Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Umeelewa nilichosema au umekurupuka soma vizuri mimi nimerekebisha tu translation yake ya huo ugonjwa wapi nimeongelea bacteria ama virus???Wewe ndio umepotea,plague ni bacteria infection na covid_19 ni viral infection kwahiyo ni vitu viwili tofauti hapo yaani covid_19 ni maradhi ambayo yanasababishwa na vimelea aina ya virusi ambao ni corona virus na plague inasababishwa na vimelea aina ya bacteria sasa usawa uko wapi hapo?