TANZIA Mwalimu auawa na Mwalimu mwenzake shuleni

Mkurya kakutana na ngosha , vita ni vita muraa ,mbuzi kafia kwa muuza supu
 
Hiyo mikoa siyo..inahitaji utafiti.Ngo changamkieni fursa.
 
Kuna mikoa ukiwa smart kichwani hutakiwi kuishi wa kwanza Geita, Shinyanga, Njombe, Kigoma, Tanga


Hii mikoa ina jamii za watu wengi wajinga,washamba , washirikina, wavivu n.k

Ni mtazamo wako tu si universal fact.
Wewe na u-smart wako unamzidi Nini FRESHO,GAKI,SALUM'JAMBO',NDEGESELA,GACHUMA,MWANZA HUDUMA etc
 
Acheni ujuaji basi Kila mahali, hili ni tukio la mauaji na limetokea in a public area unataka watu wasitoe ripoti? Sio kama kamfata mgonjwa wa malaria hospitali akampiga picha dakika za mwisho akaja m report kwenye social networks

Haya we mzungu Uchwara niambie ni nchi Gani ambao raia Hawa report vifo kama hivi kwenye social platforms wanasubiri mpaka sheriff amtafute next of kin?

Mkishaangalia movie mbili tatu mnakua wazungu
 
Jo. Acha unaa, ulitaka tusubiri wanafamilia watoe ruhusa ndio tupate taarifa ya huyu mwamba? unaishi dunia ipi

Magu alitema ndoano lkn dunia na wa Tz tukajua kabla serikali haijatoa taarifa rasmi sembuse teacher ambaye amevaa raba ambayo bado Ina utepe.

Tusirudi zama zile jo. Kama uliona sio poa ungepita kimya tu bila kuchangia
 
Ukiishi mikoani hakikisha unavaa kawaida
Unalala pabaya
Ushobokei mademu zao
Unaishi kawaida

Mikoani wakijua upo smart kichwani wanakuua dk 0 .au kukutupia jini na ulozi ndo maana watu wengi hawataki kufanya Kazi huko.

Rip HoMie
 
Ukiishi mikoani hakikisha unavaa kawaida
Unalala pabaya
Ushobokei mademu zao
Unaishi kawaida

Mikoani wakijua upo smart kichwani wanakuua dk 0 .au kukutupia jini na ulozi ndo maana watu wengi hawataki kufanya Kazi huko.

Rip HoMie
Mkuu Uandishi wako wa kupendwa kutoa hitimisho kwa kila jambo unanifamya nijue umri wako!! Yakupa upevuke kiakili.Kwamba mikoani hakuna watu smart ila wapo dar tu au,na mikoani ni wapi huko maana hata hiyo dar ni mkoa

Badilika na upevuke kiakili,!!
 
We zuzu, Sasa we ungepataje habari bila social network
 
Hii issue ya k kuibiana.
 
Walimu wa primary ni tatizo, something has to be done!
 
Wewe mshamba tu!

Hiyo sio sticker ya upya...
Ni urembo (chain card) ya kiatu.
Ndio style ya kiatu ilivo.

Badala ushangae kwanini mchizi ana bandeji mkono wa kushoto, unashangaa style ya viatu?
Na wewe badala ushangae mchizi anawaza nini unaenda kushangaa pamba zilizopo mkono wa kushoto halafu unaziita bandage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…