Mwalimu Mwakasege: Inashangaza kuona kijana anaachwa kimapenzi anakimbilia Kujinyonga!

Mwalimu Mwakasege: Inashangaza kuona kijana anaachwa kimapenzi anakimbilia Kujinyonga!

Kwani single mother sio Mwanamke watu mna age kubwa lakini kichwani ni 0-0
Mwakasege kaongea Fact kubwa Sana when love fading inabakin Imani
Na Ndo iko hivyo mwanamke wakati unamuoa ni Binti mrembo baada ya mda Mara awe na kitambi, makunyanzi usoni yaani uzuri wote unaisha kinachosikilia mahusiano Tena hapo ni Imani na sio kitu kingine
 
Anaangukaje mwanae si malaika ambaye Hana madhaifu, unapomtuhumu mtoto WA mwenzako fahamu hata wakwako ana madhaifu sio lazima ya fanane lakin ana madhaifu sio malaika
Kwa yeye kakutuhumu?
 
Kwani nimekukataza usiongee we mbona we ulikuja omba msaada kitu ambacho sio vibaya watu wamsaidie mtoto wako Hana ajira kama angekua Hana mapangufu asingekosa ajira
Ha ha ha duu jf
 
Kwani single mother sio Mwanamke watu mna age kubwa lakini kichwani ni 0-0
Mwakasege kaongea Fact kubwa Sana when love fading inabakin Imani
Haimaanishi kama una umri mkubwa ndio una akili, unaeza ukawa na umri mkubwa lakini ukawa mjinga pia! Kwani wajinga nao huzeeka!
 
Huyu Mtumishi amejisahau tu akajikuta ameropoka.

Mwanaye mbona moyo ulisimama tena kwa singo maza
"Amejisahau akajikuta anaropoka"

Nimeamini wajinga nao huzeeka!

Kauli za kudhalilisha wanawake wenzio! Kwani single mother sio mwanamke??? Hastahili kupendwa!??


Hata kama ni kweli mwanaye ilmpata kadhia hiyo je inamzuia yeye kutoa mafundisho???
Au unadhani hayo mafundisho hayawahusu watoto wake pia!??

Ukishapiga k vant nashauri usipost
 
Back
Top Bottom