Mwalimu Japhet Maganga wa CWT hafukuziki? Jibu hili hapa

Tukifikia level za wakenya huu unyanyasaji utaisha tu Kuna walimu wengi wanafukuzwa kazi kimyakimya tena Kwa uonevu mkubwa.wamfukuze bac kama amevunja Sheria za utumishi,ila Tanzania tulishazoea kulipa fidia juzi tumelipa billion 75 Kwa muekezaji kwaajili yakukurupuka
 
Hivi kujiunga huko CWT ni automatic, au hadi ujaze fomu kama vyama vingine? kama ni by default hiyo ni hujuma kwa walimu kwa sababu hivyo ni vyama vya hiari.
 
Hii serikali ni ya watu wapuuzi sana na hili swala linafanywa kisiasa kwa sababu tu aliukataa Udc.labda wataalamu wa maswala haya ya tezi watueleze ni lazima unapoteuliwa ikubali uteuzi huo na je kama anayeteuliwa si mtumishi wa umma naye akikataa huchukuliwa hatua gani?
 
yeye si hodari sana, si mwamba sana, tunachoomba asijinyonge tu kwa stress, lakini Lazima ashike adabu na anyooke vizur, huu ni mwanzo tu, atapata tabu sana kwenye mafao
Hiyo ni akili ya kimaskini na watu wanapofiriaika kichwani huwaza kunyanyasa watu kwa kutumia vibaya nafasi walizopewa
 
Mkuu tuko kwenye dunia ambamo mambo binafsi yamegeuzwa kuwa ya umma na ya umma si ya yeyote
 
Sheria ya wapi isemayo usipofika kazini siku 3 unakuwa umejifukuza kazi mwenyewe?
Acha kudanganya watu.
KENGE WEWE.
Kasome sheria namba 25 ya TSC ya 2015 na kanuni zake za 2016.
Maganga ana hatia. Na asipokuwa makini ANAWEZA kufukuzwa kazi.
Na mwenye mamlaka ya kufukuza ni TSC
 
kiufupi jamaa hajalii yani ila serikali ndo haitaki kumfukuza kazi.
 
Maafisa vipenyo hawafukuziki......amekifanyia chama mambo ya siri mazuri na mabaya.....hagusiki.
Wanagusika vzr tu na wanapotezwa sana tu katika USO wa Dunia ulienda tu kinyume na wakubwa
 
Jamiiforums ya wapi!??
 
Ehh.. CCM. ..kmmk..🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…