joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,039
Umeelewa nini?hapo sasa nimeelewa Mkuu,nitamsikiliza nikiwa na bando.kama amesema hivo ni sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa nini?hapo sasa nimeelewa Mkuu,nitamsikiliza nikiwa na bando.kama amesema hivo ni sahihi
hapo sasa nimeelewa Mkuu,nitamsikiliza nikiwa na bando.kama amesema hivo ni sahihi
Umeelewa nini?
😂 hahhah ,wasiojulikana hawapo siku hizi bana,mwaka jana nilikutana na msela fulani kwenye kivuko cha kigongo busisi akawa ananiuliza maswali ya mitego kuhusu jiwe nikajiongeza huyu ni afisa kipenyoNingekuungia bando mkuu, kwenye ile huduma muunganishie na mwenzio.
Lakini sasa wasiojulikana nao wameenea kila kona na vile vi ID vyetu. Kumechafukwa!
Usoni kama watu.
Kiukweli Lijenje, Ben, Azory wanao.
😂 hahhah ,wasiojulikana hawapo siku hizi bana,mwaka jana nilikutana na msela fulani kwenye kivuko cha kigongo busisi akawa ananiuliza maswali ya mitego kuhusu jiwe nikajiongeza huyu ni afisa kipenyo
Sisi tupo kwetu mkojani twalaaaa uroojoooo
Sawa. Ingawa atafungwa tu kwa sababu uliona matokeo ya kwenye kesi ndogo mlivyopigwa KO za maana na PGO zenu.Haramu haizai halali
Sawa. Ingawa atafungwa tu kwa sababu uliona matokeo ya kwenye kesi ndogo mlivyopigwa KO za maana na PGO zenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katiba mpya itazuia prosecution side kutokuthibitisha makosa ya mtuhumiwa wa ugaidi pasipo kuacha shaka?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katiba mpya itazuia prosecution side kutokuthibitisha makosa ya mtuhumiwa wa ugaidi pasipo kuacha shaka?
So far hata pakiwa na katiba mpya haitazuia mahakama kumtia hatiani Mbowe kama atakutwa na hatia mkuu.
Ukizingatia kuna mshitakiwa pale alikiri kutumwa na Dj Mbowe kutekeleza kosa la ugaidi. So kazi mnayo.
Sisi tupo kwetu mkojani twalaaaa uroojoooo
Naye ni kamanda uchwara.Lwaitama ni mwalimu wa kitu gani?
Ni hivi, kuna mtu anaitwa DPP, katiba imempa mamlaka ya kufuta kesi yeyote bila kulazimika kutaja sababu. Hii sio kuingilia mahakama, hili lipo kwa mujibu wa sheria.Mkumbusheni dr Lwaitama kuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa kufuata misingi ya sheria. Rais kufuta kesi inayoendelea mahakamani ni kuingilia uhuru wa mahakama.
Aache mahakama ifanye kazi zake kwa mujibu wa katiba na sheria. Kufuta kesi kwa kufuata hisia za kisiasa ni upuuzi na kusigina katiba na sheria zake.
First of all, why should be dismissed while there are serious allegations against Freeman Mbowe?
Second of all, Samia has no such a power.
Lastly, time will tell but according to the trial within trial conducted by the Court, I hope that Mr. FREEMAN MBOWE will be convicted & sentenced for what he did. MEANING: He will get what he deserves.
Hafuti kesi bali kwa kupitia DPP, anaondoa mashtaka.Ibara ya ngapi ya Katiba inampa mamlaka ya kufuta kesi iliyopo mahakamani? Knowledge is power
Embu nipe maarifa hapo.
PumbafDogo leta cv inbox nikutafutie kazi ya kufanya,utakufa njaa
Hivi na kuteua majaji sio kuingilia uhuru wa mahakama?Mkumbusheni dr Lwaitama kuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa kufuata misingi ya sheria. Rais kufuta kesi inayoendelea mahakamani ni kuingilia uhuru wa mahakama.
Aache mahakama ifanye kazi zake kwa mujibu wa katiba na sheria. Kufuta kesi kwa kufuata hisia za kisiasa ni upuuzi na kusigina katiba na sheria zake.
Mara Mbowe sio gaidi, mara Rais Samia anaweza kufuta hio kesi. Kama kweli sio gaidi, anatakiwa kujiamini kwa kufahamu kwamba atashinda kesi