johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
kama concern yako ni kifo kila mtu atakufa, kuwa mtoto WA mtu wa dini haimaanishi uingii kwenye majaribu sisi wote ni wanadamu hakua malaikaAnamteta kijana wake marehemu, si aseme tu
Huyu Mtumishi amejisahau tu akajikuta ameropoka.Hivi yule kijana wake hakufariki kwa kadhia kama hii?
Sema wewe ndo hujamuelewa usiongelee wingiAngezungumza haya siku ya mzazishi ya mwanae angeeleweka zaidi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Haimkatazi kuongea ukweli, kwa hiyo mtoto wako akiiba ndo haukemei Tena uwizi sababu mtoto wako ni mwizi mbona umeongea pumba ambayo hayaendani na umri wakoHuyu Mtumishi amejisahau tu akajikuta ameropoka.
Mwanaye mbona moyo ulisimama tena kwa singo maza
Niogope kusema kwa ajili yako,Haimkatazi kuongea ukweli, kwa hiyo mtoto wako akiiba ndo haukemei Tena uwizi sababu mtoto wako ni mwiji mbona umeongea pumba ambayo hayaendani na umri wako
Kwa hiyo wewe watoto wako wote ni malaika