Ulitakaje?yeye si hodari sana, si mwamba sana, tunachoomba asijinyonge tu kwa stress, lakini Lazima ashike adabu na anyooke vizur, huu ni mwanzo tu, atapata tabu sana kwenye mafao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitakaje?yeye si hodari sana, si mwamba sana, tunachoomba asijinyonge tu kwa stress, lakini Lazima ashike adabu na anyooke vizur, huu ni mwanzo tu, atapata tabu sana kwenye mafao
arudi kaziniUlitakaje?
Hivi kujiunga huko CWT ni automatic, au hadi ujaze fomu kama vyama vingine? kama ni by default hiyo ni hujuma kwa walimu kwa sababu hivyo ni vyama vya hiari.Mimi nadhani serikali iko sahihi,hata sisi walimu huwa tunatumia mbinu hii,mwanafunzi anaweza kunigomea tukiwa wawili yakaisha kimya ila akinigomea darasani kukiwa na wanafunzi wanashuhudia au parade wanafunzi wote wanaona huyo lazima afukuzwe shule mbele ya parade huku wanafunzi wote wakiona ili iwe fundisho kwa wengine.
Huyo jamaa kagomea U-DC kwakuwa anapata hela nyingi za sisi walimu malofa ambazo twakatwa kila mwezi,hivyo naunga mkono huyo jamaa kushughulikiwa,ila nadhani sahihi kabisa ilikuwa ni kuishughulikia cwt ili ituachie huru walimu,can you imagine cwt wanachukua mfuko mmoja wa cement toka kwa salary yangu kila mwezi,cha kushangaza sina hata kiwanja,huku wao wakituna mashavu kama paka shume.
I hate #CWT
Huyu jamaa sijui alifikiria nini, hakujua kwamba rais ndo mwajiri mkuu.Aondolewe huyo mwana kulitafuta mwana kulipata, kwanini akatae kurudi Temeke sasa Kama kweli hakuhitaji uteuzi wa Raisi mbona anang'ang'ania CWT???
Mimi sikujaza form,Hivi kujiunga huko CWT ni automatic, au hadi ujaze fomu kama vyama vingine? kama ni by default hiyo ni hujuma kwa walimu kwa sababu hivyo ni vyama vya hiari.
Hii picha hiwa nacheka na kuhuzunika kwa wakati mmoja
Hii serikali ni ya watu wapuuzi sana na hili swala linafanywa kisiasa kwa sababu tu aliukataa Udc.labda wataalamu wa maswala haya ya tezi watueleze ni lazima unapoteuliwa ikubali uteuzi huo na je kama anayeteuliwa si mtumishi wa umma naye akikataa huchukuliwa hatua gani?Nimeshangaa jinsi suala la Katibu Mkuu wa CWT mwalimu Japhet Maganga linavyofanyiwa siasa badala ya kuchukuliwa kama suala la kiutumishi. Kwanza sio jambo la kawaida mtumishi wa umma kufukuzwa kazi kwa mujibu sheria na jambo hilo kugeuzwa kuwa suala la umma.
Mwalimu Maganga kateuliwa kuwa DC amegoma kwenda kuapishwa. Ameomba aongezewe kibali cha kuendelea kutumikia CWT, serikali imegoma kumuongezea muda licha ya kwamba siku za nyuma serikali imekuwa ikimuongezea muda bila tatizo lolote. Kana kwamba hilo halitoshi, barua ya kukataliwa kuongezew muda imewekwa kwenye public domain na pia barua ya kuombwa kurudi kazini imekuwa public.
Nimebaki najiuliza: ni watumishi wangapi wamefukuzwa kimyakimya bila serikali kuutangaziia umma? Kwanini hili suala binasi linageuzwa kuwa la umma? Je, serikali hawaoni kuwa tayari wamevunja sheria kwa kuingilia faragha ya mwalimu Maganga kuhusu masuala ya kazi na kwamba anaweza kuwashtaki mahakamani wakamlipa mabilioni ya shilingi kwa kumchafua na kudhalilisha utu wake hadharani?
Mtu kukataa kuwa chawa ni utashi wake binafsi. Maganga aliona future yake haipo kwenye siasa ndio maana akaamua kugomea nafasi ya uteuzi. Kukataa uteuzi ndio iwe nongwa kiasi hiki? Acha hizo bhana. Serikali inajidhalilisha sana kwa kuendelea kukomalia jambo hili bila kufuata sheria.
Sheria za kazi zipo wazi. Mtu alitakiwa kuripoti kazini tarehe 1 lakini hadi leo tarehe 18 hajafanya hivyo na bado serikali inaweweseka mitandaoni kumtaja kama ni mtumishi wa umma wa Manispaa ya Temeke. Sheria inasema mtumishi asiporipoti kazi kwa siku 3 mfululizo bila sababu wala ruhusa kutoka kwa mwajiri anakuwa amejifuta kazi mwenyewe. Inakuwaje maganga anakuwa nje ya kituo cha kazi kwa siku 18 bado serikali inahangaika naye? Au mtu akiteuliwa kuwa DC akagoma sheria za kazi kwake zinatumika tofauti na watumishi wengine? Maswali ni mengi kuliko majibu.
Ukifikiria kwa undani utagundua nia ya serikali kuwateua viongozi wakuu wa CWT kuwa wakuu wa wilaya haikuwa bahati mbaya. Watakuwa walifanya hivyo kwa nia ovu baada ya kuona hawa viongozi labda wamekuwa vikwazo kwao kujipenyeza CWT kuchota mapesa kwa ajili ya kujipanga na uchaguzi mkuu 2025 na mambo mengine ndani ya chama. Ndipo Maganga na wenzake wakashtukia ishu na kugoma. Baada ya kugoma kuondoka kupisha mwanya wa uchotaji wa hela, serikali imeamua kumkomesha kwa kutomuongezea muda wa kuendelea kubaki CWT. Hii ndio kete ya mwisho kwa serikali kupata nafasi kuingia CWT kujichotea mapesa ya bwerere.
Kwa hali ilivyo, serikali watakuwa wanatafuta sababu ya kumkomoa Maganga kwa kuwa amekuwa kikwazo kwao kutimiza kutimiza jambo lao. Na huenda kuna mahali serikali imejichanganya, hivyo Maganga anasubiri wamfukuze kazi halafu awashike pumb* washindwe kuchomoa. Bila shaka atakuwa anasubiri wautangazie umma kuwa wamemfuta kazi kisha akimbilie mahakamani kuwakamua mamilioni ya fidia. Usidhani yeye ni bwege agome kwenda kazini tangu tarehe 1 hadi leo terehe 18 lakini bado serikali inaweweseka kutafuta huruma mitandaoni.
Kuna shida mahali sio bure. Let us wait and see what gona happen.
Hiyo ni akili ya kimaskini na watu wanapofiriaika kichwani huwaza kunyanyasa watu kwa kutumia vibaya nafasi walizopewayeye si hodari sana, si mwamba sana, tunachoomba asijinyonge tu kwa stress, lakini Lazima ashike adabu na anyooke vizur, huu ni mwanzo tu, atapata tabu sana kwenye mafao
hadi akili imkae sawaHiyo ni akili ya kimaskini na watu wanapofiriaika kichwani huwaza kunyanyasa watu kwa kutumia vibaya nafasi walizopewa
Mkuu tuko kwenye dunia ambamo mambo binafsi yamegeuzwa kuwa ya umma na ya umma si ya yeyoteNimeshangaa jinsi suala la Katibu Mkuu wa CWT mwalimu Japhet Maganga linavyofanyiwa siasa badala ya kuchukuliwa kama suala la kiutumishi. Kwanza sio jambo la kawaida mtumishi wa umma kufukuzwa kazi kwa mujibu sheria na jambo hilo kugeuzwa kuwa suala la umma.
Mwalimu Maganga kateuliwa kuwa DC amegoma kwenda kuapishwa. Ameomba aongezewe kibali cha kuendelea kutumikia CWT, serikali imegoma kumuongezea muda licha ya kwamba siku za nyuma serikali imekuwa ikimuongezea muda bila tatizo lolote. Kana kwamba hilo halitoshi, barua ya kukataliwa kuongezew muda imewekwa kwenye public domain na pia barua ya kuombwa kurudi kazini imekuwa public.
Nimebaki najiuliza: ni watumishi wangapi wamefukuzwa kimyakimya bila serikali kuutangaziia umma? Kwanini hili suala binasi linageuzwa kuwa la umma? Je, serikali hawaoni kuwa tayari wamevunja sheria kwa kuingilia faragha ya mwalimu Maganga kuhusu masuala ya kazi na kwamba anaweza kuwashtaki mahakamani wakamlipa mabilioni ya shilingi kwa kumchafua na kudhalilisha utu wake hadharani?
Mtu kukataa kuwa chawa ni utashi wake binafsi. Maganga aliona future yake haipo kwenye siasa ndio maana akaamua kugomea nafasi ya uteuzi. Kukataa uteuzi ndio iwe nongwa kiasi hiki? Acha hizo bhana. Serikali inajidhalilisha sana kwa kuendelea kukomalia jambo hili bila kufuata sheria.
Sheria za kazi zipo wazi. Mtu alitakiwa kuripoti kazini tarehe 1 lakini hadi leo tarehe 18 hajafanya hivyo na bado serikali inaweweseka mitandaoni kumtaja kama ni mtumishi wa umma wa Manispaa ya Temeke. Sheria inasema mtumishi asiporipoti kazi kwa siku 3 mfululizo bila sababu wala ruhusa kutoka kwa mwajiri anakuwa amejifuta kazi mwenyewe. Inakuwaje maganga anakuwa nje ya kituo cha kazi kwa siku 18 bado serikali inahangaika naye? Au mtu akiteuliwa kuwa DC akagoma sheria za kazi kwake zinatumika tofauti na watumishi wengine? Maswali ni mengi kuliko majibu.
Ukifikiria kwa undani utagundua nia ya serikali kuwateua viongozi wakuu wa CWT kuwa wakuu wa wilaya haikuwa bahati mbaya. Watakuwa walifanya hivyo kwa nia ovu baada ya kuona hawa viongozi labda wamekuwa vikwazo kwao kujipenyeza CWT kuchota mapesa kwa ajili ya kujipanga na uchaguzi mkuu 2025 na mambo mengine ndani ya chama. Ndipo Maganga na wenzake wakashtukia ishu na kugoma. Baada ya kugoma kuondoka kupisha mwanya wa uchotaji wa hela, serikali imeamua kumkomesha kwa kutomuongezea muda wa kuendelea kubaki CWT. Hii ndio kete ya mwisho kwa serikali kupata nafasi kuingia CWT kujichotea mapesa ya bwerere.
Kwa hali ilivyo, serikali watakuwa wanatafuta sababu ya kumkomoa Maganga kwa kuwa amekuwa kikwazo kwao kutimiza kutimiza jambo lao. Na huenda kuna mahali serikali imejichanganya, hivyo Maganga anasubiri wamfukuze kazi halafu awashike pumb* washindwe kuchomoa. Bila shaka atakuwa anasubiri wautangazie umma kuwa wamemfuta kazi kisha akimbilie mahakamani kuwakamua mamilioni ya fidia. Usidhani yeye ni bwege agome kwenda kazini tangu tarehe 1 hadi leo terehe 18 lakini bado serikali inaweweseka kutafuta huruma mitandaoni.
Kuna shida mahali sio bure. Let us wait and see what gona happen.
kiufupi jamaa hajalii yani ila serikali ndo haitaki kumfukuza kazi.Sheria ya wapi isemayo usipofika kazini siku 3 unakuwa umejifukuza kazi mwenyewe?
Acha kudanganya watu.
KENGE WEWE.
Kasome sheria namba 25 ya TSC ya 2015 na kanuni zake za 2016.
Maganga ana hatia. Na asipokuwa makini ANAWEZA kufukuzwa kazi.
Na mwenye mamlaka ya kufukuza ni TSC
Nimeshangaa jinsi suala la Katibu Mkuu wa CWT mwalimu Japhet Maganga linavyofanyiwa siasa badala ya kuchukuliwa kama suala la kiutumishi. Kwanza sio jambo la kawaida mtumishi wa umma kufukuzwa kazi kwa mujibu sheria na jambo hilo kugeuzwa kuwa suala la umma.
Mwalimu Maganga kateuliwa kuwa DC amegoma kwenda kuapishwa. Ameomba aongezewe kibali cha kuendelea kutumikia CWT, serikali imegoma kumuongezea muda licha ya kwamba siku za nyuma serikali imekuwa ikimuongezea muda bila tatizo lolote. Kana kwamba hilo halitoshi, barua ya kukataliwa kuongezew muda imewekwa kwenye public domain na pia barua ya kuombwa kurudi kazini imekuwa public.
Nimebaki najiuliza: ni watumishi wangapi wamefukuzwa kimyakimya bila serikali kuutangaziia umma? Kwanini hili suala binasi linageuzwa kuwa la umma? Je, serikali hawaoni kuwa tayari wamevunja sheria kwa kuingilia faragha ya mwalimu Maganga kuhusu masuala ya kazi na kwamba anaweza kuwashtaki mahakamani wakamlipa mabilioni ya shilingi kwa kumchafua na kudhalilisha utu wake hadharani?
Mtu kukataa kuwa chawa ni utashi wake binafsi. Maganga aliona future yake haipo kwenye siasa ndio maana akaamua kugomea nafasi ya uteuzi. Kukataa uteuzi ndio iwe nongwa kiasi hiki? Acha hizo bhana. Serikali inajidhalilisha sana kwa kuendelea kukomalia jambo hili bila kufuata sheria.
Sheria za kazi zipo wazi. Mtu alitakiwa kuripoti kazini tarehe 1 lakini hadi leo tarehe 18 hajafanya hivyo na bado serikali inaweweseka mitandaoni kumtaja kama ni mtumishi wa umma wa Manispaa ya Temeke. Sheria inasema mtumishi asiporipoti kazi kwa siku 3 mfululizo bila sababu wala ruhusa kutoka kwa mwajiri anakuwa amejifuta kazi mwenyewe. Inakuwaje maganga anakuwa nje ya kituo cha kazi kwa siku 18 bado serikali inahangaika naye? Au mtu akiteuliwa kuwa DC akagoma sheria za kazi kwake zinatumika tofauti na watumishi wengine? Maswali ni mengi kuliko majibu.
Ukifikiria kwa undani utagundua nia ya serikali kuwateua viongozi wakuu wa CWT kuwa wakuu wa wilaya haikuwa bahati mbaya. Watakuwa walifanya hivyo kwa nia ovu baada ya kuona hawa viongozi labda wamekuwa vikwazo kwao kujipenyeza CWT kuchota mapesa kwa ajili ya kujipanga na uchaguzi mkuu 2025 na mambo mengine ndani ya chama. Ndipo Maganga na wenzake wakashtukia ishu na kugoma. Baada ya kugoma kuondoka kupisha mwanya wa uchotaji wa hela, serikali imeamua kumkomesha kwa kutomuongezea muda wa kuendelea kubaki CWT. Hii ndio kete ya mwisho kwa serikali kupata nafasi kuingia CWT kujichotea mapesa ya bwerere.
Kwa hali ilivyo, serikali watakuwa wanatafuta sababu ya kumkomoa Maganga kwa kuwa amekuwa kikwazo kwao kutimiza kutimiza jambo lao. Na huenda kuna mahali serikali imejichanganya, hivyo Maganga anasubiri wamfukuze kazi halafu awashike pumb* washindwe kuchomoa. Bila shaka atakuwa anasubiri wautangazie umma kuwa wamemfuta kazi kisha akimbilie mahakamani kuwakamua mamilioni ya fidia. Usidhani yeye ni bwege agome kwenda kazini tangu tarehe 1 hadi leo terehe 18 lakini bado serikali inaweweseka kutafuta huruma mitandaoni.
Kuna shida mahali sio bure. Let us wait and see what gona happen.
Wanagusika vzr tu na wanapotezwa sana tu katika USO wa Dunia ulienda tu kinyume na wakubwaMaafisa vipenyo hawafukuziki......amekifanyia chama mambo ya siri mazuri na mabaya.....hagusiki.
Sio rahisi kihivyoWanagusika vzr tu na wanapotezwa sana tu katika USO wa Dunia ulienda tu kinyume na wakubwa
Jamiiforums ya wapi!??Nimeona hata Jamii Forum wameandika habari hii kishabiki ,Jamii Forum ni chombo cha kutetea wananchi ,nilitegemea viongozi wa jamii Forum chini ya mtu bingwa @maxmello wangekua mstari wa mbele kuwa katika jukwaa la utetezi wa viongozi wa vyama vya Wafanyakazi kwa kusoma sheria ya kazi na mahusiano kazini ,pamoja na kusoma mkataba namba 87 wa ILO na Mkataba namba 98
Lakini wameandika taarifa kama gazeti la Nipashe ambalo limenunuliwa na kundi lililokua na mirija CWT sasa imekatwa,sitaki kusema kuwa JF nayo itakua imewekwa mfukoni baadhi ya watendaji wake .ndio maana hawataki kuchimba ukweli
Mbona Dr Mhina aliekua Mkurugenzi serikali za Mitaa pale TAMISEMI aliteuliwa kuwa DC ,akwenda na haikuandikwa kuwa ni mgomo kwa Rais ..
Ehh.. CCM. ..kmmk..🤣🤣🤣Ndg, tpaul na wasomaji wengine.
Mie naujua mgogoro huu wa CWT nje ndani. Kufupisha ni kwamba huu mgogoro hauwezi kuisha kamwe hadi siku Mh. Jenista Mhagama, atakapopoteza uwaziri wake.
Huyu ndiye injinia wa kuanzia uteuzi wa hawa kina maganga kwenda kuwa wakuu wa wilaya.
Katika hili hata mh. Rais Samia nakiri ni majina tu aliletewa na wala hakuwajua.
Mhagama na aliyekuwa Rais wa CWT aliyefungwa kwa matumizi mabaya ya ofisi, ambae aliwahi kuhudumu ktk chama cha walimu, na ndio kisa cha mbivu na mbichi huko CWT.
Kiufupi Mhagama na mkubwa wake flani walikuwa kwenye payroll ya CWT, hawa kina maganga waliwatoa.
Stori ni ndefu. Ipo siku nitaiandika yote.
Ogopa sana mirija ya fedha na siasa za ovyo.