lugabussa
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 557
- 523
Utawaweza bawachaLakini watu si wanasema Mama hana nguvu ila kuna watu ndio wanaongoza au hayo ni maneno ya vijiweni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utawaweza bawachaLakini watu si wanasema Mama hana nguvu ila kuna watu ndio wanaongoza au hayo ni maneno ya vijiweni?
Asante sana mkuu kwa kutupatia somo.Mkumbusheni dr Lwaitama kuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa kufuata misingi ya sheria. Rais kufuta kesi inayoendelea mahakamani ni kuingilia uhuru wa mahakama.
Nikumbushe yafuatayo;
1) Kupiga marufuku mikutano ya hadhara ni kuvunja sheria ya vyama vya siasa unayotaka vyama kutangaza sera zake na katiba ya nchi inayotoa uhuru wa kujiekeza.
2) Mbinu zilizotumika kuwaachia masheikh wa uamsho ama wale viongozi wa CHADEMA waliofungwa na Nusrat kabla ya kupewa ubunge zinaweza kutumika hizohizo.
3) Rais alipoliagiza jeshi la polisi kuzifuta kesi za kugushi bila shaka alielewa sheria ipi angetumia kuwawezesha polisi kufanya hivyo. Bahati yeye mwenyewe alisema TISS walifuta kesi 147. Atumie sheria hiyohiyo kumfutia kesi Mbowe.
TUSIWE NA DOUBLE STANDARDS TUNAIGAWA NCHI.
Hii picha uliyo iweka ni mfano mzuri wa mapungufu ya katiba yetu.Ungesema ile parallel power pale nyuma ya usukani ndiyo tatizo:
View attachment 1985214
Ungeeleweka vyema.
Wanajiita taasisi ya urais. Iko ibara gani ya katiba, composition vyote haijulikani.
Yahaya unaishi wapi? Au nakazia yako Kinondoni?
Hii picha uliyo iweka ni mfano mzuri wa mapungufu ya katiba yetu.
Ipo siku ambayo vinywa vyao vitaropoka mabaya yoote waliyo yatenda kwa jamii ya watanzania.Mbaya wetu yawezekana wala siyo CCM bali kuna kundi limejipa taasisi isiyokuwepo kwenye katiba.
Wanaita urais ni taasisi. Wajumbe wake hawajulikani. Wanakampeni wapi wanajumuishwa vipi haijulikani.
Hao wanajua aliko Ben Azory Lijenje na hata nani walikuwa kwenye viroba.
Ipo siku ambayo vinywa vyao vitaropoka mabaya yoote waliyo yatenda kwa jamii ya watanzania.
Mungu siyo Athuman mkuuUzuri tunaendelea kuwajua kwani tunajua na majaji wamo.
Waulize je alipo Lijenje kama lao moja?
Hujui hata maana ya uhuru wa mahakama....Mkumbusheni dr Lwaitama kuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa kufuata misingi ya sheria. Rais kufuta kesi inayoendelea mahakamani ni kuingilia uhuru wa mahakama.
Aache mahakama ifanye kazi zake kwa mujibu wa katiba na sheria. Kufuta kesi kwa kufuata hisia za kisiasa ni upuuzi na kusigina katiba na sheria zake.
Hamna kesi pale, fikiri vizuri!First of all, why should be dismissed while there are serious allegations against Freeman Mbowe?
Second of all, Samia has no such a power.
Lastly, time will tell but according to the trial within trial conducted by the Court, I hope that Mr. FREEMAN MBOWE will be convicted & sentenced for what he did. MEANING: He will get what he deserves.
Sheria za CCMMkumbusheni dr Lwaitama kuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa kufuata misingi ya sheria. Rais kufuta kesi inayoendelea mahakamani ni kuingilia uhuru wa mahakama.
Aache mahakama ifanye kazi zake kwa mujibu wa katiba na sheria. Kufuta kesi kwa kufuata hisia za kisiasa ni upuuzi na kusigina katiba na sheria zake.
Simezi, tuone utafanya nini.Kameze dawa we nguchiro
Kwani mrundi sio binadam?Kwa maandishi haya najiridhisha kuwa wewe ni murundi.
Yule ni tapeli tu, subili afikishe 75 ndo utamjua kuwa ni mwalimu tapeliUmejiridhisha kuwa umesoma vizuri? Kumbuka Mwalimu Lwaitama si wa chekelea wala si Don uchwara.
Kwenye jamhuri ya wadanganyika ambako:
1. mhimili mmoja unaweza kujichimbia zaidi kama unavyojisikia,
2. watu wakabambikiziwa kesi,
3. watu wakabambikiziwa hukumu;
Sheria zipi mhimili kama huo unaweza kuvunja au kuheshimu na mamlaka ipi ikathubutu kulisemea hilo?
Bila shaka wewe ni akili kubwa ndio maana sijakuelewa mimi akili ndogo.Ni kawaida mtu kusoma tena kama hajaelewa.
Soma tena.
Kama hujaelewa, soma tena!
Huyo ni mpiga zumari tuHujui hata maana ya uhuru wa mahakama....
kilichozungumzwa ni kufuta kesi....
ambapo kimsingi bado ipo kwenye mamlaka ya DPP ambae ni mteule wa raisi
Rudini kwenu burundi basiKwani mrundi sio binadam?
Tulieni sindano iwaingie
Bila shaka wewe ni akili kubwa ndio maana sijakuelewa mimi akili ndogo.
Subirini atakapokula mvua za kutosha na kwenda jela na kumkuta tayari Ole Sabaya ni Nyampara ndio mtaleta hizi stupid philosophies zenu!Akili kubwa ni huyo anayenukuliwa yaani kile chanzo chenyewe cha uzi.
Wala usijishaue.
Vipi ni size yako?
Hawezi kufuta kesi inayo endelea mahakamni. Anaye weza kuifuta ni DPP.Mkumbusheni dr Lwaitama kuwa Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa kufuata misingi ya sheria. Rais kufuta kesi inayoendelea mahakamani ni kuingilia uhuru wa mahakama.
Aache mahakama ifanye kazi zake kwa mujibu wa katiba na sheria. Kufuta kesi kwa kufuata hisia za kisiasa ni upuuzi na kusigina katiba na sheria zake.