TANZIA Mwalimu auawa na Mwalimu mwenzake shuleni

TANZIA Mwalimu auawa na Mwalimu mwenzake shuleni

Una uhakika mtoa mada ndio mtoa taarifa wa kwanza wa huu msiba? Yaani ndugu ndio wanaona hapa?
Bahati mbaya dunia ya sasa inazunguka kwemye social media si huku kwetu unapopaita pithole country au huko ulipo heaven on earth issues ni hizi hizi. Juzi juzi tu star SA kafia jukwaani within minutes dunia nzima imejua kupitia social networks,aka nae same huko USAUK watu kibao wanauana na tunaona mitandaoni. Hio haina maana kwamba Hakuna formal process ya kutoa taarifa kwa wahusika.
Ishu ya star wa SA itakuwa kulikuwa na Sheriff pamoja na next of kin pale ukumbini ndo ikawa rahisi sheriff kumpa taarifa next of kin na sisi tukaipata habari .... hii ni mujibu wa huyo boya aliyeandika ushuzi na kuita nchi yake pithole country
 
Means wewe it's ok kusikia na kuona picha za baba ,mama,dada etc kwenye social networks siku wakifa?,sikulaumu matokeo ya kuishi ni pithole country, issue kama hii sherrif anakuja kwenye address ya next of kin na kumpa taarifa, sio kama mtoa mada hii alivyofanya
We umedata siyo bure, kwahiyo taarifa kuambatanishwa na picha ndo unaona haifai? [emoji848]
 
GEITA.

Kuna tukio la mauaji limetokea Mkoa wa Geita Wilaya ya Geita.

Mwalimu Emmanuel Peter Chacha wa shule ya msingi Igaka iliyoko halmashauri ya Wilaya ya Geita ameuawa Leo March 15 Kwa kuchomwa kisu na mwalimu mwenzake.

Marehemu alichomwa kisu wakati akielekea darasani kufundisha.

Haijajulikana Kwa yakini sababu zilizopelekea kutoka Kwa tukio Hilo.

Hapa Chini ni picha ya marehemu Mwl Emmanuel Peter Chacha enzi za Uhai wake.

So sad!View attachment 2552701
mpwayungu village Mshana Jr
Apumzike kwa amani..haya yanaweza kuwa ni mauaji ya visasi
 
Kuna mikoa ukiwa smart kichwani hutakiwi kuishi wa kwanza Geita, Shinyanga, Njombe, Kigoma, Tanga


Hii mikoa ina jamii za watu wengi wajinga,washamba , washirikina, wavivu n.k

Ni mtazamo wako tu si universal fact.
 
Ila picha zinaongea
JamiiForums1297419490.jpg
 
Linaua watu sana Jambo Lilee!

Hasa maeneo yenye Pisi kali kama Shule ilee!
 
Wewe mshamba tu!

Hiyo sio sticker ya upya...
Ni urembo (chain card) ya kiatu.
Ndio style ya kiatu ilivo.

Badala ushangae kwanini mchizi ana bandeji mkono wa kushoto, unashangaa style ya viatu?
Hkn hyo stiker haina maana mwamb kazingua kutupia nayo hvyo uvyo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mikoa ukiwa smart kichwani hutakiwi kuishi wa kwanza Geita, Shinyanga, Njombe, Kigoma, Tanga


Hii mikoa ina jamii za watu wengi wajinga,washamba , washirikina, wavivu n.k

Ni mtazamo wako tu si universal fact.
Rukwa 1st
 
Back
Top Bottom