Minja Ngalason
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,284
- 1,839
Watu mna majungu[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkurya kakutana na ngosha , vita ni vita muraa ,mbuzi kafia kwa muuza supuGEITA.
Kuna tukio la mauaji limetokea Mkoa wa Geita Wilaya ya Geita.
Mwalimu Emmanuel Peter Chacha wa shule ya msingi Igaka iliyoko halmashauri ya Wilaya ya Geita ameuawa Leo March 15 Kwa kuchomwa kisu na mwalimu mwenzake.
Marehemu alichomwa kisu wakati akielekea darasani kufundisha.
Haijajulikana Kwa yakini sababu zilizopelekea kutoka Kwa tukio Hilo.
Hapa Chini ni picha ya marehemu Mwl Emmanuel Peter Chacha enzi za Uhai wake.
So sad!View attachment 2552701
mpwayungu village Mshana Jr
Wewe na u-smart wako unamzidi Nini FRESHO,GAKI,SALUM'JAMBO',NDEGESELA,GACHUMA,MWANZA HUDUMA etcKuna mikoa ukiwa smart kichwani hutakiwi kuishi wa kwanza Geita, Shinyanga, Njombe, Kigoma, Tanga
Hii mikoa ina jamii za watu wengi wajinga,washamba , washirikina, wavivu n.k
Ni mtazamo wako tu si universal fact.
Mimi nakula misele nchi nzima. Nishindwe kupata visa ya kuishi ughaibuni hata kuzungukia East Africa nako nishindwe?
Acheni ujuaji basi Kila mahali, hili ni tukio la mauaji na limetokea in a public area unataka watu wasitoe ripoti? Sio kama kamfata mgonjwa wa malaria hospitali akampiga picha dakika za mwisho akaja m report kwenye social networksMeans wewe it's ok kusikia na kuona picha za baba ,mama,dada etc kwenye social networks siku wakifa?,sikulaumu matokeo ya kuishi ni pithole country, issue kama hii sherrif anakuja kwenye address ya next of kin na kumpa taarifa, sio kama mtoa mada hii alivyofanya
Jo. Acha unaa, ulitaka tusubiri wanafamilia watoe ruhusa ndio tupate taarifa ya huyu mwamba? unaishi dunia ipiHii ni mada inajadiliwa na tuna haki ya disagree, issue ya AKA pale Durban, SA ni tofauti na hii,mtoa mada mpaka ametoa picha ya marehemu, ninajaribu kuona kama Police Geita wametoa statement kuhusu murder hii sijaona, wewe ukija pata taarifa za kifo cha close family member thr social media, may be utafikiri twice, but anyway haya ndio maoni yangu you can't change it
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] SEMA cannabis sativa leaves smoking from Arusha & mwakaleki 7Unavuta sana bange wewe.
Mkuu Uandishi wako wa kupendwa kutoa hitimisho kwa kila jambo unanifamya nijue umri wako!! Yakupa upevuke kiakili.Kwamba mikoani hakuna watu smart ila wapo dar tu au,na mikoani ni wapi huko maana hata hiyo dar ni mkoaUkiishi mikoani hakikisha unavaa kawaida
Unalala pabaya
Ushobokei mademu zao
Unaishi kawaida
Mikoani wakijua upo smart kichwani wanakuua dk 0 .au kukutupia jini na ulozi ndo maana watu wengi hawataki kufanya Kazi huko.
Rip HoMie
Chizi wwPoleni kwa wafiwa ila binafsi sipendi taarifa kama hizi kwenye hizi social networks, je mtoa mada next of kin wa marehemu ana taarifa?,je kuna tamko kutoka police kuhusiana na mauaji haya?
We zuzu, Sasa we ungepataje habari bila social networkMeans wewe it's ok kusikia na kuona picha za baba ,mama,dada etc kwenye social networks siku wakifa?,sikulaumu matokeo ya kuishi ni pithole country, issue kama hii sherrif anakuja kwenye address ya next of kin na kumpa taarifa, sio kama mtoa mada hii alivyofanya
RIP Mwalimu,Hapa Chini ni picha ya marehemu Mwl Emmanuel Peter Chacha enzi za Uhai wake.
Hii issue ya k kuibiana.GEITA.
Kuna tukio la mauaji limetokea Mkoa wa Geita Wilaya ya Geita.
Mwalimu Emmanuel Peter Chacha wa shule ya msingi Igaka iliyoko halmashauri ya Wilaya ya Geita ameuawa Leo March 15 Kwa kuchomwa kisu na mwalimu mwenzake.
Marehemu alichomwa kisu wakati akielekea darasani kufundisha.
Haijajulikana Kwa yakini sababu zilizopelekea kutoka Kwa tukio Hilo.
Hapa Chini ni picha ya marehemu Mwl Emmanuel Peter Chacha enzi za Uhai wake.
So sad!View attachment 2552701
mpwayungu village Mshana Jr
Walimu wa primary ni tatizo, something has to be done!GEITA.
Kuna tukio la mauaji limetokea Mkoa wa Geita Wilaya ya Geita.
Mwalimu Emmanuel Peter Chacha wa shule ya msingi Igaka iliyoko halmashauri ya Wilaya ya Geita ameuawa Leo March 15 Kwa kuchomwa kisu na mwalimu mwenzake.
Marehemu alichomwa kisu wakati akielekea darasani kufundisha.
Haijajulikana Kwa yakini sababu zilizopelekea kutoka Kwa tukio Hilo.
Hapa Chini ni picha ya marehemu Mwl Emmanuel Peter Chacha enzi za Uhai wake.
So sad!View attachment 2552701
mpwayungu village Mshana Jr
Na wewe badala ushangae mchizi anawaza nini unaenda kushangaa pamba zilizopo mkono wa kushoto halafu unaziita bandageWewe mshamba tu!
Hiyo sio sticker ya upya...
Ni urembo (chain card) ya kiatu.
Ndio style ya kiatu ilivo.
Badala ushangae kwanini mchizi ana bandeji mkono wa kushoto, unashangaa style ya viatu?