Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Nzasa aonywa kwa kumwalika Amber Rutty kama mgeni shuleni

Yani hawakumbuki yaliyo mkuta chalamila kufanya vitu pasipo tumia ukina wa kufikiri

Sasa sijui ndiyo atawajengea ukuta huyo ili wasipigwe na mayai viza au vipi !?
 
Amber Rutty alikwisha hukumiwa na mahakama na kutumikia adhabu yake. Kuendelea kumuhukumu kwa makosa ambayo alisha adhibiwa nayo ni kumblack mail na kuingilia haki zake zilizopo kisheria.
 
Tuwe Na ubinadamu bc kosa ni mavazi au kumwalika ambaruti?
kuliwa marinda hazarani na bado unaenda kwenye mualiko wa kijamii na nguo isiyokustiri vzr.

kwa staili hiyo watu wenye watoto wao hapo shuleni watakuaminije juu ya watoto wao?
 
Jambo zuri sana.
Watoto hawajifunzi sana nini wanaambiwa kufanya ila wanajifunza sana katika vile watu wakubwa wanafanya.

Watoto huwa inspired na watu wazima. Sasa kama amekua mtu wa mfano wa kuletwa mbele ya watoto basi watoto watamtazama kama mtu wa mfano, sasa hatujui watoto watajifunza nini kwake.
 

ila wangemualika wema isingekuwa kosa
 
Asa hapo mmekanusha nn, kwamba hakukuwa na huyo mgeni au, akili zenu wote sawa tu na huyo mgeni mwenyewe

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Nadhani ni wao kwamba si sehemu ya ugenu huo, na hawahusiki na ugeni huo na hawakubaliani na kilichofanyika ila ni maamuzi ya mwalimu wa Shule husika.
 
Wanavyomfanyia huyu bi dada sio fair,mbon akina Kim Kardashian,Gwajima wanafanya mambo ya kijamii japo wana majanga yao mitandaoni,mnawapa attention watoto waanze kufuatilia hizo mambo za umber ruty huenda walikuwa hawajui lolote kabla..

wamefanya ishu kuwa kubwa kuliko ilivyotakiwa.Hao watoto kesho yao anaijua Mungu.Mbon Gwajima amepewa hadi ubunge na uno lake lipo mitandaoni,amber ruty anakula watu kwani?
 
Kuna watu umaarufu wao umetokana na video za ngono kuna Paris na Kim.

Ila bongo ni utata kidogo.

Kama tunakubali kwamba Amber Ruty hastahili kua pale kwasababu ya video hii inamaanisha wavujisha videos wengine hawastahili pia.

Menina, Harmonize, Mrisho Ngasa, Mary, Gwajima n.k. hawa pia hawatakiwi mbele ya watoto.

Isiishie kwenye videos tu. Wale wanaoimba juu ya kulana ndogo na kuimba kumegana day in day out nao pia hawatakiwi
 
Mkuu wa wilaya ya temeke kabla hajawa katika nafas hyo huko nyuma aliwah kuhojiwa Ni Nan role model wake akasema KIM KARDASHIAN


Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…