Yes hakuni nyanyasa, ila alitaka kuninyanyasa na habari zilikuwepo ame nyanyasa fulani na fulani, ila siku zote hawa pedophiles wana lindwa na watu kama nyie msio taka amini wala waza haya mambo yana wezekana watoto kudhalilisha , au labda utakuta na yie wenyewe ni pedophile na manaogoa uzi kama huu una weza wa expose wa mlio fanyia watoto.
Kuna kisa kimoja nilishuhudia , kulikua na mwanafunzi mmoja mkorofi sana , huyo mwanafunzi likua ni wale bully , aliye kua anapenda wapiga wanafunzi wengine wakiwa wanatoka shuleni ,yani mkiwa shuleni ana kufanyia ubabe , kama haumpi pesa ya kula ana kuambia ngoja tukitoka shule utaona, mkiwa njiani kurudi nyumbani ( sababu wengi wetu tumeishi jirani na shule so tunatembea tuu kwenda nyumbani) basi huyo mwanafunzi anaanza kutu dunda mangumi, wengine mpaka tukawa tunabadili njia kurudi home kumkimbia huyo jamaa alituonea sana , yeye ni wale wanafunzi walio kuja Obay kwa mjomba wake kuishi alitokea kijijini , hivyo alikua na malezi duni na nadhani alikua hapewi pesa ya ula shuleni .
Ikatoke kibaya zaidi ni kwamba , naye tukawa naye mafundisho, sasa utamkwepa ukitoka shule lakini utakumbana naye mkitoka mafundisho ,hapo ikawa balaa zaidi .
Kuna siku kwa ubabe wake , akaazna kumpiga mwanafunzi mmoja tukiwa tuna toka mafundisho ,yule mwanafunzi akawa analia na ndipo huyo mwalimu akamuona ,akamuuliza , yule mwanafunzi akasema , kilicho toke yule mwalimu aka muita yule mwanafunzi mkorofi , ana mchukua na kumpeleka chumbani kwake ambapo ni hapo hapo nje ya Kanisa alikua anaishi .
Baada ya kuingia ndani naye huyo mwanafunzi, sisi tukasogea mlangoni tukitaka sikiliza na ukawa tuna sikia.
Kikweli hatukuona kitu ila kwa sasa mimi mimi mzima ndio nimekuja pata wazo kwamba kile kilio nilicho sikia kule ndani sio cha mtu kuchapwa bakora, jamaa alikua analia kama anaumia kitu kina mwingia , halafu alikuwa akilia ana mwambia "kimya" kwa kumgombeza , tulimsikia analia kabisa huko ndani , sisi kwa utoto tukadhani ana chapwa basi tukaondoka.
Baada ya muda naye tukamuona ame toka huko ndani ana lia, wakati tunarudi nyumbani tukiwa njiani yule mwanafunzi hakutusogelea kabisa, aka yuko nyuma kwa mbali ana rudi nyumbani huku analia njia nzima.
Toka siku hiyo huyo mwanafunzi alibadilika kabisa, hakuwa hi tu bully tena , sasa siwezi sema ali nyanayswa ila kuna uwezekani sababu ile milio ya mle ndani kwa sasa naweza sema ilikua ni ya mtu ana bakwa na kwanini huyo mwana funzi behavior yake ili badilika ghafla ? .Kipo kisa kingine ambacho nacho nili hadithiwa na victim himself .