Mwalimu, mwanafunzi wakutwa wameuawa ndani ya nyumba

Mungu awape wepesi, ni kitendo cha kinyama sana
 
kila siku nasema watu weusi hatujastaarabika. mwalimu mrembo mwenyewe wamekatisha maisha yake na ya binti mdogo kabisa.
wapumzike kwa amani.
 
Sasa huyu mwanafunzi na mtoto mdogo? Au waliua kufuta ushahidii??
nahisi mwalimu na mwanafunzi wake waliwagundua wauaji so kufuta ushahidi wakawaua wote!may be mlengwa alikua mwalimu pekee ake ila coz lbd mwanafunzi kawagundua wauaji then akaona wawamalize wote!hako katoto kadogo wamekajeruhi lbd kukatishia tu!polisi watakuja na majibu mazuri!nawaaminia kiasi chake kwenye kesi hizi!
 
Umasikini ni laana yahn mzazi unafika hatua ya kushindwa kukaa na binti yako unaruhusu akake kwa watu baki .....lakini pia uyo mzazi alikosa majina mpaka akampa mwanae jina la TATIZO.??
Hivi nyie vijana wa siku hizi huwa mnatumia ubongo wenu vizuri kweli?umeandika nini hichi?
 
Polisi anayekamata anayekula chakula mchana wa ramadhani Mjini Magharibi Zanzibar usishangae kesho ukimkuta Uyole Mbeya anakimbizana na wauza gongo.
Acha hizo mazeh.😂
Polisi wa Zenji si Wazenji wenyewe?!
Mbeya wakuje kufata nini kwa kina Mwambundela ilhali wao kina Makame!?
 
Acha hizo mazeh.😂
Polisi wa Zenji si Wazenji wenyewe?!
Mbeya wakuje kufata nini kwa kina Mwambundela ilhali wao kina Makame!?
Polisi ni taasisi ya muungano haina tofauti na Jwtz na uhamiaji ila nimefanikiwa kumuona huyo mwalimu aisee ni pisi kali sana nna uhakika wivu wa mapenzi ni chanzo ila kwakuwa polisi wetu ni magumbaru hawataambulia kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…