Lakini ni uonevu, Hakutaka kufundisha akatafuta pa kukimbilia, mkamruhusu kumpa hiyo secondment. sasa Bado hataki kufundisha kaomba aendelee kuwa huko, kwa sababu zile zile mlizompa ruhusa mwanzo, tumieni hizo hizo kumpa sasa, kwani kimebadirika nini? Watu wako maofisini wanadhani kufundisha ni kitu rahisi, mwenzenu kachoka mumuache aendelee kuwa huko ajira ina ukomo akistaafu atajua mwenyewe , atakuaj kuaga na ataondoka.
Walimu kibao kila siku wanasoma ili waondokane na kufundisha. Wapo wenye wito na hiyo kazi muwape wao. Huyo hataki. Mkimrudisha mnapata nini.