Mwalimu Mwakasege: Inashangaza kuona kijana anaachwa kimapenzi anakimbilia Kujinyonga!

Mwalimu Mwakasege: Inashangaza kuona kijana anaachwa kimapenzi anakimbilia Kujinyonga!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwalimu Mwakasege amesema kabla vijana hawajaungana Katika Ndoa ni vema wajitafakari kama Mungu ndiye anawaunganisha kwa Imani na siyo Upendo pekee.

Mwalimu Mwakasege amesema Upendo ukipoa basi Imani inaibeba Ndoa yenu.

Inashangaza kuona kijana anaachwa kimapenzi anakimbilia Kujinyonga, amesema Mwalimu.

Source: Upendo tv
 
Ndoa za mke mmoja ni ngumu sana, kuna wakati upendo unaisha baada ya kukutana na matokeo negative kutoka kwa mwenzi wako, hapo hata ungekuwa na imani ya aje , labda angesema huruma aisee.
 
Back
Top Bottom