Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,055
- 3,535
unalinganisha kula hadharani na kuliwa hadharani tena kutatuliwa rinda?Mbona yule mkono wa baunsa leo ni mbunge wako na 'anakupigania' dhidi ya chanjo uchwara?
Uwe unasoma na kuelewa wamekanusha kumualika mgeni huyo au kupewa taarifa kuwa atakuwepo kwenye shule zakeAsa hapo mmekanusha nn, kwamba hakukuwa na huyo mgeni au, akili zenu wote sawa tu na huyo mgeni mwenyewe
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Na hata kama ameenda kwa mwanae, angevaa vizuri sio hivyo alivovaa....Fine, aje amuone mtoto, siyo kuwakusanya watoto kuongea nao
Shida sio yeye wala dhambi zake....Amber Rutty alikwisha hukumiwa na mahakama na kutumikia adhabu yake. Kuendelea kumuhukumu kwa makosa ambayo alisha adhibiwa nayo ni kumblack mail na kuingilia haki zake zilizopo kisheria.
Nchi ya wanaoona sifa kuitwa 'wanyonge'Dah ila nchi yetu hadi amber rutty wakuwasilishiwa kero za wananchi?
[emoji23][emoji23][emoji23]Dah ila nchi yetu hadi amber rutty wakuwasilishiwa kero za wananchi?
Angeonana na mwanae aende zakeWanadai kuwa mwanae anasoma hapo.
Ili akawaelimishe wanafunzi jinsi ya kutumia mtandao pendwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lengo la kualikwa ni lipi?
Lakini wanafanya siriniHuu ni unyanyapaa kwanini asialikwe? Nani mtakatifu humu hata hao wanaojistiri ukiwafatilia ni wachafu kuliko maelezo
Hujui?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii nchi raha sana. Sasa alikuwa anakwenda kuzungumza nao nini?
Nimecheka sana yaan[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii nchi raha sana. Sasa alikuwa anakwenda kuzungumza nao nini?