Mwalimu Mwakasege: Inashangaza kuona kijana anaachwa kimapenzi anakimbilia Kujinyonga!

Mwalimu Mwakasege: Inashangaza kuona kijana anaachwa kimapenzi anakimbilia Kujinyonga!

Imani inayoongelewa hapa ni ipi ukirelate na swala zima la upendo ukipoa /iman inareplace vipi upendo uliopoa.?

Sijasema napinga mada.
 
Mwalimu Mwakasege amesema kabla vijana hawajaungana Katika Ndoa ni vema wajitafakari kama Mungu ndiye anawaunganisha kwa Imani na siyo Upendo pekee.

Mwalimu Mwakasege amesema Upendo ukipoa basi Imani inaibeba Ndoa yenu.

Inashangaza kuona kijana anaachwa kimapenzi anakimbilia Kujinyonga, amesema Mwalimu.

Source: Upendo tv
Tungesha jinyonga wengi aiseee lakin unatakiwa upate neema ya mungu akuepushe na jambo hilo maana shetan yupo kqzn
 
Back
Top Bottom