Mwalimu Nyerere alikuwa mroho wa madaraka ila sio mali, Hayati Magufuli alikuwa mroho wa madaraka na mali

Tuliya dawa ikuingie kenge maji wewe. tunalizungumzia jizi hapa hayo ya 2025 tunayajua
kamfufue uzikwe wewe. hatutaki kuongozwa na manyapala wachunga mifugo wa burigi cc tunataka viongozi wastaarabu kama samia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona umepanic hatari!

Jizi limeshaondoka ila kipigo cha mbwa koko kiko palepale
 
Alikuwa na kiu kali ya damu za watu wasio na hatia. Buriani Ben Saanane
 
Weka evidence za hizo account kuwa ni zake. Magufuli alichukia wapinzani uchwara tu. Magufuli hachafuliki na hasahauliki mtaendelea kumkumbuka hata kwenye makaburi yenu mkiona Reli ya kisasa, mabwawa na mengineyo mengi aliyoyafanya.
 
Alafu hakuna yaliyofanyika awamu ya 5 ya 4 hayakufanyika.kwa hiyo ni chuki zako za kishamba tu.hakuna jipya magufuli aliyofanya hayakufanyika kabla hapa Tanzania kwahiyo hata ufanyaje magufuli hachafuliki na mnaendelea kudhihirisha ushamba wenu tu na chuki zenu.
 
Ila hii historia yako tangawizi imekolea kidogo.

Kwa miaka yangu niliyo nayo sijawahi sikia hii ya Nkrumah kutaka kuzitwanga na Nyerere kwa sababu ya USA.

Ingekuwaje USA wakati nchi nyingine (Mozambique, Angola, Nambia, Rhodesia, South Africa....) zilikuwa hazijapata uhuru?
 
Excellent!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…