Mwalimu Japhet Maganga wa CWT hafukuziki? Jibu hili hapa

uko sahihi mukubwa.....
 
Maafisa vipenyo hawafukuziki......amekifanyia chama mambo ya siri mazuri na mabaya.....hagusiki.
 
Hata mm nilihisi kitu kama hicho mkuu. Mbivu na mbichi zitakuja kuanikwa hadharani siku moja.
Ukipata wasaa tusanulie zaidi kiongozi. Pesa za CWT zinawafanya wanasiasa wapagawe.
 
Kukata mirija ya wanasiasa kuendea kufyonza mihela ya CWT ndicho kinachomponza Maganga. Ndio maana serikali inaingilia sana CWT hadi kwenye mambo ya ndan kabisa ya CWT. Majuzi wametuma polisi kuvamia mkutano wa CWT kuzuia uchaguzi baada ya kuhisi kibaraka wao huenda asipate nafasi ya kuongoza. Nchi ngumu sana hii
 
Sawa mkuu. Kwani kuwa CHAWA ni lazima?
 
Alivyoomba kazi ya Ualimu aliiomba ili akawe katibu mkuu wa CWT maisha?

Amehamishwa na kupewa ukuu wa wilaya na serikali, kakataa, ni haki yake, sasa arudi kwenye kazi yake aliyoajiriwa.

Kama yeye kakataa kuhama na serikali imekataa asihamie anakotaka yeye, tatizo nini?

Huyo achunguzwe kwa kina tu, nini kinampa kiburi.
 
Mkuu Jenista alikuwa kwenye payroll kama nani wako huo. Nimestuka sana kwa kweli.
 
Mbona wanasema alikataa kusilimu?
 
Chawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…