peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Vyama vyote vinakata ila isizidi Tsh 5,000 kwa mwezi kwa kila mwalimu.Kuna chama ambacho hawakatwi? Maana hata TUGHE tunakatwa.
Samahani mkuu,kuna chama ambacho hawakatwi? Maana hata huku TUGHE tunakatwa vile vile lakini naona mnawajadili walimu tu..Kuna uwezekano mkubwa wa kutokea kwa anguko la CWT miaka michache ijayo, iwapo tu hawatabadilisha huu mfumo wao wa kinyonyaji wa kuwakata walimu ada ya 2% kwa mwezi kwenye mishahara yao.
Kwanza nieleweke, sipingi wafanyakazi kuwa wananchama wa vyama vya wafanyakazi, na pia kulipa ada ya kuendeshea hivyo vyama (Trade Unions).Samahani mkuu,kuna chama ambacho hawakatwi? Maana hata huku TUGHE tunakatwa vile vile lakini naona mnawajadili walimu tu..
Hatukatwi flat rate mkuu,sijajua tu exactly asilimia..means kama ni TGHS C kuna amount yao inakatwa kama ni TGHS D kuna amount yao inakatwa na kuendelea.Kwanza nieleweke, sipingi wafanyakazi kuwa wananchama wa vyama vya wafanyakazi, na pia kulipa ada ya kuendeshea hivyo vyama (Trade Unions).
Hoja yangu iko sehemu moja tu. Vyama vya wafanyakazi vikusanye michango ya ada kwa wanachama wake kwa usawa! Yaani wanachama wote watozwe viwango sawa vya ada kila mwezi.
Kinachofanywa na CWT ndiyo kinacholalamikiwa na wadau wengi wa Elimu nchini. Yaani wanawakata wananchama wao 2% ya ada kila mwezi kwenye mishahara yao, jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo. Maana hizo 2% hutofautiana kutoka mwanachama mmoja kwenda mwingine.
Badala yake wangetumia mfumo wa kuwakata kwa usawa kama walivyo anzisha hao wa elfu 5 kwa mwezi. Au unataka kuniambia na nyinyi TUGHE pia mnakatwa kwa mfumo huu wa 2% kwenye basic salaries zenu kila mwezi? Na kama na nyinyi pia mnafanyiwa hivyo, basi na mtakuwa mnaibiwa pia.
Basi na huko nako mnaibiwa. Maana kama wanachama wote wa vyama vya wafanyakazi wanatakiwa kupata haki sawa.Hatukatwi flat rate mkuu,sijajua tu exactly asilimia..means kama ni TGHS C kuna amount yao inakatwa kama ni TGHS D kuna amount yao inakatwa na kuendelea.
Chukua deductions average of 4,000 each.Vyama vyote vinakata ila isizidi Tsh 5,000 kwa mwezi kwa kila mwalimu.
Kinachozungumzwa hapa si kukata bali kiasi Cha makato tena Kwa % km Bima ya afya. Labda nikuulize ni chama gani Cha wafanyakazi chenye makato makubwa zaidi ya CWT. Ebu lete hapa ya TUGHE. Wanacholalanikia ni makato makubwa na siyo kukatwa.Samahani mkuu,kuna chama ambacho hawakatwi? Maana hata huku TUGHE tunakatwa vile vile lakini naona mnawajadili walimu tu..
Twende taratibu mkuu. Makato makubwa ni kiasi gani?Kinachozungumzwa hapa si kukata bali kiasi Cha makato tena Kwa % km Bima ya afya. Labda nikuulize ni chama gani Cha wafanyakazi chenye makato makubwa zaidi ya CWT. Ebu lete hapa ya TUGHE. Wanacholalanikia ni makato makubwa na siyo kukatwa.
Hicho chama naskia kinapigwa vita Kila Kona. Kuna Walimu sehemu mbalimbali wamekwaruzana na waajiri wao kwa kukikataa eti hakina ofisi sehemu walipo Walimu, (Hii ni hoja Mfu na ya kijinga kabisa, hakuna chama chochote kiwe Cha kisiasa au Cha wafanyakazi kiliwahi kuanzishwa na hapohapo kikawa na ofisi Kila mkoa, wilaya, Jimbo, kata au vitongoji). Hii sababu eti nayo wanapewa Walimu watu tunaoamini ni wasomi wabovevu na wao wamekuwa wanaikubali (either voluntarily or by force).Njooni Chakuhawata, buku tano tu Kwa mwezi
Samahani mkuu,kuna chama ambacho hawakatwi? Maana hata huku TUGHE tunakatwa vile vile lakini naona mnawajadili walimu tu..