Mwalimu Mwakasege uwe unajiongeza ili kuzishinda mbinu za Mwamposa katika kugombania Waumini Tanganyika Packers Kawe

Huu uandishi ni kama wa PopomaπŸ€”
 
wale wale walio kunywa uji wa mgonjwa
 
We Gentamaycine pompoma uliyekubuhu,acha kugombanisha watumishi wa Mungu.
Sauti ya bwana Mightier aka. popoma huwa haijifichi......kwa taarifa yake Mwakasege ni mkongwe sana kwenye huduma yake ya ualimu wa neno la Mungu, huenda alianza hata kabla Mwamposa hajazaliwa. Sasa kutaka kuwaweka kwenye ligi moja inakuwa shida kidogo..​
 

Hakika hakukosea. πŸ™πŸ½
 
Kitu ambacho hujui mleta mada Mwl. Mwakasege anatumiwa na Mungu kwa viwango vya juu sana. Yeye haenendi kimwili kama hao makanjanja wengine.

Kama mtu ni wa rohoni sasa atafahamu Kuna kitu kinaendelea.... maana sio coincidence tu kila Mwl. Mwakasege anapoitisha semina basi na huyo Mwamposa analeta ya kwake siku hizohizo.

Mwisho wa siku itajulikana tu ndio maana tukaagizwa tuache ngano na magugu vimee kwa pamoja!!
 
Achana na mambo usiyoyajua. Mwakasege ni mwalimu, Mwamposa ni mtume, huduma mbili tofauti.

Wingi wa watu huletwa na Roho Mtakatifu kutokana na anavyotaka kuwahudumia
Mwalimu sawa, Ila mtume hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…