kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Mwalimu Moroko anza na Saaduni kwenye first eleven yako utanishukuru jamaa ni striker mwenye uwezo anajua mpira hakimbii tu kama ngiri uwanjani mbio zake zote za malengo weka nje mzize leo utanishukuru popote nilipo jamaa ana miguu ya dhahabu sema tu tatizo hayupo timu za matapeli kariakoo ndio maana haimbwi!