nakupa sumu alafu nakupa maziwa tenaHuyu mama anakiburi ninyi danganyikeni tu na tabasamu lake. Hasikii wala haambiliki.
katiba inampa rais mamlaka ya kufuta hukumu bila ya kutoa sababu (hii pia ni kuingilia uhuru wa mahakama)na hata Nyerere mwenyewe katika kikao kimoja aliwahi kusema "mimi ni rais,naweza tu kusema kamateni hawa" hapo alikuwa anajadiliana na ma CCM,yakamshauri "mwalimu huu ni uhaini kamata hao".Mkumbusheni dr Lwaitama kuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa kufuata misingi ya sheria. Rais kufuta kesi inayoendelea mahakamani ni kuingilia uhuru wa mahakama.
Aache mahakama ifanye kazi zake kwa mujibu wa katiba na sheria. Kufuta kesi kwa kufuata hisia za kisiasa ni upuuzi na kusigina katiba na sheria zake.
Mkumbusheni dr Lwaitama kuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa kufuata misingi ya sheria. Rais kufuta kesi inayoendelea mahakamani ni kuingilia uhuru wa mahakama.
Aache mahakama ifanye kazi zake kwa mujibu wa katiba na sheria. Kufuta kesi kwa kufuata hisia za kisiasa ni upuuzi na kusigina katiba na sheria zake.
Ibara ya ngapi ya Katiba inampa mamlaka ya kufuta kesi iliyopo mahakamani? Knowledge is powerkatiba inampa rais mamlaka ya kufuta kesi, kitu ambacho hakipendezi hapo ni kwamba huyu anashauri rais afute kesi wakati rais anaamini Mbowe ni gaidi
sidhani hata Mbowe kama atakubali huu upuuzi
Sisi tupo kwetu mkojani twalaaaa uroojooooHuyu mama anakiburi ninyi danganyikeni tu na tabasamu lake. Hasikii wala haambiliki.
nilikuwa nazungumzia kesi iliyohamuliwa tayari yani hukumu,nita edit hapo mkuu, nazungumzia ibara inayompa rais mamlaka ya kumsamehe mtu yeyote aliyehukumiwa kwa kosa loloteIbara ya ngapi ya Katiba inampa mamlaka ya kufuta kesi iliyopo mahakamani? Knowledge is power
Embu nipe maarifa hapo.
First of all, why should be dismissed while there are serious allegations against Freeman Mbowe?
Second of all, Samia has no such a power.
Lastly, time will tell but according to the trial within trial conducted by the Court, I hope that Mr. FREEMAN MBOWE will be convicted & sentenced for what he did. MEANING: He will get what he deserves.
Ibara ya ngapi ya Katiba inampa mamlaka ya kufuta kesi iliyopo mahakamani? Knowledge is power
Embu nipe maarifa hapo.
katiba inampa rais mamlaka ya kufuta hukumu bila ya kutoa sababu (hii pia ni kuingilia uhuru wa mahakama)na hata Nyerere mwenyewe katika kikao kimoja aliwahi kusema "mimi ni rais,naweza tu kusema kamateni hawa" hapo alikuwa anajadiliana na ma CCM,yakamshauri "mwalimu huu ni uhaini kamata hao".
kitu ambacho hakipendezi hapo ni kwamba huyu anashauri Samia afute kesi wakati rais anaamini Mbowe ni gaidi
sidhani hata Mbowe kama atakubali huu upuuzi
Lwaitama ni mwalimu wa kitu gani?
hapo sasa nimeelewa Mkuu,nitamsikiliza nikiwa na bando.kama amesema hivo ni sahihiMsikilize Mwalimu Lwaitama kumwelewa. Wazi wazi kasema:
1. Kwenye mazingira ya katiba tuliyo
2. Kesi ni ya kubumba.
#1, anatambua uwepo wa mhimili uliojichimbia zaidi. Mifano ipo pale kuishibisha hoja hii. Anatambua mhimili huo haukusubiri kumpandisha cheo japo atoe hukumu iliyokuwa ikisubiriwa ndani ya siku chini ya wiki!
#2, anatambua rais alidanganywa kuwa Mbowe alikuwa katoroka, tena wenzake tayari walishafukuzwa.
Kahitimisha mwalimu pale kuwa haya ni wazi hata kwa mtoto mdogo. Sembuse watu wazima na akili zao?