Wingawinga
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 623
- 1,531
- Thread starter
-
- #41
Sija wahi kuwa sexual abused kwa aina yoyote , marida yako intact, ndio sababu nim ewez aonge aila najua wako hawezi ongea sababu ya watu kama nyie mna watania the victims.Alishawahi kukufila tu
Alishafariki uyo hata Wewe pia ni tia maji tia maji tubu dhambi mkuu km ulifanya mafundisho miaka 1986 andika usiaIlikuwa 1986 na kuendelea ,alikuwa kama kibonge kiasi na alikua anavaa mkanda kama mnene hivi, alikua ana endesha pikipiki , kidogo kama na mkumbuka anataka kufanana kama na rais Mwinyi (Ali Hassan) kinamna fulani.
Sasa kama jina humkumbuki watu wakisema hii chai utakataa?Jina sikumbuki , ila alikuwa ana Pikipiki alikua anakuja hata Oyeterbay Primary kufanya mafundisho ya vipindi vya dini .
Kuchelewa sio tatizo hatuwezi ficha minyanyaso hiyo sababu tuu eti kulinda Institution , watoto walikua abused ( Allegedly) na wengine tuli experience kuulizwa maswali ya sio ya kawaida na huyo alleged monster .Inaonekana umechelewa kuja mtandaoni pamoja na umri kuwa umesogea mzee mweanzangu
Unachokosea unauliza kwa lengo la kuharibu sifa ya taasisi hapa hata km ni uongo maadui wataandika kila uongo kuthibitisha malengo yako
Kuwa nakini
Ndio nyie mnao sababisha watoto wasiseme wanacho pitia kwa kuwambia waongo. Siku zote kama mtoto anakuuata ana kuambia kitu , hata kama unaona hakiwezekani na hukiamini , kitu cha kwanza kufanya unatakiwa ni kumuonyesha kwamba una muamini ana cho kosema, then wewe kama mzazi /mlezi ,usikurupuke , anza kufanya uchunguzi wako kuona kama mtoto anasema ukweli au la , hupaswi kabisa kumuonyesha kwamba humuamini , ukifanya hivyo ata kuja kuwa ana akuficha mengi sana anayo pitia sababu ya ujinga wakuto kuwa na maarifa.Ila weee ni muongo sana dogo tutoleee upuuzi.
Ndio sababu nimeuliza kama kuna yoyote atakuja na story nyingine yaku eleza hapa manyanyaso aliyo pitia.Sasa kama jina humkumbuki watu wakisema hii chai utakataa?
Toa jina na ushahidi kamili kama ni ya kweli then sheria itafata mkondo Ila sio kuchafua watu bila sababu za msingi.
oK, kwa hiyo ni huyo aliye kuwa ana endesha pikipiki na mnene kiasi na ana fanana na Mwinyi?Alishafariki uyo hata Wewe pia ni tia maji tia maji tubu dhambi mkuu km ulifanya mafundisho miaka 1986 andika usia
Alizikwa Kwa kawambwaoK, kwa hiyo ni huyo aliye kuwa ana endesha pikipiki na mnene kiasi na ana fanana na Mwinyi?
Kwahiyo huyoniliye muelezea anavyo fanana ndio yeye huyo unaye msema?Alizikwa Kwa kawambwa
Alizikwa Tyr unatakaje mbona mchokonozi Wewe?Kwahiyo huyoniliye muelezea anavyo fanana ndio yeye huyo unaye msema?
Ok ume sema amezikwa sasa yoyote anaweza kuzikwa na labda kulikua na walimu wengine ndio maana nakuuliza ni huyo niliye mtaja muonekano wake ndio unaye msema?Alizikwa Tyr unatakaje mbona mchokonozi Wewe?
mkuu wewe ni jinsia gani?Inabidi nianze yaweka hapa moja hadi lingine haswa likiwa la uhalifu lol
Mwanaumemkuu wewe ni jinsia gani?
kwa nini unatumia neno "lol"Mwanaume
Huyo anafikiri umekuja kuzusha kushambulia Kanisa lake...oK, kwa hiyo ni huyo aliye kuwa ana endesha pikipiki na mnene kiasi na ana fanana na Mwinyi?
Acha kututoa kwenye reli na mwaswali yasio na maana kama hujui (Lol =laughing out loud)kwa nini unatumia neno "lol"
Inawezekana na inawezekana na yeye ni mmoja wahao ma katekistas wanao abuse watoto so ana hofu hii story ina weza lipuka na yeye akaja tajwa humu .Huyo anafikiri umekuja kuzusha kushambulia Kanisa lake...
Hapa anajaribu Tu kukufunga mdomo
lifanyie kazi hilo wacha ubishiAcha kututoa kwenye reli na mwaswali yasio na maana kama hujui (Lol =laughing out loud)