zanishaha
Senior Member
- May 28, 2013
- 142
- 40
Marehemu Miraji ni nouma RIP huyu alikua kamanda na haogopi kitu
Nilisikia amefariki but niliwahi kumiona,then nikasikia tena amefariki,ilikuaje jamani du rip,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marehemu Miraji ni nouma RIP huyu alikua kamanda na haogopi kitu
1988 to 1991, form 1B, form 2 to form4 group 4 electrical.... Halafu kula na kocha, ticha wa bweni la chabu huyo, halafu kulikuwa na Lihuruku a.k.a Mbungi, si mchezoMwaka gani?
Me nlikuwa pale enzi ya Kigava.
Niliingia kipindi cha J. B. Vaginga, hao wengine tulikuwa nao.
Sie ni wa enzi za akina Kaguo, Mbungi (Kiswele), Kocha, Luhwago (Kaka)
we utakuwa ulikuwa unakaa Sinza.Mhhh mmenikumbusha mbali hawa watu ni noma aisee.nakumuka man to man alitukimbiza kutoka kibaoni hadi mnarani alivyotukamata tukaruka kichurachura hadi ofisini kwa kigava.tulipigwa siku hiyo sitasahau
we utakuwa ulikuwa unakaa Sinza.
Yah mimi wa karume(sinza)
Mi nilikuwa Seuta D2 toka naanza hadi namaliza
What...??? Sikutegemea kukutana na neno pRof kwenye huu uzi kwamba alikuwa mkali...Mwl Prof Mshimba
Nyakabungo primary school pale Mwanza alikuwepo mwl Aron, pamoja na jirani yake mwl Banana.
Walikuwa wakisimama maeneo ya parade ground hata kama ni break time watoto wote wanaingia mitini na kurudi madarasani tena bila kusikia kengele ya pili.
Nilisikia amefariki but niliwahi kumiona,then nikasikia tena amefariki,ilikuaje jamani du rip,