Mwalimu Lwaitama: Kesi ya Mbowe: " Rais Samia anayo Mamlaka ya kuifuta"

Mwalimu Lwaitama: Kesi ya Mbowe: " Rais Samia anayo Mamlaka ya kuifuta"

Lwaitama alipostafu pale UDSM ALICHUKUA MAFAO YAKE YOTE

AKAOA MALAYA SIKU HIZI ANATEGEMEA CHADEMA ILI ALE

AMECHOKA KIASI KWAMBA HATA UBONGO WAKE ULISAHAU HAKI

ANAONGEAGA CHOCHOTE TU

WAHAYA SIO WAJINGA NI YEYE TU ANAYEWASHABIKIA WATU WA WAKAZI KAZINI

KINACHOMTESA NI MAFAO YAKE KUTUMIKA VIBAYA

ID hizi zina things in common 😁😁

IMG_20211024_071539_723.jpg


Hiiiiii bagosha
 
Mkumbusheni dr Lwaitama kuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa kufuata misingi ya sheria. Rais kufuta kesi inayoendelea mahakamani ni kuingilia uhuru wa mahakama.
Aache mahakama ifanye kazi zake kwa mujibu wa katiba na sheria. Kufuta kesi kwa kufuata hisia za kisiasa ni upuuzi na kusigina katiba na sheria zake.
Wewe umeona tu Rais kuifuta kesi ya Mbowe ni kuingilia mhimili huo wa Mahakama...........

Lakini hujaona mahojiano yale na Kikeke wa BBC kuwa Mbowe ni gaidi, hajaingilia mhimili huo wa Mahakama??
 
Wewe umeona tu Rais kuifuta kesi ya Mbowe ni kuingilia mhimili huo wa Mahakama...........

Lakini hujaona mahojiano yale na Kikeke wa BBC kuwa Mbowe ni gaidi, hajaingilia mhimili huo wa Mahakama??

Labda atakuwa katupia miwani ya mbao
 
Ile kesi mwamba imemkalia vibaya.

Kesi ya kubumba, hukumu ya kubumba, mhimili uliojichimbia zaidi umehodhi mahakama. Hapo kesi ina nini cha kujadili kumkalia nani vipi?

Kwani hata hukuweza kusikia sikia kwa bosi ukatudokeza:

IMG_20211015_144814_546.jpg
 
Kwanza huyu ni Mwalimu Lwaitama. Mtake radhi tafadhali.

Pili zingatia:

1. Katiba iliyopo yenye mhimili wenye kujichimbia zaidi,
2. Kesi ya kubumba.

Nini kinashindikana hapo?

Uhuru upi unaouongelea wewe?
Kwani hukumu ya Siyani hujaiona au hata kuisikia?
Kweli ni aibu na ni kufedhehesha Mahakama. Jaji tena Jaji Kiongozi unatoa hukumu kwa kufuata mawazo yako binafsi na sio vifungu vya sheria??? Nasikitika sijui hata kaingiaje kwenye Mihimili huu wa Mahakama??? Katiba Mpya ni muhimu sana ili Mihimili huu uweze kuwa na watendaji wenye weledi.
 
Mkumbusheni dr Lwaitama kuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa kufuata misingi ya sheria. Rais kufuta kesi inayoendelea mahakamani ni kuingilia uhuru wa mahakama.
Aache mahakama ifanye kazi zake kwa mujibu wa katiba na sheria. Kufuta kesi kwa kufuata hisia za kisiasa ni upuuzi na kusigina katiba na sheria zake.
Acha kufikiri kwa kutumia kichwa cha chini hizo za NIDA na mashehe wa uamsho zilizofutwa juzi juzi zilifikia hukumu?
 
Msomi Nguli Mwalimu Lwaitama amefunguka yenye kujenga, kwake Mheshimiwa Rais:

View attachment 1984686

Yawezekana kuganga yajayo kwani yaliyopita si ndwele.

Hoja ya Mwalimu Lwaitama ina mashiko.

Hoja ya Mwalimu Lwaitama ni yenye kuzingatia katiba ya sasa na hasa uwepo wa ule mhimili uliojichimbia zaidi.

Habari za tashwishi ya afya au hali ya mheshimiwa Mbowe kwa ujumla gerezani ambako hakuweza kuonwa leo, zimfungue macho Mheshimiwa Rais.

Hala hala kabla ya hatari.

Mola ampishilie mbali pepo mbaya.
Kwanini aingilie uhuru wa mahakama, mboe anawatu nyuma yake nguvu ya umma
 
Acha ujinga ulichoandika hapo chini sija kielewa hiii Bagosha ndo nini? Sasa

LWAITAMA ALIPOZEEKA NDO SIASA IKAMWINGIA DAMUNI SIO UDWANZI HUO

Hicho ni lugha rasmi ya hawa ndugu 😁😁:

IMG_20211024_071539_723.jpg


Yuko wapi Moses Lijenje?
 
Kwanini aingilie uhuru wa mahakama, mboe anawatu nyuma yake nguvu ya umma

Kwani ule mhimili si huwa unajichimbia zaidi? Kwani si huwa una bambika kesi na hukumu pia? Kwani huko ni kuingilia uhuru ukiwamo wa mahakama ama?
 
Wala sihitaji kujulikana,impact yangu ndiyo muhimu.Ndiyo maana nipo JF ili niweze-share na wengine what I know.Humanity has been cheated for too long.

Doctor uchwara 😁😁
 
Huu ni ujinga mahakama iko huru ata wao chadema wanajua hilo, alisikika mwana chadema mmoja mahakamani siku ya hukumu ya sabaya akisema "mahakama iko huru sasa tangaia magufuli alipokufa"
 
Huu ni ujinga mahakama iko huru ata wao chadema wanajua hilo, alisikika mwana chadema mmoja mahakamani siku ya hukumu ya sabaya akisema "mahakama iko huru sasa tangaia magufuli alipokufa"

Alisikika mkuu wa mihimili mmoja akisema wake umejichimbia zaidi. Akakiri tena kuwa mhimili wake umekuwa ukibambikizia watu kesi:




Akaendelea kusema mtuhumiwa mmoja alitoroka nchi na wenzake tayari walishahukumiwa.

Akampandisha cheo jaji aliyekuwa atoe uamuzi muhimu ndani ya kesi ali yokwisha itolea tamko.

Kwa hakika ni mtu usiyejulikana tu unaweza kudhani unaweza kumshawishi mtu na uhuru wa mahakama.

Hata CCM wamekiri kuna parallel power.
 
Kuna wakati mtu hata akiandka upuuzi, lakini akaandika kwa Kiingereza, basi huwa anaamini ameandika hoja ya msingi.

Kwa ufupi, siku zote amayemshtaki mtu yeyote, ana uwezo wa kuachana na krsi. Anachofanya ni kuitaarifu tu mahakama.

Samia ndiye aliyemkamatabowe, ndiye aliyembbikizia mashtaka, na ndiye anayemshtaki. Akisema hayaki kuendelea na hayo mashtaka aloyombambikia, hakuna atakayeendelea nayo.

Mbowe yupo mdani anateseka kwa sababu ya matakwa ya Samia.
Ni upumbumbavu kuamini mtu kiasi hicho mbowe alikuwa na mahusianao na joyce mukya alishaawahi kukuambia na mlovyoambiwa kama kawaida yenu mkashupaza shingo , mbowe si malaika na kubwa zaidi haulali naye ana privacy zake acha kuabudu watu
 
Pakiwa na katiba mpya patakuwa na uhuru wa mahakama na bunge. Hapa kutakuwa na nafasi ya mihimili kutoa sauti zake kamili na kwa uhuru.

Kwani hukumu ya mapingamizi ya juzi imetolewa kwa kutumia ushahidi upi?

Kwani ushahidi upi umemfanya jaji kuona ushahidi wa upande wa mashtaka ndiyo ulio bora?

Kwani ushahidi upi umemfanya jaji kuona ushahidi wote wa upande wa utetezi ni bogus na unastahili kutupiliwa mbali?

Au jaji ni sehemu ya upande wa mashtaka kwamba pia ana na ushahidi mwingine ambao haukuwekwa wazi mahakamani?

Au jaji ni malaika kuweza kubaini ni ushahidi upi wa kweli au wa uongo kwa kusikiliza tu, au hata kwa kupitia majumuisho 2 yenye kukinzana 100%?

Si kweli kuwa hizi ni figisu za kisiasa tu na mkono wa Serikali ndani yake ni kama wote?
1) Kaka mawakili wenu ndiyo waliozingua kwa sababu walipinga cautioned Statement ya Adamoo ambayo hata haikuletwa mahakamani. Badala ya kupinga iliyochukuliwa pale Central police wao wanapinga kitu ambacho hakipo mahakamani.

2) Mngeshinda ile kesi ndogo msingeongea kuhusu katiba mpya wala nini.

3) Hii kesi watu wenu watafungwa siyo kwa sababu ya kutokuwa na katiba mpya bali Mawakili wenu wanajifanya wajuaji sana wakati hawajui. Badala ya kushughulika na vitu vya msingi katika kesi wao wanauliza maswali ambayo hayaibui mashaka mfano "Adamoo alipewa chakula, alikula nini akiwa kule Moshi na alishushia soda gani" mara ohh mke wake alinyimwa kumuona Adamoo. What the hell they wanted to establish there? Ujinga mtupu.
 
Kama katiba inaruhusu uwepo mhimili uliojichimbia zaidi, kesi za kubambikiziana na hukumu za kutengeneza, huoni huu ni msimamo murua zaidi:

View attachment 1984836

Hata darasani si lazima kwa wanafunzi wote kumwelewa Mwalimu Lwaitama [emoji16][emoji16]!

Mengine yote uliyoandika hayahusiki kwani:

Kudai haki hakuwezi kuwa bila gharama

Kudai mabadiliko ya katiba katikati ya madwalimu, kuna gharama zake zinazojulikana. Kwani nani hayajui hayo akiwamo Mh. Mbowe?

Ungekuwa umemwelewa Mwalimu Lwaitama ungemhurumia Samia. Njia aliyochokua itamwacha na aibu ikimgharimu, usijedhani sisi manabii.
Mkuu hao wengine ni sawa na njiwa wanvyokuwa wanarukia kwenye mtama au uwere ili kujaza matumbo yao tu.
 
Lakini watu si wanasema Mama hana nguvu ila kuna watu ndio wanaongoza au hayo ni maneno ya vijiweni?
Yeye yuko pale kwenye kiti kirefu kufanya nini wakati anategemea maamuzi ya jirani?
 
Lwaitama alipostafu pale UDSM ALICHUKUA MAFAO YAKE YOTE

AKAOA MALAYA SIKU HIZI ANATEGEMEA CHADEMA ILI ALE

AMECHOKA KIASI KWAMBA HATA UBONGO WAKE ULISAHAU HAKI

ANAONGEAGA CHOCHOTE TU

WAHAYA SIO WAJINGA NI YEYE TU ANAYEWASHABIKIA WATU WA WAKAZI KAZINI

KINACHOMTESA NI MAFAO YAKE KUTUMIKA VIBAYA
Naona unateseka sana baada ya dr Lwaitama kuoa na kuwacha kukulipa wewe posho ya kumfanyia ukuwadi
 
Back
Top Bottom