Mwalimu Mwakasege: Corona ndio Tauni kwa mujibu wa Biblia

Mwalimu Mwakasege: Corona ndio Tauni kwa mujibu wa Biblia

Hawa matapeli kumbe bado wapo na kushindwa kuponyesha corona? Ona linavyopotosha , plague/Tauni inaletwa na bacterium Yersinia pestis , corona ni virus, wapi na wapi!
Bado utapeli umejichimbia kwenye vichwa vyao
mkuu kwa mujibu wa vitabu vya dini tauni ni ugonjwa wowote wa mlipuko unaosababisha vifo vingi kwa mara moja....
 
Taun ni ugonjwa ambao unaua watu wengi kwa mda mfupi kwa hiyo hata Spanish flu ilikua tauni, shida moja watu wamekariri lakin inajulikana neno moja linaweza kuwa na maana Zaid ya moja lakin watu wanajifanya hawajui

Na tauni ni kibiblia. ugonjwa wowote mbaya wa kuambukiza kwenye biblia uliitwa tauni.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tauni kwa kiingereza ni Pestilence.
Pestilence: a fatal epidemic disease, especially bubonic plague.



Mfano kwenye Biblia ya King James
2 Samuel 24:15 King James Version (KJV)
15 So the Lord sent a pestilence upon Israel from the morning even to the time appointed: and there died of the people from Dan even to Beersheba seventy thousand men.
 
Plague ina maana gan? Fungua dictionary yako:
verb
1.Cause to suffer a blight."Too much rain may plague the garden with mould".
2.Annoy continually or chronically. "This man plagues his female co-workers".

noun:
1.A serious (sometimes fatal) infection of rodents caused by Yersinia pestis and accidentally transmitted to humans by the bite
of a flea that has bitten an infected animal.

2.Any epidemic disease with a high death rate.
3.A swarm of insects that attack plants."a plague of grasshoppers".
4.Any large scale calamity (especially when thought to be sent by God)
5. An annoyance."those children are a damn plague".


Hitimisho:
  • Ugonjwa wa Tauni ni Plague.
  • Ugonjwa wa Corona ni Plague.
  • Ugonjwa wa Corona sio Ugonjwa wa Tauni.
 
Jana nyumbani tumeitwa na mzee tusali nashangaa neno likasomwa Zaburi ya 91.
Mungu mlinzi wetu
1Anayekaa chini ya ulinzi wa Mungu Mkuu, anayeishi chini ya kivuli cha Mungu Mwenye Nguvu,
2ataweza kumwambia Mwenyezi-Mungu: “Wewe ni kimbilio langu na ngome yangu; Mungu wangu, ninayekutumainia!”
3Hakika Mungu atakuokoa katika mtego; atakukinga na maradhi mabaya.
4Atakufunika kwa mabawa yake, utapata usalama kwake; mkono wake utakulinda na kukukinga.
5Huna haja ya kuogopa vitisho vya usiku, wala shambulio la ghafla mchana;
6huna haja ya kuogopa baa lizukalo usiku, wala maafa yanayotokea mchana.
7Hata watu elfu wakianguka karibu nawe, naam, elfu kumi kuliani mwako, lakini wewe baa halitakukaribia.
8Kwa macho yako mwenyewe utaangalia, na kuona jinsi watu waovu wanavyoadhibiwa.
9Wewe umemfanya Mwenyezi-Mungu kuwa kimbilio lako; naam, Mungu aliye juu kuwa kinga yako.
10Kwa hiyo, hutapatwa na maafa yoyote; nyumba yako haitakaribiwa na baa lolote.
11 Maana Mungu atawaamuru malaika zake, wakulinde popote uendapo.
12 Watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa kwenye jiwe.
13 Utakanyaga simba na nyoka, utawaponda wana simba na majoka.
14Mungu asema: “Nitamwokoa yule anipendaye; nitamlinda anayenitambua!
15Akiniita, mimi nitamwitikia; akiwa taabuni nitakuwa naye; nitamwokoa na kumpa heshima.
16Nitamridhisha kwa maisha marefu, nitamjalia wokovu wangu.”
 
Bible is a CHRISTOCENTRIC BOOK.
Until Jesus is Reveled in the SCRIPTURE, Bible will remain a Story Book.
Watu wengi sana wamekuwa wakisoma Bible kwa jicho la Kutomtafuta Yesu,wanazama kwenye story na Kusahau kwamba Story zote ni Types and Shadow za YESU; Hapo ndipo kosa la kwanza la watu wengi wanapotea.

Pili watumishi wengi wanakwepa Shule( Sio kwenda shule bali kusoma in details (in greek inaitwa Anaginosko) Pay attention to Details, kwa kigezo cha Roho mtakatifu atawafundisha; Huku wakisahau kwamba, Biblia ni Kitabu cha maandishi, hivyo ni muhimu kanuni za Uandishi na Usomaji zifuatwe.

Ukisoma SCRIPTURE (Genesis - Malaki) kwa Jicho la YESU utafurahia sana Imani yako katika Yesu, kinyume na hapo Contradiction utaona nyingi mnoo.
 
Back
Top Bottom