🤣🤣🤣Poa clasmate.
Yamekuwa hayo tena mkuu?!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Poa clasmate.
Haaaaahaaaaa nipo kiroho zaidi🤣🤣🤣
Yamekuwa hayo tena mkuu?!!!
🤣🤣🤣🤣 haya, pamoja!Haaaaahaaaaa nipo kiroho zaidi
Ogopa sana mtu mweusi akawa na uhakika wa kula na kulala, kitu kinachoitwa shida kwake hawezi kukielewa.Mkishapata kazi vijana mnajeuri sana,
Hivi huko kijijini, shule iko mbali, kuliko kumpangia bchumba binti mdogo kuna ubaya kukaa na mtu anaeeleweka?
Au we ndo umezaliwa na kukua mjini hufahamu maisha ya kijiji?
Ukute we ndo unalaana
Kwenye jina amekosea kwa kweli. Ila kukaa kwa mwalimu inaweza isiwe ni umasikini.Umasikini ni laana yahn mzazi unafika hatua ya kushindwa kukaa na binti yako unaruhusu akake kwa watu baki .....lakini pia uyo mzazi alikosa majina mpaka akampa mwanae jina la TATIZO.??
Tupiako kapicha basi. Huenda pia ana chura. Ikija swala la mwanamke ana chura na amejazia wanaume tunawehuka na kuchanganyikiwaga sana as if we are possessed by demons.Kwa bush hiyo ni kawaida wala polisi hawahitaji kujua chanzo ni nini? Halafu huyo mwalimu ni mrembo nimemuona, au itakuwa alikuwa na mahusiano na mume wa mtu….maana walimu nao kwa kupenda kuiba waume za watu wako vizuri
Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbugani Kata ya Kiwanja, Herieth Lupembe na binti aliyekuwa akiishi naye ambaye ni mwananfunzi wa Kidato cha kwanza, Tatizo Haonga (16) wamekutwa wameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali kichwani na mwilini.
Mauaji hayo yamefanyika ndani ya nyumba aliyokuwa wakiishi pamoja na mtoto wa mwalimu huyo mwenye umri wa miaka mitano.
Mwanafunzi aliyeuawa pamoja na mwalimu huyo alikuwa anasoma katika Shule ya Sekondari Isenyela wilayani Chunya.
Katika tukio hilo, Haris Daud (5) anayesoma darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Kengold amejeruhiwa na sasa anapatiwa matibabu katika Hosptali ya Rufaa Kanda ya Mbeya.
Inaelezwa kuwa tukio hilo limetokea jana Jumapili Machi 31, 2024 na majirani ndiyo waliobaini baada ya kutomuona mwalimu huyo akienda kanisani huku duka lake likiwa limefungwa, jambo ambalo si la kawaida.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu Aprili mosi, 2024 jirani wa marehemu aliyejitambulisha kwa jina la Merry Joel amesema walipoona duka limefungwa, waliamua kupiga simu ya mwalimu huyo ikawa inaita bila majibu.
“Tukaamua kufuatilia nyumbani kwake ndipo tukabaini kuwa ameuawa ndani kwake pamoja na huyu mtoto aliyekuwa anakaa naye. Mtoto wake tumekuta ameumizwa,” alidai jirani huyo na kuongeza;
“Tulipofika nyumbani kwake tulishtuka kukuta bidhaa za dukani zikiwa nje, umbali wa mita 50 kutoka nyumbani kwake na bidhaa hizo alikuwa ameziagiza kutoka mjini Mbeya.”
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga alipotafutwa kuzungumzia tukio hilo, simu yake ya kiganjani iliita bila majibu.
Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa Kijiji cha Mbugani, Gideon Kinyamagohaamesema baada ya kupokea taarifa za tukio amewasiliana na Jeshi la Polisi na askari wamefika na kufanya uchunguzi wa awali kisha kuchukua miili kwenda kuihifadhi katika Hospitali ya Wilaya ya Chunya kwa uchunguzi zaidi na mtoto majeruhi amepelekwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya.
Mzazi wa mwanafunzi aliyeuawa, Faxson Simchimba amesema mwanawe alianza kuishi na mwalimu huyo baada ya kufaulu darasa la saba.
“Mwalimu alimchukua mwanangu ili aishi kwake kwa sababu ni jirani na shuleni alikokuwa anasoma, nini kimetokea hadi wameuliwa hata sijui,” amesimulia mzazi huyo.
Mwenyekiti wa Mtaa wa wa Mbugani, Chambo Mpigauzi amesema hajawahi kusikia kama mwalimu huyo alikuwa na tofauti na mtu, bali alikuwa na uhusiano mzuri na jamii na ameshangazwa na mauaji hayo.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Bosco Mwangindea ambaye ni Diwani wa Mbugani, amesema hilo ni tukio la kwanza kutokea kwenye kata yake.
“Hatujawahi kushuhudia mauaji ya kikatili namna hii, tunalaani vikali wote waliotekeleza mauaji haya na tunaliomba Jeshi la Polisi lifanye haraka uchunguzi,” amesema diwani huyo.
Chanzo: Mwananchi
Nigger anapenda sana kula na kulala si unawaona black Americans? Kuna fursa kibao marekani unaweza kumake hata dollars elfu 7 kwa mwezi lakini nigger haoni hiyoOgopa sana mtu mweusi akawa na uhakika wa kula na kulala, kitu kinachoitwa shida kwake hawezi kukielewa.
Dah zuri kwelikweli bonge la demu.Kwa bush hiyo ni kawaida wala polisi hawahitaji kujua chanzo ni nini? Halafu huyo mwalimu ni mrembo nimemuona, au itakuwa alikuwa na mahusiano na mume wa mtu….maana walimu nao kwa kupenda kuiba waume za watu wako vizuri
Hukumu ya kunyongwa itekelezwe haraka baada ya kumpata muuaji.
Na lazima muuaji apatikane.
FBI wangampata haraka sana.
SayngayTundu Lisu amesikia? Maana kutwa kudeka tu na risasi zake
Mkuu weka hii picha ya marehemu hapo chini kwenye uzi wako.Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbugani Kata ya Kiwanja, Herieth Lupembe na binti aliyekuwa akiishi naye ambaye ni mwananfunzi wa Kidato cha kwanza, Tatizo Haonga (16) wamekutwa wameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali kichwani na mwilini.
Mauaji hayo yamefanyika ndani ya nyumba aliyokuwa wakiishi pamoja na mtoto wa mwalimu huyo mwenye umri wa miaka mitano.
Mwanafunzi aliyeuawa pamoja na mwalimu huyo alikuwa anasoma katika Shule ya Sekondari Isenyela wilayani Chunya.
Katika tukio hilo, Haris Daud (5) anayesoma darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Kengold amejeruhiwa na sasa anapatiwa matibabu katika Hosptali ya Rufaa Kanda ya Mbeya.
Inaelezwa kuwa tukio hilo limetokea jana Jumapili Machi 31, 2024 na majirani ndiyo waliobaini baada ya kutomuona mwalimu huyo akienda kanisani huku duka lake likiwa limefungwa, jambo ambalo si la kawaida.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu Aprili mosi, 2024 jirani wa marehemu aliyejitambulisha kwa jina la Merry Joel amesema walipoona duka limefungwa, waliamua kupiga simu ya mwalimu huyo ikawa inaita bila majibu.
“Tukaamua kufuatilia nyumbani kwake ndipo tukabaini kuwa ameuawa ndani kwake pamoja na huyu mtoto aliyekuwa anakaa naye. Mtoto wake tumekuta ameumizwa,” alidai jirani huyo na kuongeza;
“Tulipofika nyumbani kwake tulishtuka kukuta bidhaa za dukani zikiwa nje, umbali wa mita 50 kutoka nyumbani kwake na bidhaa hizo alikuwa ameziagiza kutoka mjini Mbeya.”
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga alipotafutwa kuzungumzia tukio hilo, simu yake ya kiganjani iliita bila majibu.
Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa Kijiji cha Mbugani, Gideon Kinyamagohaamesema baada ya kupokea taarifa za tukio amewasiliana na Jeshi la Polisi na askari wamefika na kufanya uchunguzi wa awali kisha kuchukua miili kwenda kuihifadhi katika Hospitali ya Wilaya ya Chunya kwa uchunguzi zaidi na mtoto majeruhi amepelekwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya.
Mzazi wa mwanafunzi aliyeuawa, Faxson Simchimba amesema mwanawe alianza kuishi na mwalimu huyo baada ya kufaulu darasa la saba.
“Mwalimu alimchukua mwanangu ili aishi kwake kwa sababu ni jirani na shuleni alikokuwa anasoma, nini kimetokea hadi wameuliwa hata sijui,” amesimulia mzazi huyo.
Mwenyekiti wa Mtaa wa wa Mbugani, Chambo Mpigauzi amesema hajawahi kusikia kama mwalimu huyo alikuwa na tofauti na mtu, bali alikuwa na uhusiano mzuri na jamii na ameshangazwa na mauaji hayo.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Bosco Mwangindea ambaye ni Diwani wa Mbugani, amesema hilo ni tukio la kwanza kutokea kwenye kata yake.
“Hatujawahi kushuhudia mauaji ya kikatili namna hii, tunalaani vikali wote waliotekeleza mauaji haya na tunaliomba Jeshi la Polisi lifanye haraka uchunguzi,” amesema diwani huyo.
Chanzo: Mwananchi
Mwalimu wa Shule ya Msingi Mbugani Kata ya Kiwanja, Herieth Lupembe na binti aliyekuwa akiishi naye ambaye ni mwananfunzi wa Kidato cha kwanza, Tatizo Haonga (16) wamekutwa wameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali kichwani na mwilini.
Mauaji hayo yamefanyika ndani ya nyumba aliyokuwa wakiishi pamoja na mtoto wa mwalimu huyo mwenye umri wa miaka mitano.
Mwanafunzi aliyeuawa pamoja na mwalimu huyo alikuwa anasoma katika Shule ya Sekondari Isenyela wilayani Chunya.
Katika tukio hilo, Haris Daud (5) anayesoma darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Kengold amejeruhiwa na sasa anapatiwa matibabu katika Hosptali ya Rufaa Kanda ya Mbeya.
Inaelezwa kuwa tukio hilo limetokea jana Jumapili Machi 31, 2024 na majirani ndiyo waliobaini baada ya kutomuona mwalimu huyo akienda kanisani huku duka lake likiwa limefungwa, jambo ambalo si la kawaida.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu Aprili mosi, 2024 jirani wa marehemu aliyejitambulisha kwa jina la Merry Joel amesema walipoona duka limefungwa, waliamua kupiga simu ya mwalimu huyo ikawa inaita bila majibu.
“Tukaamua kufuatilia nyumbani kwake ndipo tukabaini kuwa ameuawa ndani kwake pamoja na huyu mtoto aliyekuwa anakaa naye. Mtoto wake tumekuta ameumizwa,” alidai jirani huyo na kuongeza;
“Tulipofika nyumbani kwake tulishtuka kukuta bidhaa za dukani zikiwa nje, umbali wa mita 50 kutoka nyumbani kwake na bidhaa hizo alikuwa ameziagiza kutoka mjini Mbeya.”
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga alipotafutwa kuzungumzia tukio hilo, simu yake ya kiganjani iliita bila majibu.
Akizungumzia tukio hilo, Mwenyekiti wa Kijiji cha Mbugani, Gideon Kinyamagohaamesema baada ya kupokea taarifa za tukio amewasiliana na Jeshi la Polisi na askari wamefika na kufanya uchunguzi wa awali kisha kuchukua miili kwenda kuihifadhi katika Hospitali ya Wilaya ya Chunya kwa uchunguzi zaidi na mtoto majeruhi amepelekwa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya.
Mzazi wa mwanafunzi aliyeuawa, Faxson Simchimba amesema mwanawe alianza kuishi na mwalimu huyo baada ya kufaulu darasa la saba.
“Mwalimu alimchukua mwanangu ili aishi kwake kwa sababu ni jirani na shuleni alikokuwa anasoma, nini kimetokea hadi wameuliwa hata sijui,” amesimulia mzazi huyo.
Mwenyekiti wa Mtaa wa wa Mbugani, Chambo Mpigauzi amesema hajawahi kusikia kama mwalimu huyo alikuwa na tofauti na mtu, bali alikuwa na uhusiano mzuri na jamii na ameshangazwa na mauaji hayo.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Bosco Mwangindea ambaye ni Diwani wa Mbugani, amesema hilo ni tukio la kwanza kutokea kwenye kata yake.
“Hatujawahi kushuhudia mauaji ya kikatili namna hii, tunalaani vikali wote waliotekeleza mauaji haya na tunaliomba Jeshi la Polisi lifanye haraka uchunguzi,” amesema diwani huyo.
Chanzo: Mwananchi
🤣🤣🤣aisee...asante kwa kujali ila mie nipo mbeya not chunyahivi To yeye ameonekana jamvini jana na leo? maana hizo sifa za mwalimu marehemu na yeye anazo. anyway poleni wafiwa ushauri wangu mdogo tu Ukitaka kuishi vizuri Epuka Utapeli dhulma na kutembea na mke/mume wa mtu.
Sio vizuri kuleta picha za marehemu wa watu bila ruhusa mkuuTupiako kapicha basi. Huenda pia ana chura. Ikija swala la mwanamke ana chura na amejazia wanaume tunawehuka na kuchanganyikiwaga sana as if we are possessed by demons.
Kwetu sisi Waafrika jina huwa lina aksi mazingira uliyo zaliwa wakati huo. Kwa hiyo mwenye jina huwa ni kumbukumbu inayo tembea. Utawakuta akina Nyanjala ( Huyu Ali zaliwa wakati wa ukame na njaa kali) Wegoro( Ali zaliwa usiku), Msafiri, (Ali zaliwa safarini).......... Nk, nkUmasikini ni laana yahn mzazi unafika hatua ya kushindwa kukaa na binti yako unaruhusu akake kwa watu baki .....lakini pia uyo mzazi alikosa majina mpaka akampa mwanae jina la TATIZO.??
Duh sio poaDah zuri kwelikweli bonge la demu.
View attachment 2951461