Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaweza kuta mjini umeingia kwa hisani ya ndugu zako, ama ulisomeshwa na nduguUmasikini ni laana yahn mzazi unafika hatua ya kushindwa kukaa na binti yako unaruhusu akake kwa watu baki .....lakini pia uyo mzazi alikosa majina mpaka akampa mwanae jina la TATIZO.??
Kuna sehemu shule ziko mbali kilometa hata 10Umasikini ni laana yahn mzazi unafika hatua ya kushindwa kukaa na binti yako unaruhusu akake kwa watu baki .....lakini pia uyo mzazi alikosa majina mpaka akampa mwanae jina la TATIZO.??
Kwani munafahamiana mkuuHiyo picha sio yeye To yeye
Kama mimi....Dah zuri kwelikweli bonge la demu.
View attachment 2951461
Aliekufa teacher mwanamkeViwanafunzi vijinga vilikuwa vinakula hako katoto, labda vikagundua teacher naye anapiga, unaishije na mtoto wa mtu Nyumba moja bila mke?
Aliekufa teacher mwanamke
KIsu kama hiki unaanzaje kumdhulumu nafsi,ndio hivyo kila nafsi itaonja mauti mwingine atakufa kwa upanga,risasi,moto au baharini mradi maandiko yatimie pole sana kwa wafiwa!Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbugani Kata ya Kiwanja, Herieth Lupembe na binti aliyekuwa akiishi naye ambaye ni mwananfunzi wa Kidato cha kwanza, Tatizo Haonga (16) wamekutwa wameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali kichwani na mwilini.
Mauaji hayo yamefanyika ndani ya nyumba aliyokuwa wakiishi pamoja na mtoto wa mwalimu huyo mwenye umri wa miaka mitano.
Mwanafunzi aliyeuawa pamoja na mwalimu huyo alikuwa anasoma katika Shule ya Sekondari Isenyela wilayani Chunya.
Katika tukio hilo, Haris Daud (5) anayesoma darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Kengold amejeruhiwa na sasa anapatiwa matibabu katika Hosptali ya Rufaa Kanda ya Mbeya.
Inaelezwa kuwa tukio hilo limetokea jana Jumapili Machi 31, 2024 na majirani ndiyo waliobaini baada ya kutomuona mwalimu huyo akienda kanisani huku duka lake likiwa limefungwa, jambo ambalo si la kawaida.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu Aprili mosi, 2024 jirani wa marehemu aliyejitambulisha kwa jina la Merry Joel amesema walipoona duka limefungwa, waliamua kupiga simu ya mwalimu huyo ikawa inaita bila majibu.
“Tukaamua kufuatilia nyumbani kwake ndipo tukabaini kuwa ameuawa ndani kwake pamoja na huyu mtoto aliyekuwa anakaa naye. Mtoto wake tumekuta ameumizwa,” alidai jirani huyo na kuongeza;
“Tulipofika nyumbani kwake tulishtuka kukuta bidhaa za dukani zikiwa nje, umbali wa mita 50 kutoka nyumbani kwake na bidhaa hizo alikuwa ameziagiza kutoka mjini Mbeya.”
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga alipotafutwa kuzungumzia tukio hilo, simu yake ya kiganjani iliita bila majibu.
Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa Kijiji cha Mbugani, Gideon Kinyamagohaamesema baada ya kupokea taarifa za tukio amewasiliana na Jeshi la Polisi na askari wamefika na kufanya uchunguzi wa awali kisha kuchukua miili kwenda kuihifadhi katika Hospitali ya Wilaya ya Chunya kwa uchunguzi zaidi na mtoto majeruhi amepelekwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya.
Mzazi wa mwanafunzi aliyeuawa, Faxson Simchimba amesema mwanawe alianza kuishi na mwalimu huyo baada ya kufaulu darasa la saba.
“Mwalimu alimchukua mwanangu ili aishi kwake kwa sababu ni jirani na shuleni alikokuwa anasoma, nini kimetokea hadi wameuliwa hata sijui,” amesimulia mzazi huyo.
Mwenyekiti wa Mtaa wa wa Mbugani, Chambo Mpigauzi amesema hajawahi kusikia kama mwalimu huyo alikuwa na tofauti na mtu, bali alikuwa na uhusiano mzuri na jamii na ameshangazwa na mauaji hayo.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Bosco Mwangindea ambaye ni Diwani wa Mbugani, amesema hilo ni tukio la kwanza kutokea kwenye kata yake.
“Hatujawahi kushuhudia mauaji ya kikatili namna hii, tunalaani vikali wote waliotekeleza mauaji haya na tunaliomba Jeshi la Polisi lifanye haraka uchunguzi,” amesema diwani huyo.
View attachment 2951481
Chanzo: Mwananchi
Huyo jamaa hajielewi.. kwa maisha ya Kitanzania bila kusaidiana saidiana sidhani kama watu wengi wangefika waliko.Mkishapata kazi vijana mnajeuri sana,
Hivi huko kijijini, shule iko mbali, kuliko kumpangia bchumba binti mdogo kuna ubaya kukaa na mtu anaeeleweka?
Au we ndo umezaliwa na kukua mjini hufahamu maisha ya kijiji?
Ukute we ndo unalaana
damu ikimwagika huwa inalilia kulipa kisasi!so popote walipo hawa jamaa itawafuata na watalipa tuKIsu kama hiki unaanzaje kumdhulumu nafsi,ndio hivyo kila nafsi itaonja mauti mwingine atakufa kwa upanga,risasi,moto au baharini mradi maandiko yatimie pole sana kwa wafiwa!
Mpumbavu unaejivunia ujinga.Endelea kujivunia umasikini
Mbaya sana binadamu kipindi wamekua na roho mbaya zaidi ya wanyama!damu ikimwagika huwa inalilia kulipa kisasi!so popote walipo hawa jamaa itawafuata na watalipa tu
Mpumbavu unaejivunia ujinga.
Kwenye maisha OG ya Tanzania, kukaa kwa mtu baki au kuishi na mtu baki ni kawaida sana.
Pole sana junior ubinafsi utakuponza uzeeni.
Bado point ya umasikini utabaki palepale na wabongo wengi tuna tabia mbovu ya kujifarji na umaskini....kama Shule iko mbali kwann mzazi asimpeleke mwanae Shule ya boarding???unadhani Kwa haraka haraka hakupenda au uwezo wa kumpeleka alikuwa hana???Kuna sehemu shule ziko mbali kilometa hata 10
Una utoto mwingi.Bado point ya umasikini utabaki palepale na wabongo wengi tuna tabia mbovu ya kujifarji na umaskini....kama Shule iko mbali kwann mzazi asimpeleke mwanae Shule ya boarding???unadhani Kwa haraka haraka hakupenda au uwezo wa kumpeleka alikuwa hana???
Mtoto wa form one wa kike anaishi na mtu baki unajiridhisha vipi kama mzazi na nidhamu atakayojengewa???