BabuFey
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 1,659
- 2,913
Quote ya moja ya hotuba za Hayati NyerereWaislam mnajutahidi sana kushambulia viongozi wakiristu ila mnakwama sana
NYERERE hachafuliki
"...mtu aliyefilisika kisiasa hukimbilia udini na ukabila.."
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Quote ya moja ya hotuba za Hayati NyerereWaislam mnajutahidi sana kushambulia viongozi wakiristu ila mnakwama sana
NYERERE hachafuliki
Natumaini atajifunza kupitia andiko hiliAjifunze kitu asiishie kutabasamu tu
Weahidiwa kurudishiwa majimbo 40 na nafasu 20 za viti maalum.2025 mtapigwa kama ngoma wapumbavu nyie!
Si mmejisalimisha ccm kwa jina la maridhiano nyie?
Tuliya dawa ikuingie kenge maji wewe. tunalizungumzia jizi hapa hayo ya 2025 tunayajua2025 mtapigwa kama ngoma wapumbavu nyie!
Si mmejisalimisha ccm kwa jina la maridhiano nyie?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona umepanic hatari!Tuliya dawa ikuingie kenge maji wewe. tunalizungumzia jizi hapa hayo ya 2025 tunayajua
kamfufue uzikwe wewe. hatutaki kuongozwa na manyapala wachunga mifugo wa burigi cc tunataka viongozi wastaarabu kama samia
muhafidhinaa wependa haki tulifurahi hapo 17/3/2021[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona umepanic hatari!
Jizi limeshaondoka ila kipigo cha mbwa koko kiko palepale
Alikuwa na kiu kali ya damu za watu wasio na hatia. Buriani Ben SaananeKuna watu huwa wananishangaza kuwafananisha hawa viongozi wawili. Wanachofanana ni kitu kimoja tu, uroho wa madaraka. Huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hakuna agenda nyingine bali uroho wa madaraka, lengo likiwa kutawala nchi mbili. Tukija kwenye ishu ya kupiga marufuku uchifu hakuna kingine zaidi ya uroho wa madaraka, kupiga marufuku vyama vingi pia ni uroho tu wa madaraka, mpaka kijana wake akamuita madaraka.
Kuna mroho wa madaraka mwingine enzi hizo akiitwa Kwame Nkrumah wa Ghana, kwenye kikao cha Pan Africanism miaka ya 60 huko kidogo wazipige kavukavu na Nyerere, Kwame Nkrumah alitaka USA (United States of Africa) fasta fasta na yeye awe Rais wa hiyo State kama olivyo Biden kule USA ya America. Nyerere akawaza akaona atapoteza kiti chake maana hapa anaenda kuwa gavana, hizi nchi zote zingekuwa majimbo tu na marais wake wangekuwa magavana. Nyerere akainuka kitini akasema haiwezekani, hizi nchi zinatakiwa zijimarishe kwanza zitaunda hiyo USA taratibu taratibu, mjadala ilikuwa mkali kikaoni Nkrumah akazidiwa pwenti akataka kurusha ngumi, walinzi wakamdaka. Mwisho wa siku ndoto yake ikafeli akapinduliwa na kufa uhamishoni mwaka 1972.
Nyerere hakuwa mwizi, Nyerere hakuwa fisadi, Nyerere hakuwa na tamaa ya mali, kupenda kwake madaraka ni kwa vile alizaliwa kwenye familia ya kichief. Chief ni mfalme, mfalme hatoki kitini mpaka afe. Nyerere aking'atuka 1985 sio kwa kupenda bali maji yalimfika shingoni, shinikizo la wazungu lilimzidia.
Tuje kwa hayati JPM, huyu ni mroho wa madaraka, alivyokuwa akipata ubunge ni figisu hadaa na umafia wa hali ya juu. Kuzuia mikutano ya wapinzani, kutekana, nk ni uroho wa madaraka. Uroho wa mali nao si haba, akaunti yake kule China ina mabilioni kadhaa, bado kuna mabilioni yapo hapa nchini. Huo ndio utofauti wao na ufanano wao.
Kuna vitoto humu vinashangaa Lema na Lissu kukimbia nchi enzi za JPM. Ulizeni Oscar Kambona, rafiki wa karibu kabisa na Nyerere, alisomeshwa namba akajificha Uingereza miaka kibao.
Tuliosomea China tumeelewa kuwa mama Samia huwa anapita humu na kusema ningemkamata huyu mtoa mada ningemfinya mashavu
Weka evidence za hizo account kuwa ni zake. Magufuli alichukia wapinzani uchwara tu. Magufuli hachafuliki na hasahauliki mtaendelea kumkumbuka hata kwenye makaburi yenu mkiona Reli ya kisasa, mabwawa na mengineyo mengi aliyoyafanya.Kuna watu huwa wananishangaza kuwafananisha hawa viongozi wawili. Wanachofanana ni kitu kimoja tu, uroho wa madaraka. Huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hakuna agenda nyingine bali uroho wa madaraka, lengo likiwa kutawala nchi mbili. Tukija kwenye ishu ya kupiga marufuku uchifu hakuna kingine zaidi ya uroho wa madaraka, kupiga marufuku vyama vingi pia ni uroho tu wa madaraka, mpaka kijana wake akamuita madaraka.
Kuna mroho wa madaraka mwingine enzi hizo akiitwa Kwame Nkrumah wa Ghana, kwenye kikao cha Pan Africanism miaka ya 60 huko kidogo wazipige kavukavu na Nyerere, Kwame Nkrumah alitaka USA (United States of Africa) fasta fasta na yeye awe Rais wa hiyo State kama olivyo Biden kule USA ya America. Nyerere akawaza akaona atapoteza kiti chake maana hapa anaenda kuwa gavana, hizi nchi zote zingekuwa majimbo tu na marais wake wangekuwa magavana. Nyerere akainuka kitini akasema haiwezekani, hizi nchi zinatakiwa zijimarishe kwanza zitaunda hiyo USA taratibu taratibu, mjadala ilikuwa mkali kikaoni Nkrumah akazidiwa pwenti akataka kurusha ngumi, walinzi wakamdaka. Mwisho wa siku ndoto yake ikafeli akapinduliwa na kufa uhamishoni mwaka 1972.
Nyerere hakuwa mwizi, Nyerere hakuwa fisadi, Nyerere hakuwa na tamaa ya mali, kupenda kwake madaraka ni kwa vile alizaliwa kwenye familia ya kichief. Chief ni mfalme, mfalme hatoki kitini mpaka afe. Nyerere aking'atuka 1985 sio kwa kupenda bali maji yalimfika shingoni, shinikizo la wazungu lilimzidia.
Tuje kwa hayati JPM, huyu ni mroho wa madaraka, alivyokuwa akipata ubunge ni figisu hadaa na umafia wa hali ya juu. Kuzuia mikutano ya wapinzani, kutekana, nk ni uroho wa madaraka. Uroho wa mali nao si haba, akaunti yake kule China ina mabilioni kadhaa, bado kuna mabilioni yapo hapa nchini. Huo ndio utofauti wao na ufanano wao.
Kuna vitoto humu vinashangaa Lema na Lissu kukimbia nchi enzi za JPM. Ulizeni Oscar Kambona, rafiki wa karibu kabisa na Nyerere, alisomeshwa namba akajificha Uingereza miaka kibao.
Tuliosomea China tumeelewa kuwa mama Samia huwa anapita humu na kusema ningemkamata huyu mtoa mada ningemfinya mashavu
Alafu hakuna yaliyofanyika awamu ya 5 ya 4 hayakufanyika.kwa hiyo ni chuki zako za kishamba tu.hakuna jipya magufuli aliyofanya hayakufanyika kabla hapa Tanzania kwahiyo hata ufanyaje magufuli hachafuliki na mnaendelea kudhihirisha ushamba wenu tu na chuki zenu.Kuna watu huwa wananishangaza kuwafananisha hawa viongozi wawili. Wanachofanana ni kitu kimoja tu, uroho wa madaraka. Huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hakuna agenda nyingine bali uroho wa madaraka, lengo likiwa kutawala nchi mbili. Tukija kwenye ishu ya kupiga marufuku uchifu hakuna kingine zaidi ya uroho wa madaraka, kupiga marufuku vyama vingi pia ni uroho tu wa madaraka, mpaka kijana wake akamuita madaraka.
Kuna mroho wa madaraka mwingine enzi hizo akiitwa Kwame Nkrumah wa Ghana, kwenye kikao cha Pan Africanism miaka ya 60 huko kidogo wazipige kavukavu na Nyerere, Kwame Nkrumah alitaka USA (United States of Africa) fasta fasta na yeye awe Rais wa hiyo State kama olivyo Biden kule USA ya America. Nyerere akawaza akaona atapoteza kiti chake maana hapa anaenda kuwa gavana, hizi nchi zote zingekuwa majimbo tu na marais wake wangekuwa magavana. Nyerere akainuka kitini akasema haiwezekani, hizi nchi zinatakiwa zijimarishe kwanza zitaunda hiyo USA taratibu taratibu, mjadala ilikuwa mkali kikaoni Nkrumah akazidiwa pwenti akataka kurusha ngumi, walinzi wakamdaka. Mwisho wa siku ndoto yake ikafeli akapinduliwa na kufa uhamishoni mwaka 1972.
Nyerere hakuwa mwizi, Nyerere hakuwa fisadi, Nyerere hakuwa na tamaa ya mali, kupenda kwake madaraka ni kwa vile alizaliwa kwenye familia ya kichief. Chief ni mfalme, mfalme hatoki kitini mpaka afe. Nyerere aking'atuka 1985 sio kwa kupenda bali maji yalimfika shingoni, shinikizo la wazungu lilimzidia.
Tuje kwa hayati JPM, huyu ni mroho wa madaraka, alivyokuwa akipata ubunge ni figisu hadaa na umafia wa hali ya juu. Kuzuia mikutano ya wapinzani, kutekana, nk ni uroho wa madaraka. Uroho wa mali nao si haba, akaunti yake kule China ina mabilioni kadhaa, bado kuna mabilioni yapo hapa nchini. Huo ndio utofauti wao na ufanano wao.
Kuna vitoto humu vinashangaa Lema na Lissu kukimbia nchi enzi za JPM. Ulizeni Oscar Kambona, rafiki wa karibu kabisa na Nyerere, alisomeshwa namba akajificha Uingereza miaka kibao.
Tuliosomea China tumeelewa kuwa mama Samia huwa anapita humu na kusema ningemkamata huyu mtoa mada ningemfinya mashavu
Acha chuki zako hakuna kitu magufuli mnadai amefanya haikuwahi kufanyika na mnapoteza muda wenu Kwa chuki za kishamba.Magufuli....
Mwizi
Muuaji
Katili
Ila hii historia yako tangawizi imekolea kidogo.Kuna mroho wa madaraka mwingine enzi hizo akiitwa Kwame Nkrumah wa Ghana, kwenye kikao cha Pan Africanism miaka ya 60 huko kidogo wazipige kavukavu na Nyerere, Kwame Nkrumah alitaka USA (United States of Africa) fasta fasta na yeye awe Rais wa hiyo State kama olivyo Biden kule USA ya America. Nyerere akawaza akaona atapoteza kiti chake maana hapa anaenda kuwa gavana, hizi nchi zote zingekuwa majimbo tu na marais wake wangekuwa magavana. Nyerere akainuka kitini akasema haiwezekani, hizi nchi zinatakiwa zijimarishe kwanza zitaunda hiyo USA taratibu taratibu, mjadala ilikuwa mkali kikaoni Nkrumah akazidiwa pwenti akataka kurusha ngumi, walinzi wakamdaka. Mwisho wa siku ndoto yake ikafeli akapinduliwa na kufa uhamishoni mwaka 1972.
Excellent!Kuna watu huwa wananishangaza kuwafananisha hawa viongozi wawili. Wanachofanana ni kitu kimoja tu, uroho wa madaraka. Huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hakuna agenda nyingine bali uroho wa madaraka, lengo likiwa kutawala nchi mbili. Tukija kwenye ishu ya kupiga marufuku uchifu hakuna kingine zaidi ya uroho wa madaraka, kupiga marufuku vyama vingi pia ni uroho tu wa madaraka, mpaka kijana wake akamuita madaraka.
Kuna mroho wa madaraka mwingine enzi hizo akiitwa Kwame Nkrumah wa Ghana, kwenye kikao cha Pan Africanism miaka ya 60 huko kidogo wazipige kavukavu na Nyerere, Kwame Nkrumah alitaka USA (United States of Africa) fasta fasta na yeye awe Rais wa hiyo State kama olivyo Biden kule USA ya America. Nyerere akawaza akaona atapoteza kiti chake maana hapa anaenda kuwa gavana, hizi nchi zote zingekuwa majimbo tu na marais wake wangekuwa magavana. Nyerere akainuka kitini akasema haiwezekani, hizi nchi zinatakiwa zijimarishe kwanza zitaunda hiyo USA taratibu taratibu, mjadala ilikuwa mkali kikaoni Nkrumah akazidiwa pwenti akataka kurusha ngumi, walinzi wakamdaka. Mwisho wa siku ndoto yake ikafeli akapinduliwa na kufa uhamishoni mwaka 1972.
Nyerere hakuwa mwizi, Nyerere hakuwa fisadi, Nyerere hakuwa na tamaa ya mali, kupenda kwake madaraka ni kwa vile alizaliwa kwenye familia ya kichief. Chief ni mfalme, mfalme hatoki kitini mpaka afe. Nyerere aking'atuka 1985 sio kwa kupenda bali maji yalimfika shingoni, shinikizo la wazungu lilimzidia.
Tuje kwa hayati JPM, huyu ni mroho wa madaraka, alivyokuwa akipata ubunge ni figisu hadaa na umafia wa hali ya juu. Kuzuia mikutano ya wapinzani, kutekana, nk ni uroho wa madaraka. Uroho wa mali nao si haba, akaunti yake kule China ina mabilioni kadhaa, bado kuna mabilioni yapo hapa nchini. Huo ndio utofauti wao na ufanano wao.
Kuna vitoto humu vinashangaa Lema na Lissu kukimbia nchi enzi za JPM. Ulizeni Oscar Kambona, rafiki wa karibu kabisa na Nyerere, alisomeshwa namba akajificha Uingereza miaka kibao.
Tuliosomea China tumeelewa kuwa mama Samia huwa anapita humu na kusema ningemkamata huyu mtoa mada ningemfinya mashavu
Hebu jibu hoja hizo wacha kuweka element ya udini hapaWaislam mnajutahidi sana kushambulia viongozi wakiristu ila mnakwama sana
NYERERE hachafuliki
Magufuli alikuwa jambazi hata ukilia namna ganiWeka evidence za hizo account kuwa ni zake.Magufuli alichukia wapinzani uchwara tu.Magufuli hachafuliki na hasahauliki mtaendelea kumkumbuka hata kwenye makaburi yenu mkiona Reli ya kisasa,mabwawa na mengineyo mengi aliyoyafanya.
Aisee huyo ndio anatuharibia nchi kwa sasa.Kikwete?