ya AKA pale Durban, SA ni tofauti na hii,mtoa mada mpaka ametoa picha ya marehemu, ninajaribu kuona kama Police Geita wametoa statement kuhusu murder hii sijaona, wewe ukija pata taarifa za kifo cha close family member thr social media, may be utafikiri twice, but anyway haya ndio maoni yangu you can't change it
 
Lazima mwalimu mwenzie alimuonea wivu mwenzake kwa kuvaa kiatu kipya
IMG_1289.jpg
 
GEITA.

Kuna tukio la mauaji limetokea Mkoa wa Geita Wilaya ya Geita.

Mwalimu Emmanuel Peter Chacha wa shule ya msingi Igaka iliyoko halmashaur ya Wilaya ya Geita ameuwawa Leo march 15 Kwa kuchomwa kisu na mwalim mwenzake.

Marehem alichomwa kisu wakati akielekea darasani kufundisha.

Haijajulikana Kwa yakini sababu zilizopelekea kutoka Kwa tukio Hilo.

Hapa Chini ni picha ya marehem Mwl Emmanuel Peter Chacha enzi za Uhai wake.

So sad!View attachment 2552701
mpwayungu village Mshana Jr
Inaweza kuwa ni wivu wakimapenzi au uchawi..Hao mabwege nasikia wanarogana sana kupata vinafasi vya pesa Kama kusimamia mitihani au kuwa wakuu wa shule si wakuu wa shule wanalipwa posho ya 50000
Kazi ya laana na umasikini sana hiyo.
 
GEITA.

Kuna tukio la mauaji limetokea Mkoa wa Geita Wilaya ya Geita.

Mwalimu Emmanuel Peter Chacha wa shule ya msingi Igaka iliyoko halmashaur ya Wilaya ya Geita ameuwawa Leo march 15 Kwa kuchomwa kisu na mwalim mwenzake.

Marehem alichomwa kisu wakati akielekea darasani kufundisha.

Haijajulikana Kwa yakini sababu zilizopelekea kutoka Kwa tukio Hilo.

Hapa Chini ni picha ya marehem Mwl Emmanuel Peter Chacha enzi za Uhai wake.

So sad!View attachment 2552701
mpwayungu village Mshana Jr
Rip Mwl..
 
walimu wa miaka hii ni vituko kwa kweli, zamani waalimu walikuwa watu wazima wenye heshima zao...siku hizi nashindwa niseme ni waalimu wa aina gani kwakweli?
Walimu hao unafikiri wanatoka Dunia ipi kama siyo hii hii ya wapenda singeli na wapenda Kwa mpalange!!?

Hii tabia ya kuwaumba kinafiki kama viumbe Fulani very unique na spotless siipendi

Kama mapadri na masheikh wanalawiti watoto,itakuwa Hawa walimu ambao ni part and parcel ya jamii yetu
 
Back
Top Bottom