Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Ameyatimba..Huyu mwalimu alikuwa wa daraja la 3 A alafu amekataa teuzi ya mh rais duhhh kayavagaa aisee aende akaimbishe mabata madogo madogo Sasa uko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameyatimba..Huyu mwalimu alikuwa wa daraja la 3 A alafu amekataa teuzi ya mh rais duhhh kayavagaa aisee aende akaimbishe mabata madogo madogo Sasa uko
Jamaa hakuwa na back up plan wala support aisee...!Binafsi sidhani kama rais alihusika na uteuzi wa Maganga moja kwa moja na hata hizi figisu figisu rais hahusiki nazo kabisa. Inawezekana upande mwingine unaopigania kuweka vibaraka wao hapo CWT ndio ulichomeka jina la Maganga kwenye ukuu wa wilaya ili apishe watu wapige hela.
Ieleweke, pale CWT kuna mvurugano wa madaraka mpaka sasa ambapo kila upande una back up ya viongozi wanaonufaika na pesa za walimu.
Tukumbuke, Maganga alichukua nafasi ya katibu Seif ambaye alihukumiwa kifungo cha miezi sita. Fuatilia Seif ni rafiki yake nani?
Inaonekana back up ya Maganga haina nguvu. Kama kugomea ishu ya uteuzi, mbona hata rais wa CWT naye aligomea uteuzi!
Kama Maganga akitumia ujasusi wa kiuchumi vizuri anaweza kupata barua ya kuendelea ila inaonekana ni boya tu mana tangu agomee uteuzi angekuwa ameishaseti mipango kwa bi mkubwa, mbona wenzake wanakula kwa urefu wa kama zao, bi mkubwa lazima angemuelewa tu kama angeenda kujieleza kitekniki. Hii ndio Tanzania!
PUBLIC NOTICE.Hii sio Taarifa kwa umma ni Tangazo kwa umma, soma vizuri Mkuu
Ndio tatizo la kudandia treni kwa mbele!! Mbona wafrika ndio mabingwa wa fitina, ungekuwa mfuatiliaji wa mambo ungejua nini kimekuwa kina mkuta jamaa toka alipokataa uteuzi, lilikuwa ni suala la muda tu.Acha kupotosha mdau
Ticha ameomba kibal na muombwaj kakataa kutoa kibal husika unasemaje kuwa anakomolewa???
Arud kwenye ajira yake ili wenzake nao wale
Acha woga....Kukataa uteuzi wa Amiri jeshi hasa ukiwa Ww ni Mtumishi wa Umma ni insubordination ya hali ya juu sana
Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
unapenda uteuzi etMwalimu Chali Sasa
Natamani kujua kwann alikataa?Huyu mwalimu alikuwa wa daraja la 3 A alafu amekataa teuzi ya mh rais duhhh kayavagaa aisee aende akaimbishe mabata madogo madogo Sasa uko
😂😂Barua imeandikwa kwa capital letters na bold kibao, huyo wamempania
Hivi ni sawa mkurugenzi kusaini tangazo/taarifa hii pasipo hata kuweka jina lake? Au hiyo kuandika cheo chake tu ilitosha?Hii inanikumbusha kauli moja iliwahi kusemwa na wahenga kuwa ukibebwa bebeka na ukilishwa kamwe using'ate kidole kikulishacho!
Hatimaye rasmi sasa bwana huyo kukiona cha moto kwa kurudishwa kituo chake cha kazi kama Mwalimu Mwandamizi Daraja A katika Manispaa ya Temeke.
Ikumbukwe kwamba Ndg. Japhet Maganga na Viongozi wenzake wa CWT walikataa uteuzi huo January mwaka huu na wakasahau kwamba wanafanya kazi katika serikali hiyo hiyo yenye mamlaka ya kuwasubiri (hii imedhihirisha usemi wa aliye juu mgonje chini)
Leo nilishtuka baada ya kuona barua hii Kutoka Tamisemi ikiwa imeandikwa na manispaa ya Temeke. Maelezo yote yapo kwenye barua hii;
Kweli ndugu taratibu za kazi ni kati ya mwajiri na mwajiriwa. Ni ujinga wa hali ya juu.Mantiki ya taarifa za mwajiriwa kuwekwa hadharani ni zipi?
Alipaswa apewe barua yake kisha aripoti kazini. Kubandikwa kwenye mbao za matangazo ni upuuzi usio na maana.
Mbona kabla ya hapo, vibali vyake havikuwa wazi?
Pathetic!.
Hakuna kitu angepoteza.. angeenda tu.. angepigwa chini angerudi kufundishaBwana Maganga ana akili sana tena kuzidi wewe mtoa mada alijua fika kuwa cheo cha ukuu wa wilaya ni cheo cha kwenda kudhalilishwa na alikuwa ametegwa ali atenguliwe na kupigwa bench kwa mgongo wa kupangiwa kazi nyingine …kwa hiyo alikuwa mbele ya muda na alifikiri zaidi yako….
Hivi kwa akili yako kabisa alikataa tuu bila kujua kitakachotokea? Alijua fika…
Bora afundishe kwa uhuru kabisa kuliko kwenda kudhalilishwa kwenye ukuu wa wilaya…
Yuko wapi jerry muro? Leo tuu mkuu wa wilaya ya Mtwara katenguliwa…
Alifanya jambo sahihi kabisa
Alisema asante mh rais nimetoshekaNatamani kujua kwann alikataa?
Kwamba tangazo haliwezi kuwa taarifa?Hii sio Taarifa kwa umma ni Tangazo kwa umma, soma vizuri Mkuu
Uko sahihi kabisaSasa si unaona Sasa kilichomkuta amepangiwa darasa la tatu c tarehe Moja asubuhi na mapema saa Moja kamili awe darasani kupiga pindi la stadi za kazi. Ningekua Mimi siwezi kupinga teuzi ya mh rais ata kama ingekua mtego Ili niende kuonekana siwezi kazi nitumbuliwe bado nitarudushwa tu kwenye ajira yangu ya awali au nitapangiw nyingine na mamlaka uwenda asingezalilika hivi asaivi angepangiwa sehemu nyingine tofauti na uko msingi mamlaka zingemuonea huruma
Sio kila mtu anapenda kua mkuu wa wilaya Kuna wengine wapo tayari hata kuacha kazi kuliko kuteuliwa nafasi za kisiasa na wengine wapo tayari hata kuua au kujidhalilisha Ili wazipate hizo nafasi muhimu ni kuheshimu maamuzi ya watuangedhalilishwa kivipi kama performance yake ingekuwa ya kuridhisha?
Sasa kapata nini kwa kukataa ukuu wa wilaya? Hata kama angeenda kutenguliwa, angerudi kwenye ualimu wake ambao ndio karudi sasa hivi.Bwana Maganga ana akili sana tena kuzidi wewe mtoa mada alijua fika kuwa cheo cha ukuu wa wilaya ni cheo cha kwenda kudhalilishwa na alikuwa ametegwa ali atenguliwe na kupigwa bench kwa mgongo wa kupangiwa kazi nyingine …kwa hiyo alikuwa mbele ya muda na alifikiri zaidi yako….
Hivi kwa akili yako kabisa alikataa tuu bila kujua kitakachotokea? Alijua fika…
Bora afundishe kwa uhuru kabisa kuliko kwenda kudhalilishwa kwenye ukuu wa wilaya…
Yuko wapi jerry muro? Leo tuu mkuu wa wilaya ya Mtwara katenguliwa…
Alifanya jambo sahihi kabisa