Mwalimu Japhet Maganga wa CWT hafukuziki? Jibu hili hapa

Hv Janeth ni mchungaji wa kanisa au ni mtumishi anayefuata taratibu za serikali,Sijui roho mbaya iko wapi hapo bro?
 
Afukuzwe kazi, Kaiba na bado anaendelea kuwaibia wajinga.
 
Lakini ni uonevu, Hakutaka kufundisha akatafuta pa kukimbilia, mkamruhusu kumpa hiyo secondment. sasa Bado hataki kufundisha kaomba aendelee kuwa huko, kwa sababu zile zile mlizompa ruhusa mwanzo, tumieni hizo hizo kumpa sasa, kwani kimebadirika nini? Watu wako maofisini wanadhani kufundisha ni kitu rahisi, mwenzenu kachoka mumuache aendelee kuwa huko ajira ina ukomo akistaafu atajua mwenyewe , atakuaj kuaga na ataondoka.
Walimu kibao kila siku wanasoma ili waondokane na kufundisha. Wapo wenye wito na hiyo kazi muwape wao. Huyo hataki. Mkimrudisha mnapata nini.
 
Hv Janeth ni mchungaji wa kanisa au ni mtumishi anayefuata taratibu za serikali,Sijui roho mbaya iko wapi hapo bro?
Kwani huyo Mganga kwanini mwanzo walimruhusu kwenda huko CWT, na kwanini sababu hizo hizo zsitumike kumruhusu akaendelee na majukumu yake huko CWT. Roho mbaya na wivu ni pale wanamuona huko CWT wanamkubali na hataki kurudi kufundisha kwasababu hataki kufundisha na mshahara wa kule ni mzuri. Wanaona anafaidi sana. Kuna walimu chungu mzima wangewapa nafasi huyo jamaa wakamuacha huko aliko, lakini kwa wivu na roho mbaya, Huyo Janeth na wenzake wanafanya haya kumkomoa mwenzao. Kwanini atishiwe kufukuzwa kazi na alienda kule kwa ruhusa. Na kwanini wamnyime ruhusa, kama walimruhusu mwazo kwanini wasimruhusu sasa?
 
mkuu niliwasikia hata akina kitenge kwenye kile kipindi chao cha goodmorning huko wasafi wanalishadadia hili suala kwenye uchambuzi wao uchwara wa magazeti.
 
mil 7 ukuu wa wilaya mil 3 ili kumfikia jamaa mkuu wa wilaya alee sana rushwaaa na vitrip kadhaa
Yaani Mkuu wa Wilaya mshahala wake ni millioni (3)tatu tu?
Dah...! ni pesa ndogo sana ukilinganisha na majukumu yake.

Wangelipwa japo m.7 na Wakuu wa Mikoa walipwe japo m.9 hivi.
Majukumu na hadhi zao ni kubwa lazima yaendane na kipato chao.
 
Yaani Mkuu wa Wilaya mshahala wake ni millioni (3)tatu tu?
Dah...! ni pesa ndogo sana ukilinganisha na majukumu yake.

Wangelipwa japo m.7 na Wakuu wa Mikoa walipwe japo m.9 hivi.
Majukumu na hadhi zao ni kubwa lazima yaendane na kipato chao.
Wakuu wa mikoa na wilaya wana majukumu. gani zaidi ya kuendeleza uchawa na kuisaidia CCM kuiba kura?
 
CCM ni watu wa kisasi
Walinusurika kumuua Tundu Lissu. Kama akikaidi kwenda kufundisha, watamuua!
 

Toka lini mtumishi anachagua aina ya kazi ktk field aliyoajiriwa??

CWT ni ya waalimu,mwalimu yeyote anawezafanya kazi CWT kwa kuteuliwa na anaweza kutenguliwa pia.
Kwa sababu anajua sio haki yake ya milele ndio sababu ALIOMBA kuendelea,sio kugomea kutoka,sasa watu kwanini washangae ombi lake kukataliwa!!!!
 
Wakuu wa mikoa na wilaya wana majukumu. gani zaidi ya kuendeleza uchawa na kuisaidia CCM kuiba kura?
Ni watekelezaji wa Sera za Chama na Serikali katika maeneo Yao.

Kila eneo lina changamoto nyingi sana ambazo ni jukumu la wakuu wa wilaya na mikoa kuziweka mezani na kuzitatua.

We fikiria Mkuu wa Wilaya kulipwa m.3 sawa sawa na mshahala wa mhadhiri msaidizi wa chuo kimoja cha VETA.
Ni haki hiyo?
 
Umeumizwa sana na hili jambo
 
Wakizingatia sheria na Kanuni za Utumishi wa Umma katika kumchukulia hatua za kinidhamu,anafukizika vizuri tu.Kwa sababu kosa lipo tayari.Kanuni ya 57 inaelekeza kuwa mtumishi ambaye hatakuwa katika kituo chake Cha bila ruhusa kwa angalau siku 5 za kazi atakuwa ametenda kosa la kinidhamu na adhabu yake ni kufukuzwa kazi.
 
Sio lazima na hata yeye sio chawa, ila ni Mwalimu na kituo chake ni Temeke kuna maelfu na maelfu ya walimu ambao wanaweza kuongoza hiko chama kama muajiri kakataa arudi kwenye kazi aliyoiomba
Hivi walimu wa shule binafsi hawaruhusiwi kuwa wanachama wa CWT? Na kama wanaruhusiwa si watakuwa na haki sawa za kugombea, kuchaguliwa na kupiga kura kama walimu wengine wa shule za serikali? Ili kama vipi ahamie shule za binafsi na kuendelea kuwa na cheo chake cha ukatibu mkuu CWT.
 
CWT ni mali ya walimu ama mali ya serikali, je watumishi wa CWT mwajiri wao ni michango ya walimu ama inatoka serikalini ukiondoa mshahara wake wa ualimu ambao ni milioni kasoro
 
yeye si hodari sana, si mwamba sana, tunachoomba asijinyonge tu kwa stress, lakini Lazima ashike adabu na anyooke vizur, huu ni mwanzo tu, atapata tabu sana kwenye mafao
Hizi ndio akili za Uvccm mafala sana...
 
Una uhakika Serikali ndio imeiweka public hizi Nyaraka?
 
Wakuu wa wilaya na mikoa hawategemei mishahara. Wana maposho lukuki na wanalipiwa kila kitu na serikali.....nyumba, umeme, maji, mafuta ya gari, walinzi, wanapewa VX ya bure, nk na wakistaafu wanazawadia V8. Ukuu wa wilaya na mkoa ni zaidi ya ufalme. Ndio maana kila DC na RC lazima aisaidie CCM kuiba kura ibaki madrakani ili aendelee kufaidi matunda ya ufalme.

Pili, ili uwe DC au RC sharti uwe CHAWA au ubadilishwe kuwa chawa. Maganga aliukataa uDC kwa sababu aligoma kubadilishwa kuwa chawa. Sasa kwanini wamlazimishe? Kwani kuwa chawa lazima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…